Picha: Mkutano wa CUF Dar wafurika

Picha: Mkutano wa CUF Dar wafurika

Mambo matatu makubwa sana ktk picha hizi.

1. Wananchi wanaonekana wanyonge sana na wameshindwa hata kubeba bendera ya CUF, picha zote nimeona mtu mmoja tu.

2. Bendera ya Taifa hakuna wakati tumeziona za chama na Zanzibar - Hatari kubwa pengine hata uikikaji wa sheria ya Kitaifa - sina hakika.

3. Seif Mahamd kama kiongozi anaongea mkono mfuko ni utovu mkubwa wa adabu kwa kiongozi kuonyesha dharau hizi.

Katika mafundisho ya uongozi wapi mikono yako unatakiwa usiiweke hata siku moja ni mifukoni wakati unahutubia wananchi, yeye kafanya sijui kwa kutoelewa ama makusudi.
 
Nasikia kama kawaida yao walikusanya watu kwa malori.Wengi wa hao watu hapo wametoka Temeke,kisarawe na Rufiji.
 
Mambo matatu makubwa sana ktk picha hizi..
1. Wananchi wanaonekana wanyonge sana na wameshindwa hata kubeba bendera ya CUF, picha zote nimeona mtu mmoja tu..
2. Bendera ya Taifa hakuna wakati tumeziona za chama na Zanzibar - Hatari kubwa pengine hata uikikaji wa sheria ya Kitaifa - sina hakika..
3. Seif Mahamd kama kiongozi anaongea mkono mfuko ni utovu mkubwa wa adabu kwa kiongozi kuonyesha dharau hizi. Katika mafundisho ya uongozi wapi mikono yako unatakiwa usiiweke hata siku moja ni mifukoni wakati unahutubia wananchi, yeye kafanya sijui kwa kutoelewa ama makusudi.

1. Wananchi kuwa wanyonge ni Tatizo la CUF sijakuolewa??

2. Bendara ya Taifa ni masharti kwenye mkutano wa vyama vya siasa??

3. Kuweka mkono mfukoni! duh mkuu acha unaazi wewe unaangaliaga magwanda wanapohutubia kweli..nyani haoni kundule
 
Nasikia kama kawaida yao walikusanya watu kwa malori.Wengi wa hao watu hapo wametoka Temeke,kisarawe na Rufiji.

Kama ambavyo chadema inavyokuja kuwachota kimara na mbezi mwisho..na kilimanjaro
 
ikulu itatoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya bendera hiyo. Msiwe na wasiwasi
 
maswali mengine bana ni uharo mtupu. Sasa kama umeoma bendera ya taifa la zenj na yule makamo wa zenj wht du u espect acha papara. Sioni msingi wa swali lako

Mkuu Mgongo wa paka,

Niliuliza nikitaka kufahamu, sijawahi kuona bendera hiyo na wala sikuwa najua kama hiyo bendera ni ya Zanzibar. Ninamshukuru Bwana Nonda kwa kunipa link ambayo imenielimisha na kuona jinsi Wa-Zanzibari ambavyo hawakufurahia kuona zile rangi za bendera ya Tanzania kwenye bendera ya nchi yao.
 
1. Wananchi kuwa wanyonge ni Tatizo la CUF sijakuolewa??

2. Bendara ya Taifa ni masharti kwenye mkutano wa vyama vya siasa??

3. Kuweka mkono mfukoni! duh mkuu acha unaazi wewe unaangaliaga magwanda wanapohutubia kweli..nyani haoni kundule
Mkuu haya ni maswala makubwa sana ktk kutafiti nguvu ya chama na viongozi wake. Yes, kutopandisha bendera ya taifa ni dharau ikiwa umepandisha ya serikali ya Zanzibar, kiongozi kuhutubia wananchi mkono mfukoni ni dharau (tofautisha na kuongea na mtu, watu ama ktk mazungumzo vijiweni)

Yote haya yanachangia sana ktk kupima Uzalendo. Wewe nambie kwa nini bendera ya Zanzibar ipeperushwe ktk mkutano wa hadhara na isiwekwe kabisa ya Jamhuri?.
 
