Picha: Mkutano wa CUF Dar wafurika

sasa mkuu wangu unaniulizaje swali ili hali hujanijibu swali langu..au nielewe kuwa huna jibu na ulitunga tu ili kunogesha ukumbi?

Wewe anza kujibu kwanza, maana ndio ulianza na blank allegation kwamba hawa jamaa (meaning) CUF wenye akili timamu wanajua wanfanya siasa za aina gani? nami nikakujibu kuwa hata sisi CUF wenye akili timamu tunajua nyinyi mnaendesha siasa za namna gani?

Hembu anza wewe kujibu ni siasa zipi nyie wenye akili timamu mnazijua cuf wanafanya??
 
Kama unge- declare mapema kwamba huna shida na CUF except Maalim Seif na Jussa ningekuelewa; lakini ulipoanza kuwakandia CUF eti wanakumbatia dini, kama ambavyo chadema inavyokumbatia wakatoliki mbona mjadala ungeshaisha zamani?? kwani kwangu mimi mtu yeyote anayeleta dharau na uislam na waislam hana nafasi hata kidogo kwenye maisha yangu..

Mkuu hata mimi sina shida na chadema isipokuwa viongozi wake Dr. Slaa na kina JJ Mnyika ambao kutwa kucha kazi kuchangisha harambee za kanisani as if wamechaguliwa kueneza ukristo...

Tuko pamoja kama ni matatizo ya viongozi na si chama ..tchao
Nitakuwaje na matatizo na Waislaam wakati mimi mwenyewe Muislaam. Mkuu wangu naomba unielewe vizuri tena nakuomba sana.. Sipendi watu wanaotumia jina la Uislaam kwa maslahi yao na viongozi wa CUF wanafanya hivyo sana. Sasa leo hii wanataka kuwatupa watu wa bara kwa sababu gani? Uislaam au ni tamaa zao za madaraka wakijua kwamba wakivunja muungano Zanzibar itakuwa na viongozi wake 300 wa serikali na Bunge kila mtu atakula chake mapema...

Dr.Slaa na J.J Mnyika wakichangia kanisa kuna kosa gani?... Kwa nini Seif na JK wasichangie misikiti isipokuwa Bakhresa? kwani wamekatazwa mbona mnawatafuta wakristu hata ktk mambo yao ya kiibada jamani. Dr.Slaa ni mkristu kwanza na zaka na sadaka kwao ni ibada kama ilivyo kwa JK ndani ya uislaam, hivyo kama raia anaruhusiwa kuzifanya ibada zake. nani kamkataza JK asitoe msaada kwa waislaam kutoka mfukoni mwake mbona anachangia makanisa.

Waliomuua Hanga kumpiga Karume na hata kumpoteza mpiganaji Abraham Babu kina nani kama sio sisi wenyewe. lakini lazima tutafute wachawi nje why hatutaki kuwakabiri mahasidi wetu wenyewe..Hizi lawama kwa nini tunapenda kuwalaumu wakristu hali wanaotumaliza ni waislaam wenzetu.

Mkataba wa Mou kauweka nani alikuwa rais Mwinyi - umesikia hata siku moja akilaumiwa!..Mahusiano wa Tanzania na Israel aliurudisha nani - Mwinyi! aliyemuuwa Sheikh Kassim Bin Juma na kupiga marufuku Balukta nani - Mwinyi, hadi kina Mohammed said walikuwa wanted mjini wakijificha kwa jina la dini.. Hee mkuu wangu sumu tunakunywa wenyewe kwa nini tunatafuta mchawi wakati wachawi tunasali nao kila siku. Leo namzungumzia Seif mnakuja juu wakati mnaona kabisa anayoyafanya ni kinyume cha Uislaam na haitakii kheri Zanzibar lakini mnambeba kwa jina la Uislaam na Zanzibar..
 
Wewe anza kujibu kwanza, maana ndio ulianza na blank allegation kwamba hawa jamaa (meaning) CUF wenye akili timamu wanajua wanfanya siasa za aina gani? nami nikakujibu kuwa hata sisi CUF wenye akili timamu tunajua nyinyi mnaendesha siasa za namna gani?

Hembu anza wewe kujibu ni siasa zipi nyie wenye akili timamu mnazijua cuf wanafanya??
obviously unangojea nikujibu ili u copy na ku paste kwenye kunijibu..
umeshasomeka mkuu..
 
