Picha: Mnara wa Babel, fumbo linaloishi

Picha: Mnara wa Babel, fumbo linaloishi

.....mpaka Oktoba kila mtu atakuwa ameshika position ya kusukuma Mnara

Kuna wale wakusubiria MABADILIKO kwenye LUNINGA..................Hawa wanaogopa kupiga KURA eti hawataki kuiona kura yao inachakachuliwa sasa hawa tunawafanyaje?
 
....Ni kusambaza elimu ya wapiga kura nyumba kwa nyumba ...ila mpaka Oktoba watu watakuwa wapepigika mfukoni mbaya nahilo nalo itakuwa fimbo kwao kuwaswaga kwenye box
 
Wengine waoga kaka ,UBAVU wanao huku tu nyuma ya screen,kwenyewe ni kama Alshabab anaingia mjini
 
.....kama wanaukumbatia au kuishi jirani na Mnara wa Babel ukianguka unaweza kuwaponda na kuwafukia kabisa
 
Ni ELIMU kwa kwenda mbele...............yaani lazima watu walie kilio cha mbwa............................
 
....Kabisa Mkuu huu mwaka tutaheshimiana....

Kuna maajabu yanaendelea ya kisiasa Tanzania... jamaa kapanda mchicha leo asubuhi anataka kuvuna leo jioni ...ni kati ya matukio ya kupokea ujio wa kuporomoka kwa Mnara wa Babel
 
Nimekuelewa.................Yaani ghafla eti MCHICHA umekuwa MBUYU...........................:shocked::shocked::shocked:
 
......anajenga ghorofa angani ha ha ha ha
 
...

......Limebaki kuwa simulizi na hili nalo litakuwa simulizi ilikuwa kishindo na itakuwa kishindo .... kiburi na dhambi kwa jumla vinatenganisha watu wasiweze kuelewana wala kuishi pamoja.....

Driving Tour 2013-09-16 013 copy.jpg

.....Hilo tofali la nyuma mfano wa meza ndo Babel yenyewe ...unaweza kufikiri ni majabali HAPANA ni kazi za binadamu....
hizo hapo ndio ngano za kiizraeli..
 
Ila inanishangaza badala ya kutarget chama tawala tumeamua kutarget vyama vya upinzani..hii sijaielewa............

Ninayo kazi maalum ya kuvuruga watu kadiri inavyowezekana.
Mimi, kwa jinsi nilivyo na uwezo Ubungo, Kawe na Singida Mashariki wameniomba nikagombee ubunge huko ila lengo langu kuu ni kukiondoa chama tawala madarakani.
 
.....wamejidhihirisha kwa matendo yao lakini tetemeko linakuja na watakuwa Historia

Tutawahukumu kwa matendo yao....nikipewa nafas ya kuchagua zawad siku ya pasaka nitachagua kichwa cha mzee wa kushinda angan km ndege
 
Ninayo kazi maalum ya kuvuruga watu kadiri inavyowezekana.
Mimi, kwa jinsi nilivyo na uwezo Ubungo, Kawe na Singida Mashariki wameniomba nikagombee ubunge huko ila lengo langu kuu ni kukiondoa chama tawala madarakani.

Hongera.................ila angalia usije ukawa unajivuruga mwenyewe .................hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ila inanishangaza badala ya kutarget chama tawala tumeamua kutarget vyama vya upinzani..hii sijaielewa............

....Sasa hivi ni kushambulia mwenye mbwa na mbwa atarudi mtaani kama mbwa koko
 
Ninayo kazi maalum ya kuvuruga watu kadiri inavyowezekana.
Mimi, kwa jinsi nilivyo na uwezo Ubungo, Kawe na Singida Mashariki wameniomba nikagombee ubunge huko ila lengo langu kuu ni kukiondoa chama tawala madarakani.

....na watanzania wameniambia nigombee majibo yote
 
Back
Top Bottom