Picha: Mkutano wa CUF Dar wafurika

Acha zako Mgogo angeyasema haya..Na CUf imeshindwa vipi ku penetrate Ugogoni au kwa sababu nako wakristu wamejaa muilsaam wewe tu..
Mkuu usitake sana kuutumia Uislaam maana haupo Zanzibar ila kuna Usultan ambao mnautumia sana kudanganya wananchi kama enzi za utumwa na wakoloni.. Wazo hilo ondoa kabisa, ila baina yao wapo waislaam nao wa kuhesabu kutokana na TOTAL submission to Allah.. Hizi habari za kutoa shahada na kuitana waislaam kwa kuwa kazaliwa mwarabu, mhindi na Mngazija ni ukungu wa ubongo unaotakiwa kusafishwa.

Chadema watafika tu Zanzibar Ishaallah maadam tumeisha uvua unafiki wa CUF wapo watu watakuja tuelewa na wala hatuna sababu ya kushindana leo. Leo hii mnajinadi bara mtashindwa na taratibu wananchi wataanza kuziona rangi zetu kutumia dini kama ngao ya unafiki mkubwa mlokuwa nao hao kina Seif na mamluki wake. Na ajabu mmefikia hata kuwafukuza Waislaam wenzanu au HR kabadilisha dini?.. sio Muislaam huyo?

Ha ha typical cdm fan,

Nani aliyekwambia CUF haiko Dodoma? njoo dodoma uone walivyoenea??..Same applies to CUF tutafika maeneo yote ya wakristo InshAllah..

Aisee kumbe HR kufukuzwa kwake kunatokana na uislam wake?? na kufukuzwa kwa madiwani watano Arusha wa chadema kunatokana na ukristo wao??

Wewe una akili sana wewe
 
Nonda,
Kwani Nyerere ndiye alikuwa msafi?.. alikuwa Dikteta na kwa kufanya hivyo alionyesha Udikteta wake hivyo hatutegemei kuona mtu mwingne ktk serikali ya demokrasia akifanya hivyo. Wakati wa Nyerere akipita ilitakiwa maduka yafungwe, mjipange barabarani na kupiga makofi hii yote leo ni dharau..
 
Chadema hatuna dini mkuu wangu dini tupachikeni nyie maana wewe mwenyewe unalia na CUF na Uislaam, Ticket unaitumia mwenyewe bila kushikizwa..sikuyasema mimi hata kidogo. Kama kweli mnatetea Uislaam mbona Muislaam HR kasema ukweli kuhusu Wazanzibar Wagogo kina nyie tayari wamemtoa roho muislaam anayetetea Uislaam bara?.

Sasa Mzanzibar wewe Mgogo (MgoZanji) sijui utakimbilia wapi! aaaah CCM! ndio maana nawaona wengi wenu WagoZanji hadi kule Sheruwi Singida wanajiunga CCM kwa nguvu zote, sasa naelewa usialaam mnautupa wenyewe mnamrudia mbaya wenu.
 
Kwa mwenye uelewa, naomba ufafanuzi wa bendera iliyo nyuma ya jukwaa walilotumia waheshimiwa kwa ajili ya kuongea.

Sijawahi kuona bendera ya namna hiyo na sielewi ina maanisha nini. Nimeona kama kuna bendera ya Tanganyika na Tanzania. Sijui kama ni bendera mbili zimeunganishwa au ni bendera mbili zinapepea kwenye mlingoti mmoja? Mnisamehe, macho yangu ni mabovu.
tushakusamehe pia kwa uelewa mbovu!
 
Ni rasmi sasa. Nchi imevaa bukta;

1. Chama hiki ni dhahiri kina muelekeo wa kidini lakini dola inakichekelea
2. Kiongozi wa chama hichi ni Rais wa nchi jirani inayopinga uwepo wa URT
3. Rais huyo anakuja URT na kuwakuta wananchi wa URT wanamsubiri kwa hamu
4. Rais huyo anawasomesha wananchi wa YRT kama vile ni watoto - sawasawa?
5. Wananchi wa URT wanamkenulia meno full time
6. Muda wote huo bendera ya URT hairuhusiwi kupeperuka, ni ya nchi jirani tu inayoruhusiwa kutamba

Hatshangai kwa vile wewe mwenyewe hujijui. Hebu jiulize tisa desemba juzi ulisherehekea nini? Jee ulisherehekea URT? Jitambue halafu urudi kutoa hoja.
 