Kushahadia pekee haikurudishi ktk Uislaam ni sawa na kukubali (shahada) ulipotoka na sasa unarudi ktk njia ongofu..Lakini kama hutajisalimisha kwa mola wako kwa kufuata njia ongofu ati kwa sababu tu ulishadia unajidanganya mwenyewe..

Lazima ufuate Uislaam unavyotakiwa hakuna excuse zaidi ya zile zilizoorodheshwa... hao Wa Libya na Wasyria utawaita waislaam walioasi wakati wanafanya kufur kubwa tuuite ati uasi.. Huwezi kuacha ibada kubwa ukisema kesho nitarudi ktk Uislaam Mwenyezi Mungu sii wa kuchezea kama unaingia kuoga maji ukichafuka. Na ndio maana mtume akasema kama wewe husali huna tofauti na Kafir ikiwa na maana zipo sifa zinazokufanya wewe uwe Muislaam na neno Total submission lina maana kubwa zaidi ya kutoa shahada. huapishwi uraia mkuu wangu hii ni imani ya Mungu, dini sio uraia.

Pili maana ya shahada ni kushuhudia na kukubali kwamba hakuna Mola apaswaye KUABUDIWA kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu na usipomuabudu shaha yako haina kazi maana huyo Ustadhi ni shahidi tu wa kwamba uliukubali Uislaam kama hutautuafata hiyo ni kesi yako na huyu siku ya siku atakuwa shahidi dhidi yako wewe. Hakuna sababu ya huo Ustadhi maana hawa watu hawakuniamini mimi hivyo wewe chukua darsa kutoka kwangu. Bongo mambo mengi sana mnadanganyana..

Mkandara suala hapa ni kujitowa uislamu na ndio maana nikakuuliza jee ukiacha swala unatoka uislamu yaani unaritadi?

Muislamu haachi kuwa Muislamu eti kwa kuwa amefanya makos zaidi ya yale ya kumshirikisha mola wake.

Nilipokuuliza jee shehe anapomrejesha msikitini aliyeasi kwenda msikitini analazimika kumsilisha tena? Naona hunipi jawabu na badala yake unazunguka tu.

Msingi wa yote haya ni wewe kufikiri kuwa eti kwa vile Hamadi Rashid ni Muislamu basi waislamu wasimfukuze kwenye CHama. CHama ni chama na dini ni dini lakini iwaponinakuona kuwa una agenda na dini yangu basi hata Mola kaniagiza nikuepuke na ndio maana nikakwambia chama chenye agenda itakayokwenda kinyume na uislamu matokeo yake kuwa Waislamu hawatojiunga na imetokea kuwa Zanzibar kuna waislamu wengi bila shaka matokeo ni hayo
 
Nitakuwaje na matatizo na Waislaam wakati mimi mwenyewe Muislaam. Mkuu wangu naomba unielewe vizuri tena nakuomba sana.. Sipendi watu wanaotumia jina la Uislaam kwa maslahi yao na viongozi wa CUF wanafanya hivyo sana. Sasa leo hii wanataka kuwatupa watu wa bara kwa sababu gani? Uislaam au ni tamaa zao za madaraka wakijua kwamba wakivunja muungano Zanzibar itakuwa na viongozi wake 300 wa serikali na Bunge kila mtu atakula chake mapema...

Dr.Slaa na J.J Mnyika wakichangia kanisa kuna kosa gani?... Kwa nini Seif na JK wasichangie misikiti isipokuwa Bakhresa? kwani wamekatazwa mbona mnawatafuta wakristu hata ktk mambo yao ya kiibada jamani. Dr.Slaa ni mkristu kwanza na zaka na sadaka kwao ni ibada kama ilivyo kwa JK ndani ya uislaam, hivyo kama raia anaruhusiwa kuzifanya ibada zake. nani kamkataza JK asitoe msaada kwa waislaam kutoka mfukoni mwake mbona anachangia makanisa.

Waliomuua Hanga kumpiga Karume na hata kumpoteza mpiganaji Abraham Babu kina nani kama sio sisi wenyewe. lakini lazima tutafute wachawi nje why hatutaki kuwakabiri mahasidi wetu wenyewe..Hizi lawama kwa nini tunapenda kuwalaumu wakristu hali wanaotumaliza ni waislaam wenzetu.