Wasiwasi wangu ni hayo majeshi ya vyama, yaani Green Guards na Blue Guards. Kama yasipothibitiwa sasa hivi, tujiandae kwa umwagaji damu siku moja

Uwa nashindwa kuamini jinsi viongozi wetu wanavyocheza na roho za watanzania!!hapa hapahitaji elimu kubwa kubaini hili bomu la majeshi ya vyama,lakini hakika kuna siku history itatengenezwa na haya majeshi,ni suala la wakati tu,ningewashauri wakaanza kuunda tume mapema kwani hili ni lazima litaleta janga!lakini kwa vile majeshi ya vyama yalianza na green guard sina uhakika kama wanaweza kuchukua hatua!!,tusubiri tukio!!!
 
Duh! Hiyo bendera natumai tunahitaji kupata darasa, au ndo mabadiliko ya katiba ya Zenj yanavyosema. Ninajipa home work, siku akija rais ya serikali ya kitaifa ya Zenj, nitachunguza kwa makini bendera itakayokuwa ikipepea ktk shughuli yoyote atakayokuwa akifanya Tanganyika, huenda nikapata cha kujifunza.
 
Mkuu haya ni maswala makubwa sana ktk kutafiti nguvu ya chama na viongozi wake. Yes, kutopandisha bendera ya taifa ni dharau ikiwa umepandisha ya serikali ya Zanzibar, kiongozi kuhutubia wananchi mkono mfukoni ni dharau (tofautisha na kuongea na mtu, watu ama ktk mazungumzo vijiweni)

Yote haya yanachangia sana ktk kupima Uzalendo. Wewe nambie kwa nini bendera ya Zanzibar ipeperushwe ktk mkutano wa hadhara na isiwekwe kabisa ya Jamhuri?.

Huo utafiti wako unaangalia udhaifu wa wawahudhuraji kwenye mkutano wa CUF au vyama vyote au?? hueleweki

Bendara ya Taifa ni kanuni ya lazima?

Je hiyo sceptism imekuja ulipoona mkutano wa CUF au hata chadema unafanya hivyo kote waendako??

Unajua watu kama nyie tayari mna prejeduce kuhusu CUF kwa hiyo hamko objectives; mko kishabiki zaidi
 
Mkuu wangu hutazama yote iwe CCM, CUF au Chadema. naijuia sana mikutano ya CUF, leo wameonyesha tofauti kubwa sana toka viongozi wao hadi walivyojipanga. Mtawadanganya waliofika lakini kundi kubwa hapa ni la wavunja Muungano. List kubwa sikuiona meza kubwa.

Lipumba yupo mjini imekuwaje hakuhudhuria?..
 
Ni rasmi sasa. Nchi imevaa bukta;

1. Chama hiki ni dhahiri kina muelekeo wa kidini lakini dola inakichekelea

sasa mate kama CUF chama kinamuelekeo wa kidini CDM utasemaje?
 
Mkuu wangu hutazama yote iwe CCM, CUF au Chadema. naijuia sana mikutano ya CUF, leo wameonyesha tofauti kubwa sana toka viongozi wao hadi walivyojipanga. Mtawadanganya waliofika lakini kundi kubwa hapa ni la wavunja Muungano..List kubwa sikuiona meza kubwa..Lipumba yupo mjini imekuwaje hakuhudhuria?..

Wewe unataka muungano?? for that matter chadema wanataka muungano??

Mbona hawaonekani zanzibar?? au muungano ni ule tu unaokubalika na bwana mkubwa tanganyika ambaye chadema wanamhusudu??

Mkuu hata mimi ningekuwa mzanzibar ningekuwa nahoji uhalali wa huu muungano tena sana tu..
 
Biola shaka tunautaka Muungano na wewe ndiye unatakiwa uwe mwakilishi wa Chadema Zanzibar maanake mna sheria zenu lazima uwe Mzanzibar - Mkandara atakubalika vipi? Hapa penyewe nilipo naitwa chogo na wamakonde leo nikagombee Zanzibar! Hunipendi kweli..haaa! haa! nafanya utani usije nitafuta.

CUF na CCM wote ni Wanzanzibar wenye asili ya nje sasa Chadema wataweza vipi kupenyeza hilo league lenu ikiwa Wazanzibara wenyewe wanatupwa nje.

Na vipi naona Maalim Seif kanawir hadi Sigda imeondoka ama kweli Ikulu kutamu weee!
 