Chadema hatuna dini mkuu wangu dini tupachikeni nyie maana wewe mwenyewe unalia na CUF na Uislaam, Ticket unaitumia mwenyewe bila kushikizwa..sikuyasema mimi hata kidogo. Kama kweli mnatetea Uislaam mbona Muislaam HR kasema ukweli kuhusu Wazanzibar Wagogo kina nyie tayari wamemtoa roho muislaam anayetetea Uislaam bara?..
Sasa Mzanzibar wewe Mgogo (MgoZanji) sijui utakimbilia wapi! aaaah CCM!... ndio maana nawaona wengi wenu WagoZanji hadi kule Sheruwi Singida wanajiunga CCM kwa nguvu zote.. sasa naelewa usialaam mnautupa wenyewe mnamrudia mbaya wenu.

Easy to say than done; kama chadema hakuna udini kwanini mmeshindwa ku-penatrate zanzibar? au sehemu zenye waislam wengi? pili kwanini viongozi wengi wa chadema ni wakatoliki tena supportets wengi wametoka au kusoma seminary za kikatoliki???

CUF hakuna udini ndugu yang; ni chama kinachofuata principles na kila anayevunja katiba anaondolewa kwa mujibu wa katiba.
 
Nonda,
Kwani Nyerere ndiye alikuwa msafi?.. alikuwa Dikteta na kwa kufanya hivyo alionyesha Udikteta wake hivyo hatutegemei kuona mtu mwingne ktk serikali ya demokrasia akifanya hivyo. Wakati wa Nyerere akipita ilitakiwa maduka yafungwe, mjipange barabarani na kupiga makofi hii yote leo ni dharau..

Duuh!

Watetezi wa "dikteta" wamelala nini leo? Ngoja waamke kesho, utapata scud zako!!

You might be right though. Call spade a spade. I like it.

Tunahitaji wakandara wengi ili tupate katiba ya kuondoa udikteta.
 
Seif ni kiongozi wa Serikali ya Zanzibar na sio kiongozi wa serikali ya Muungano( de facto serikali ya Tanganyika kama unavyoiita, unasahau kuwa ni serikali ya kuchanga) , na yupo ndani ya TZ.

Yawezekana anapeperusha bendera ya TZ anapotoka nje ya mipaka ya TZ. Hili sina uhakika nalo. Na sasa anataka zamu kwa zamu urais wa serikali ya jamhuri ya muungano ili apepeperushe bendera ya Mungu ibariki TZ na watu wake!

Tunaposema Muungano huu ni mazingaombwe wengine wanakuja juu na kutoka kipovu!

Bendera ya Jeshi la polisi imefanana na hiyo ya Zanzibar. Tanzania - Police

Zidumu fikra za Mwalimu! Kigumu chama cha Mapinduzi! Wanaulinda Muungano wao kwa bidii na kwa mbinde.

Hata CHADEMA ndugu yangu na ndio maana kwenu si mgogoro (sera Yenu) kwani kama ungekuwa ni mgogoro mgekwisha kutishia maandamano. Najiuliza siori ya wenzetu wa Bara Magamba na Watani zake kuungangania huu Muungano!
 
Mbona huwa sioni Bendera ya taifa nyuma ya altare anapohutubia mwenyekiti wa ccm ambaye pia ni raisi wa URT??..pia mwenyekiti huyo hupanda gari yenye namba za kawaida huku akipeperusha bendera ya chama chake..inakuwaje huyu anapanda gari oficial ya serikali????. Je ni kulewa madaraka??. Ndivyo alikuwa akihubiri kabla ya kupata cheo hiki??. Mh.
Ningekuamini kama ungekuwa unasema ukweli lakini loh! uko mbali sana na ukweli.
 
acha zako mgogo angeyasema haya..na cuf imeshindwa vipi ku penetrate ugogoni au kwa sababu nako wakristu wamejaa muilsaam wewe tu..
Mkuu usitake sana kuutumia uislaam maana haupo zanzibar ila kuna usultan ambao mnautumia sana kudanganya wananchi kama enzi za utumwa na wakoloni.. Wazo hilo ondoa kabisa, ila baina yao wapo waislaam nao wa kuhesabu kutokana na total submission to allah.. Hizi habari za kutoa shahada na kuitana waislaam kwa kuwa kazaliwa mwarabu, mhindi na mngazija ni ukungu wa ubongo unaotakiwa kusafishwa.

Chadema watafika tu zanzibar ishaallah maadam tumeisha uvua unafiki wa cuf wapo watu watakuja tuelewa na wala hatuna sababu ya kushindana leo. Leo hii mnajinadi bara mtashindwa na taratibu wananchi wataanza kuziona rangi zetu kutumia dini kama ngao ya unafiki mkubwa mlokuwa nao hao kina seif na mamluki wake. Na ajabu mmefikia hata kuwafukuza waislaam wenzanu au hr kabadilisha dini?.. Sio muislaam huyo?

mkandara hongera ni lini umejiunga na chadema?.. Nadhani sasa utasaidia kuondoa ubaguzi na chuki za kidini zilizojikita ktk chama hiki na pia utasaidia kuwapora wachagga na wakatoliki bila kusahau kurudisha chama mikononi mwa wananchama badala ya undugu nization...