Mkataba wa Mou kauweka nani alikuwa rais Mwinyi - umesikia hata siku moja akilaumiwa!..Mahusiano wa Tanzania na Israel aliurudisha nani - Mwinyi! aliyemuuwa Sheikh Kassim Bin Juma na kupiga marufuku Balukta nani - Mwinyi, hadi kina Mohammed said walikuwa wanted mjini wakijificha kwa jina la dini.. Hee mkuu wangu sumu tunakunywa wenyewe kwa nini tunatafuta mchawi wakati wachawi tunasali nao kila siku. Leo namzungumzia Seif mnakuja juu wakati mnaona kabisa anayoyafanya ni kinyume cha Uislaam na haitakii kheri Zanzibar lakini mnambeba kwa jina la Uislaam na Zanzibar..

Tatizo lako hueleweki mkuu..

Kama una differ na maalim na Jussa kama viongozi wa CUF na siyo CUF as an Institution tuko pamoja kwasababu hata mimi nina reservation zangu nyingi kwa viongozi kadhaa wa ccm na cuf hiyo ni kawaida ..ukitaka kwenda beyond that sintakuelewa CUF ni insitutiton yenye watu wengi sana na kila mkoa..

Kama ambavyo mimi nina reservation na Slaa na JJ Mnyika siyo na Chadema kama Insitution ikitaka ni kwanini huo ni mjadala mwingine kabisa..tunaongelea instutitions..na viongozi wake wanasimamia nini na wanaonaje wananchi wengine; kama ambavyo wewe unawaona maalim na jussa kama vile hawawapendi watanganyika; mimi namuona Slaa na Mnyika kwa wasalaiti wakubwa kwa waislamu wa Tanzania kwa kutumia institutions kama sehemu yao ya kudandia..na their ill-intentions..

Chadema haitosaidia MoU; ina fact watawaongezea kanisa deal zingine sasa sijui unapiga kelele za nini uko kwenye very wrong personalities na institution..
 
Nitakuwaje na matatizo na Waislaam wakati mimi mwenyewe Muislaam. Mkuu wangu naomba unielewe vizuri tena nakuomba sana.. Sipendi watu wanaotumia jina la Uislaam kwa maslahi yao na viongozi wa CUF wanafanya hivyo sana. Sasa leo hii wanataka kuwatupa watu wa bara kwa sababu gani? Uislaam au ni tamaa zao za madaraka wakijua kwamba wakivunja muungano Zanzibar itakuwa na na viongozi wake 300 wa serikali na Bunge kila mtu atakula chake mapema...

Dr.Slaa na J.J Mnyika wakichangia kanisa kwa nini Seif na JK wasichangie misikiti isipokuwa Bakhresa? kwani wamekatazwa mbona mnawatafuta wakristu hata ktk mambo yao. Dr.Slaa ni mkristu kwanza na zaka kwao ni ibada kama ilivyo kwa JK, hivyo kama raia anaruhusiwa kuziofanya ibada zake. nai kamkataza JK asitoe msaada kwa waislaam kutoka mfukoni mwake mbona anachangia makanisa. Waliomuua hanga kumpiga Karume na hata kumpoteza mpiganaji Abraham Babu kina nani kama sio sisi wenyewe. lakini lazima tutafute wachawi nje why hatutaki kuwakabiri mahasidi wetu wenyewe..

Hizi lawama kwa nini tunapenda kuwalaumu wakristu hali wanaotumaliza ni waislaam wenzetu. Mkataba wa Mou kauweka nani? Mwinyi - Mahusiano wa Tanzania na Israel aliurudisha nani - Mwinyi! aliyemuuwa Sheikh Kassim Bin Juma na kupiga marufuku Balukta nani - Mwinyi hadi kina Mohammed said walikuwa wanted mjini wakijificha kwa jina la dini.. Hee mku wangu sumu tunakunywa wenyewe kwa nini tunatafuta mchawi wakati wachawi tunasali nao kila siku. Leo namzungumzia Seif mnakuja juu wakati mnaona kabisa anayoyafanya ni kinyume cha Uislaam na haitakii kheri Zanzibar lakini mnambeba kwa jina la Uislaam na Zanzibar..