Biola shaka tunautaka Muungano na wewe ndiye unatakiwa uwe mwakilishi wa Chadema Zanzibar maanake mna sheria zenu lazima uwe Mzanzibar - Mkandara atakubalika vipi? Hapa penyewe nilipo naitwa chogo na wamakonde leo nikagombee Zanzibar! Hunipendi kweli..haaa! haa! nafanya utani usije nitafuta..
CUF na CCM wote ni Wanzanzibar wenye asili ya nje sasa Chadema wataweza vipi kupenyeza hilo league lenu ikiwa Wazanzibara wenyewe wanatupwa nje..Na vipi naona Maalim Seif kanawir hadi Sigda imeondoka ama kweli Ikulu kutamu weee!

mistake..mimi siyo mzanzibar natokea central ukipenda dodoma mgogo halisi

Mmeshindwa ku-penatrate zanzibar kwasababu ya dharau zenu kwa uislam na wazanzibar ..sasa muungano utakuwa wa Tanganyika tu..

Kuzungumzia kunawiri kwa seif ni ujinga wa chini za kwa mtu kama wewe; unajua Slaa amenawiri tangu apokee zile pesa za sabodo; rushwa nzuri sana aisee!
 
kiongozi kuhutubia wananchi mkono mfukoni ni dharau (tofautisha na kuongea na mtu, watu ama ktk mazungumzo vijiweni).

Angalia hii video ili ufurahi.
Kuanzia dakika ya 6:23 - 6:50 .unaweza kui-forward.

Walianza zamani kutudharau hawa wanaoitwa viongozi.

Mstaafu mzee wetu anaiweka mikono yote miwili mfukoni. Je dharau ilipindukia kiwango/ kipimo?
 
Last edited by a moderator:
Huu mkutano ulifanyikia stendi ya basi au haya mabasi ninayoyaona ni yale yaliyopita kusomba watu kuanzia Mtambani hadi Gogo vivu na kuwaleta mkutanoni?
 
Mbona huwa sioni Bendera ya taifa nyuma ya altare anapohutubia mwenyekiti wa ccm ambaye pia ni raisi wa URT??..pia mwenyekiti huyo hupanda gari yenye namba za kawaida huku akipeperusha bendera ya chama chake..inakuwaje huyu anapanda gari oficial ya serikali????. Je ni kulewa madaraka??. Ndivyo alikuwa akihubiri kabla ya kupata cheo hiki??. Mh.
Mkuu, Seif sio mtumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, kwahiyo hawezi kuweka bendera ya Tanzania.
 
mistake..mimi siyo mzanzibar natokea central ukipenda dodoma mgogo halisi

Mmeshindwa ku-penatrate zanzibar kwasababu ya dharau zenu kwa uislam na wazanzibar ..sasa muungano utakuwa wa Tanganyika tu..

Kuzungumzia kunawiri kwa seif ni ujinga wa chini za kwa mtu kama wewe; unajua Slaa amenawiri tangu apokee zile pesa za sabodo; rushwa nzuri sana aisee!
Acha zako Mgogo angeyasema haya..Na CUf imeshindwa vipi ku penetrate Ugogoni au kwa sababu nako wakristu wamejaa muilsaam wewe tu..
Mkuu usitake sana kuutumia Uislaam maana haupo Zanzibar ila kuna Usultan ambao mnautumia sana kudanganya wananchi kama enzi za utumwa na wakoloni.. Wazo hilo ondoa kabisa, ila baina yao wapo waislaam nao wa kuhesabu kutokana na TOTAL submission to Allah.. Hizi habari za kutoa shahada na kuitana waislaam kwa kuwa kazaliwa mwarabu, mhindi na Mngazija ni ukungu wa ubongo unaotakiwa kusafishwa.

Chadema watafika tu Zanzibar Ishaallah maadam tumeisha uvua unafiki wa CUF wapo watu watakuja tuelewa na wala hatuna sababu ya kushindana leo. Leo hii mnajinadi bara mtashindwa na taratibu wananchi wataanza kuziona rangi zetu kutumia dini kama ngao ya unafiki mkubwa mlokuwa nao hao kina Seif na mamluki wake. Na ajabu mmefikia hata kuwafukuza Waislaam wenzanu au HR kabadilisha dini?.. sio Muislaam huyo?
 
Back
Top Bottom