Pia utasaidia akina zito kabwe nao waruhusiwe kugombea uenyekiti wa chadema na urais...
 
My conclusion kumbe mtatiro ni kilaza.. Anaendeshwa na mkumbo wa maalim seif

Ndio unajua leo, hata namna ya kuongea kabadilisha. Siku hizi anaongea kwa kuvuta maneno kama Mwenyekiti wao Lipumba ambaye kakimbia nchini kweda kupiga vibarua Malaysia. Mchumi yule, hawezi kukaa hapa bure huku dolali zinamsubiri kule.
 
mkandara hongera ni lini umejiunga na chadema?.. Nadhani sasa utasaidia kuondoa ubaguzi na chuki za kidini zilizojikita ktk chama hiki na pia utasaidia kuwapora wachagga na wakatoliki bila kusahau kurudisha chama mikononi mwa wananchama badala ya undugu nization...

Pia utasaidia akina zito kabwe nao waruhusiwe kugombea uenyekiti wa chadema na urais...

Nilishamwambia hawezi kupenyeza huko hata kama angetaka kuwa kiongozi wa chadema;

Atabakia by-standers na kubeba mabegi ya JJ Mnyika (superman), Wilbroad Slaa, Mbowe etc..

Nani ampe nafasi the maximum he can be ni kuwa mwanachama "Mtiifu" akijaribu kutafuta uongozi atapachikwa kuwa ni mdini na mtu wa vurugu
 
Mambo matatu makubwa sana ktk picha hizi..
1. Wananchi wanaonekana wanyonge sana na wameshindwa hata kubeba bendera ya CUF, picha zote nimeona mtu mmoja tu..
Naam uko sahihi kuwa wananchi wako wanyonge, hivyo wananchi wanachama wa CCM na CHADEMA mambo yao mazuri kiasi kuwa hakuna wanachama sehemu kama jangwani?
2. Bendera ya Taifa hakuna wakati tumeziona za chama na Zanzibar - Hatari kubwa pengine hata uikikaji wa sheria ya Kitaifa - sina hakika..
Huo si mkutano wa Kitaifa bali ni wa Chama na hiyo unyoiona inasymbolize nafasi ya umakamo wa urais wa Zanzibar.
3. Seif Mahamd kama kiongozi anaongea mkono mfuko ni utovu mkubwa wa adabu kwa kiongozi kuonyesha dharau hizi. Katika mafundisho ya uongozi wapi mikono yako unatakiwa usiiweke hata siku moja ni mifukoni wakati unahutubia wananchi, yeye kafanya sijui kwa kutoelewa ama makusudi.

Umetumia neno zuri kuwa hujui hivyo si busara kusema kuwa anaonyesha jeuri. Pengine alikuwa akimuigiza "Kibwetere" AK Hamadi Rashid
 
Easy to say than done; kama chadema hakuna udini kwanini mmeshindwa ku-penatrate zanzibar? au sehemu zenye waislam wengi? pili kwanini viongozi wengi wa chadema ni wakatoliki tena supportets wengi wametoka au kusoma seminary za kikatoliki???

CUF hakuna udini ndugu yang; ni chama kinachofuata principles na kila anayevunja katiba anaondolewa kwa mujibu wa katiba.
Alaaa! mbona hueleweki? Mara CUF inatetea Uislaam halafu tena unasema CUF hakuna Uislaam. CUF ni yya Wazanzibar mara mnakuja Bara kutafuta watu yaani hamueleweki kama Wazenji wenyewe maana ukiwauliza sana wanatakwambia mimi sio Mwafrika ni M-Oman, M-Yemen na wengine Wangazija..sasa mnagombea zanzibar huru kwa misingi gani na sio kwenu!

Chadema watafika tu Zenji kama itabidi lakini maadam swala lenu ni kujitenga hatuna haraka maana sisi huku Wabara tunajiandaa tu na kushughulikia Wagozenj na wengineo wa Temeke na Ilala..Kwani tulifikaje kanda ya ziwa, Mbeya na Iringa! na ujumbe umepokelewa. Sasa mkuu wangu ikiwa shule nyingi nchi ni za semimary unategemea kipi zaidi tofauti na Zanzibar ambako viongozi wengi wamesoma madrasa pia?.. Hiki kigezo gani... ulitaka Mkatoliki akasome shule za kata au madrasa!
 
Ngekewa,
Symbolize ya bendera huwekwa menzani pale pembeni au mbele yake na maadam kulikuwa na viongozi wa juu wa chama kutoka BARA ni lazima uweke pia bendera ya bara ktk mkutano wa chama ama huweki zote - inapepea bendera ya chama tu.. Huwezi kupeperusha juu ya jukwaa bendera ya Zanzibar ndani ya nchi nyingine ukasahau kuiweka ya bara ama ukaona hakuna umuhimu.

