MkuuNgekewa,
Symbolize ya bendera huwekwa menzani pale pembeni au mbele yake na maadam kulikuwa na viongozi wa juu wa chama kutoka BARA ni lazima uweke pia bendera ya bara ktk mkutano wa chama ama huweki zote - inapepea bendera ya chama tu.. Huwezi kupeperusha juu ya jukwaa bendera ya Zanzibar ndani ya nchi nyingine ukasahau kuiweka ya bara ama ukaona hakuna umuhimu. Hawa ni magaidi wa Muungano Na hasa huyo Jussa, na wamefanya hivyo makusudi (habari tunazipata haraka sana kuliko nyie) na ukijumlisha yote haya unapata kile ambacho wengi wanajiuliza hadi wameshindwa kubeba wala kuvaa jezi za CUF..
mkandara hongera ni lini umejiunga na chadema?.. Nadhani sasa utasaidia kuondoa ubaguzi na chuki za kidini .............
Shukran umesema una reservation kwa viongozi wa CUF na Chadema, sasa inakuwaje mimi reservation zangu unazipinga kwa nguvu zote?..Mjadala huu unahusu mkutano ulioandaliwa na viongozi wa CUF ambao binafsi yangu siwaafiki na ndio nawashambulia hapa sio CUF. Nimeonyesha hata unyonge wa wanaCUF na jeuri ya Maalim Seif lakini wewe unakuja na kuitetea wakati deep down huna imani na mtu huyu. Hutaki kumsema lolote kwa sababu ni Musilaam ... who happened to be ID as Muslims by birth..
Hivi mkuu wangu unazungumza na nani?.. mimi sijali kama kuna Tanganyika wala Zanzibar na hata mipaka ikiwekwa vipi bado nawatazama wananchi wanaoishi sehemu hizo na maslahi yao. Nyie mnakazania kuitafuta nchi ambayo haiwezi kuwasaidia chochote kwa kutumia kutokuwepo kwa Tanganyika na kwa ujasiri usio na haya mnakuja na Bendera yenu kututhibitishia kwamba CUF ni chama cha Zanzibar...Mkuu
Hapa ndipo wazanzibari wanapofunga magoli. Hakuna nchi inaitwa bara, ilikuwepo Tanganyika tukafanya usanii, mazingaombwe, tukajifanya werevu. Tukafanya kila mbinu kuliua jina Tanganyika, hata uhuru tunasema uhuru wa Tanzania bara.
Kama tunafahamiana lugha basi utaelewa hakuna bendera ya bara, kuna bendera ya Muungano. au serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar(Tanzania).
Bendera ya (BARA) kama unamaanisha Tanganyika ni hii Tanganyika (1961-1964), Tanzania
Hii link ya chini ukiingia humo, uki-point cursa ilipo bendera utapata maelezo and you will never find BARA
Tanganyika - Wikipedia, the free encyclopedia
Tuache usanii turejeshe Tanganyika ndani ya muungano kama ilivyo Zanzibar. Kama tutaendelea kuimba nyimbo za CCM, tutabakia kulalama tu.
Swali la msingi liwe kwa nini sisi hatuna bendera yetu? Na sio kwa nini wao wana yao?
Tukijijibu swali la pili, ni kuwa.....
Wametushinda kwa uzalendo.
Alaa maneno uyaseme wewe halafu unaniuliza mimi nina maana gani?.. wewe umesema wazi una matatizo na viongozi wa CUF kama ulivyokuwa na viongozi wa Chadema lakini ya CUF huyasemi ila ya Chadema..Sasa mimi napoyasema yangu inakuwa vipi ngumu kwako kuelewa.. I don't keep back anything iwe CUF au Chadema nitasema ukweli daima...Hiyo deep down huna imani na mtu ndio nini?? ndio reservations au?; sina shaka na viongozi wa CUF lakini ninatofautiana nao kwenye mambo kadhaa niko wazi kwenye hilo; sikuabaliani na mwenendo chadema na viongozi wake hadi watakapobadilika..kwasababu nimeshafanya nao kazi; nimeshajadiliana nao mara kwa mara kuhusu msimamo wao kuhusu uislam ..deep down hawana imani na muislam hata moja..na kwangu mimi ISLAM is above everything..
