Acha zako Mgogo angeyasema haya..Na CUf imeshindwa vipi ku penetrate Ugogoni au kwa sababu nako wakristu wamejaa muilsaam wewe tu..
Mkuu usitake sana kuutumia Uislaam maana haupo Zanzibar ila kuna Usultan ambao mnautumia sana kudanganya wananchi kama enzi za utumwa na wakoloni.. Wazo hilo ondoa kabisa, ila baina yao wapo waislaam nao wa kuhesabu kutokana na TOTAL submission to Allah.. Hizi habari za kutoa shahada na kuitana waislaam kwa kuwa kazaliwa mwarabu, mhindi na Mngazija ni ukungu wa ubongo unaotakiwa kusafishwa.
Chadema watafika tu Zanzibar Ishaallah maadam tumeisha uvua unafiki wa CUF wapo watu watakuja tuelewa na wala hatuna sababu ya kushindana leo. Leo hii mnajinadi bara mtashindwa na taratibu wananchi wataanza kuziona rangi zetu kutumia dini kama ngao ya unafiki mkubwa mlokuwa nao hao kina Seif na mamluki wake. Na ajabu mmefikia hata kuwafukuza Waislaam wenzanu au HR kabadilisha dini?.. sio Muislaam huyo?
Ha ha typical cdm fan,
Nani aliyekwambia CUF haiko Dodoma? njoo dodoma uone walivyoenea??..Same applies to CUF tutafika maeneo yote ya wakristo InshAllah..
Aisee kumbe HR kufukuzwa kwake kunatokana na uislam wake?? na kufukuzwa kwa madiwani watano Arusha wa chadema kunatokana na ukristo wao??
Wewe una akili sana wewe