Mkandara mbona unajikanyaga? Iwapo CUF wanatumia uislamu, jee hao Waislamu wameritadi huko Bara kiasi cha wao CUF kuwakimbia?
Ni ujinga ulioje kufikiri kuwa Zanzibar hawana haki ya kudai chao, hawana haki ya kuabudu dini waitakayo, au kufikiri kuwa Wazanzibari hawajuwi kipi chenye maana nao.

Kila mmoja ana uhuru wa kuchangia dini yake lakini tunapokuja katika mambo ya utaifa ukasema kuwa mtu wa dini fulani lazima awe kiongozi fulani, unapokataa maslahi fulani eti kwa kuwa yanamuhusu mtu wa dini fulani hapo unakwenda kinyume.

Mkandara wewe kama Muislamu ungekuwa mkweli na kauli ya CHama chako kupinga Wazanzibari kuachana na uhasama na kuungana na kuunda Serikali moj? Wewe kweli Muislamu unaeshangilia uhasama ndani ya jamii? Hivyo Shekhe Mkandara atatakiwa ujibu kwa mola wako kwa kushabikia Chama kinchohubiri uhasama miongoni mwa Waislamu wenzako na kupinga maelewano. Nashangazwa na Uislmu wako kumkosoa Seof nawe unahubiri machafuko.
 
Siku nyingine usitoe blank allegation kwa institution kama ulivyofanya maana huwezi ku-substantiate..

Kaa kimya

mimate ya nini sasa?wewe si umezusha hapo umeshindwa kunijibu..
unaulizwa swali eti na wewe unauliza swali hilo hilo mambo gani haya
 
Mkandara suala hapa ni kujitowa uislamu na ndio maana nikakuuliza jee ukiacha swala unatoka uislamu yaani unaritadi?
Muislamu haachi kuwa Muislamu eti kwa kuwa amefanya makos zaidi ya yale ya kumshirikisha mola wake.
Nilipokuuliza jee shehe anapomrejesha msikitini aliyeasi kwenda msikitini analazimika kumsilisha tena? Naona hunipi jawabu na badala yake unazunguka tu,
Msingi wa yote haya ni wewe kufikiri kuwa eti kwa vile Hamadi Rashid ni Muislamu basi waislamu wasimfukuze kwenye CHama. CHama ni chama na dini ni dini lakini iwaponinakuona kuwa una agenda na dini yangu basi hata Mola kaniagiza nikuepuke na ndio maana nikakwambia chama chenye agenda itakayokwenda kinyume na uislamu matokeo yake kuwa Waislamu hawatojiunga na imetokea kuwa Zanzibar kuna waislamu wengi bila shaka matokeo ni hayo
Mkuu unazungumza vitu gani wewe.. sasa kama mtu hatoki ktk Uislaam inakuwaje unatoa tena shahada! why mtu utoe shahada ukiwa tayari muislaam hata sikuelewi. Unapotoa shahada ina maana uliondoka ktk Uislaam now how long haijalishi ndio maana mtu anatoa shahada upya kama mkristu, Hindu anma mtu mwingine yeyote atakaye ingia Uislaam na wewe.

Ukiacha sala kwa KUASI mkuu wangu bora ushahadie upya kwa sababu kuasi inatofautiana na sababu zilizowekwa kwa kutoa fuata sala. Shahada kwa lugha fupi naweza sema ni to bear a witness yaani ina constitute presupposes respect for the law.. sasa kama hutafuata law za Kuran maana niliwahi kuwaambia kuwa Islaam sio watu bali ni DINI inayosimama peke yake na wewe ndiye unatakiwa kuingia kuifuata na obedience to the rule of law..Na usipozifuata hizi law mkuu wangu inakuondoa ktk Uislaam ...maadam Uislaam ni way of life huwezi kusema nitarudi Uislaam kesho leo acha niwe kafir kidogo.. Kitabu ndio maisha yako unatakiwa kuishi hivyo ili uwe na ubakie Muislaam. Ukiasi maisha hayo huwezi kuwa Muilslaam kwa sababu ati ulisha toa shahada.. waliokwambia hivyo wamekudanganya maana sisi wabongo kwa kutafuta nafuu hatujambo.