Hawa ni magaidi wa Muungano Na hasa huyo Jussa, na wamefanya hivyo makusudi (habari tunazipata haraka sana kuliko nyie) na ukijumlisha yote haya unapata kile ambacho wengi wanajiuliza hadi wameshindwa kubeba wala kuvaa jezi za CUF..
 
Picha nilizoona hapo juu zimedhihirisha kuwa Hamad Rashid alikuwa sahihi!! Maalim Seif hana mpango na CUF ya Tannganyika, anahitaji CUF ya Zanzibar itakayo mwezesha kuwa Rais au Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. Picha hizi zinaonyesha CUF Zanzibar walipofanya mkutano wao pale Manzese.

Tusubirie Mkutano wa CUF Tanzania bara utakao peperusha bendera za CUF na Bendera ya Taifa na kuhutubiwa na viongozi wa CUF bara akiwemo Lipumba na HR
 
Mkuu haya ni maswala makubwa sana ktk kutafiti nguvu ya chama na viongozi wake. Yes, kutopandisha bendera ya taifa ni dharau ikiwa umepandisha ya serikali ya Zanzibar, kiongozi kuhutubia wananchi mkono mfukoni ni dharau (tofautisha na kuongea na mtu, watu ama ktk mazungumzo vijiweni)

Yote haya yanachangia sana ktk kupima Uzalendo. Wewe nambie kwa nini bendera ya Zanzibar ipeperushwe ktk mkutano wa hadhara na isiwekwe kabisa ya Jamhuri?.

Mimimnaona kutofahamu na kutouliza ndio kosa kubwa kuliko hayo ya kutoweka bendera na kutia mikono mfukoni.

Muelewa wa siasa hashangai kuona gestures za nama fulani kwenye hutuba kwani huwa zinaendana na jambo linalozungumzwa.
Hili la Bendera tena ni ujinga ulioje kuliuliza asa far as Seif Sharifu Hamadi Concerned. Hebu tuambie nini Cheo cha huyu Bwana katika Serikali ya Tanganyika AKA Tanzania hata apeperushe bendera wakati akihutubia?
 
Alaaa! mbona hueleweki? Mara CUF inatetea Uislaam halafu tena unasema CUF hakuna Uislaam. CUF ni yya Wazanzibar mara mnakuja Bara kutafuta watu yaani hamueleweki kama Wazenji wenyewe maana ukiwauliza sana wanatakwambia mimi sio Mwafrika ni M-Oman, M-Yemen na wengine Wangazija..

Chadema watafika tu Zenji kama itabidi lakini maadam swala lenu ni kujitenga hatuna haraka maana sisi huku Wabara tunajiandaa tu na kushughulikia Wagozenj na wengineo wa Temeke na Ilala..Kwani tulifikaje kanda ya ziwa, Mbeya na Iringa! na ujumbe umepokelewa. Sasa mkuu wangu ikiwa shule nyingi nchi ni za semimary unategemea kipi zaidi tofauti na Zanzibar ambako viongozi wengi wamesoma madrasa pia?.. Hiki kigezo gani... ulitaka Mkatoliki akasome shule za kata au madrasa!
mkuu wangu umeenda sana ndani..mwenye akili zake timamu anawajua hawa jamaa na siasa wanazoziendesha
 
Alaaa! mbona hueleweki? Mara CUF inatetea Uislaam halafu tena unasema CUF hakuna Uislaam. CUF ni yya Wazanzibar mara mnakuja Bara kutafuta watu yaani hamueleweki kama Wazenji wenyewe maana ukiwauliza sana wanatakwambia mimi sio Mwafrika ni M-Oman, M-Yemen na wengine Wangazija..

Chadema watafika tu Zenji kama itabidi lakini maadam swala lenu ni kujitenga hatuna haraka maana sisi huku Wabara tunajiandaa tu na kushughulikia Wagozenj na wengineo wa Temeke na Ilala..Kwani tulifikaje kanda ya ziwa, Mbeya na Iringa! na ujumbe umepokelewa. Sasa mkuu wangu ikiwa shule nyingi nchi ni za semimary unategemea kipi zaidi tofauti na Zanzibar ambako viongozi wengi wamesoma madrasa pia?.. Hiki kigezo gani... ulitaka Mkatoliki akasome shule za kata au madrasa!

Alaa mbona hueleweki mara chadema ni chama cha wakristo hawezi kufika zanzibar etc?? mara mtafika tu ipi ni ipi??

Sasa cha ajabu nini hapo hata CUF itafika kote huko kuanzia mbeya hadi Bukoba; Kigoma hadi Pemba itafika tu..
 
Back
Top Bottom