Kwa nini Orthodox wa dini zote iwe waislaam, Jew na wakristu tunawaogpa sana! kwa sababu hawa ni watu wanaofuata kitabu, mimi na wewe mkuu wangu kila siku ukiamka asubuhi basi toa shahada maana tunamkufur Mungu kila siku..acha mbali kutosali..
Ya Hamad Rashid mkuu wangu tuyaache kama yalivyo maana Topical anazungumzia Uislaam na CUF na ndiko nilikotokea..
 
Tatizo lako hueleweki mkuu..

Kama una differ na maalim na Jussa kama viongozi wa CUF na siyo CUF as an Institution tuko pamoja kwasababu hata mimi nina reservation zangu nyingi kwa viongozi kadhaa wa ccm na cuf hiyo ni kawaida ..ukitaka kwenda beyond that sintakuelewa CUF ni insitutiton yenye watu wengi sana na kila mkoa..

Kama ambavyo mimi nina reservation na Slaa na JJ Mnyika siyo na Chadema kama Insitution ikitaka ni kwanini huo ni mjadala mwingine kabisa..tunaongelea instutitions..na viongozi wake wanasimamia nini na wanaonaje wananchi wengine; kama ambavyo wewe unawaona maalim na jussa kama vile hawawapendi watanganyika; mimi namuona Slaa na Mnyika kwa wasalaiti wakubwa kwa waislamu wa Tanzania kwa kutumia institutions kama sehemu yao ya kudandia..na their ill-intentions..

Chadema haitosaidia MoU; ina fact watawaongezea kanisa deal zingine sasa sijui unapiga kelele za nini uko kwenye very wrong personalities na institution..
Nakuomba nambie Dr.Slaa na Mnyika wamewasiliti vipi Uislaam.. nadhani tuanze hapo. kwanza..
Maadam unakubali Jussa na Seif wanawasaliti waislaam na Wazanzibar kulingana na sababu zangu au zako mwenyewe nadhani huko hatuna sababu ya kwenda tena.
 
Nakusubiri mkuu wangu usiingie mitini?...
2. Nambie chama gani kina oppose muafaka wa MoU..
 
Mkuu mbona unaweka maneno yako kwangu; mimi sijasema kwamba Jussa na Seif wanawasaliti waislam NO! nimesema nina reservation kama viongozi wa CUF kama taasisi ya kisiasa period! kama ambavyo nina reservation kwa viongozi wa chadema Slaa na Mnyika..

oh unaniuliza kwa vipi Dr. Slaa anausaliti waislam na uislam, mkuu nimeshaenda ofisini kwake mara nyingi tumeongea mambo ya siasa na dini ana chuki ya kufa mtu na uislam ..
 
Nakusubiri mkuu wangu usiingie mitini?...
2. Nambie chama gani kina oppose muafaka wa MoU..

Hakuna hata chama kimoja cha siasa kinacho oppose MoU kati ya CCM na Chadema; hapo sera yao ni sawasawa kusaidia kanisa na ikibidi waislamu walie tu..nina uhakika wa CUF hasa Lipumba ana oppose MoU na yuko tayari Taifa kujiunga na OIC..
 
Mbona bagarashia zimefurika hapo! CCM kiboko

Wengine hadi tumeshindwa kuchangia maana kimekuwa kama kipindi cha mawaidha ya dini lakini sioni ajabu coz it is very hard to draw a single line between CUF and Islam.
 
Wengine hadi tumeshindwa kuchangia maana kimekuwa kama kipindi cha mawaidha ya dini lakini sioni ajabu coz it is very hard to draw a single line between CUF and Islam.

Of course it is very hard to draw a single line between Chadema and Christianity..too
 
Hii thread imechafuliwa na mambo ya kidini dini yanayowekwa sehemu isiyohusika!! Kuna watu wanatumia taaluma zao za dini vibaya hapa.
 
Hakuna hata chama kimoja cha siasa kinacho oppose MoU kati ya CCM na Chadema; hapo sera yao ni sawasawa kusaidia kanisa na ikibidi waislamu walie tu..nina uhakika wa CUF hasa Lipumba ana oppose MoU na yuko tayari Taifa kujiunga na OIC..

kumbe ndio sababu mnaunga mkono CUF.Nimejua sasa.
 
Back
Top Bottom