Tatizo lako wewe badala ya kuizungumzia CUF kama taasisi unaendekeza sera za ccm na chadema kuhusu waislam; kuichafua CUF eti ni chama cha waislamu hapo ndipo ninapokuona wewe umeshameza propaganda za wa CCM zinazoongozwa na wakristo wengi..
Hivi mkuu wangu unazungumza na nani?.. mimi sijali kama kuna Tanganyika wala Zanzibar na hata mipaka ikiwekwa vipi bado nawatazama wananchi wanaoishi sehemu hizo na maslahi yao. Nyie mnakazania kuitafuta nchi ambayop haiwezi kuwasaidia chochote kwa kutumia kutokuwepo kwa Tanganyika. Hivi kweli mmeshakaa na Mchumi akawaambia kinagaubaga faida za kujitenga?... Je Wazanzibara hawa utawapa nafasi gani maanake isije kuwa kama Sudan kusini wameitaka nchi yao leo hii imebidi Umoja wa nchi za kiafrika kupeleka majeshi, wanauana wenyewe na hakuna maendeleo wala chochote zaidi ya kugombani kugawana umaskini..
Zanzibar haimfungi mtu goli bali wanajifunga wenyewe tena kwa pasi ya nyuma kumrudisha mkoloni ambaye hawajui isipokuwa kavaa jezi kama yao kumbe kesha lipwa kuuza team...Again mimi nikati ya watu waliopenda sana Pan Africanism lakini maadam dunia hii imejaa wachawi na wanafiki sina sababu ya kukubali hoivyo ili mradi kasema Maalim.. HR was right na mkutano huu ni uthibitisho tosha jinsi hawa jamaa wanavyojaribu kukivunja chama..
Alaa maneno uyaseme wewe halafu unaniuliza mimi nina maana gani?.. wewe umesema wazi una matatizo na viongozi wa CUF kama ulivyokuwa na viongozi wa Chadema lakini ya CUF huyasemi ila ya Chadema..Sasa mimi napoyasema yangu inakuwa vipi ngumu kwako kuelewa.. I don't keep back anything iwe CUF au Chadema nitasema ukweli daima...
Hivi sio wewe nyuma ulisema kama nawazungumzia Seif na Jussa wala tusingebishana, lakini mbona tunaendelea kubishana?... Je sii kwa sababu unataka tuzungumze ya Dr.Slaa na Mnyika - nimesema sawa nambie ni yupi kati yao ulikwisha zungumza naye maswala ya Uislaam na akapingana nawe na ilihusu nini? Kwa nini ufiche hapa kijiweni wakati tumeisha sema wazi kwamba JF, it's where we dare to talk openly! - Mtaje huyo mtu na tutamwita hapa hapa JF atueleze shutma zako ajieleze maana nijuavyo viongozi wa Chadema hawaogopi mjadala na mtu yeyote. Na siwezi kupinga maneno yako maana mtu anaweza jifaragua kwetu kumbe mnafiki vile vile...wee MTAJE... tuanze kuifanyia kazi.
Mkuu wangu wewe unasema hivi:- Kufukuzwa kwa HR ni katika reservation na mwenendo ambao umenifanya nianze kumuangalia Maalim kwa umakini..Embu thibitisha mkutano unataka vipi kuvunja chama cha CUF?? Kufukuzwa kwa HR ni katika reservation na mwenendo ambao umenifanya nianze kumuangalia Maalim kwa umakini..l
akini HR namuona kafanya stupid thing; kutaka ukatibu mkuu wakati bado three years kikatiba; bado ile kushabikiwa na ccm inanipa wasiwasi mkubwa na nia yake ya kweli ya kuwapenda wananchi not convinced yet na HR;
but very skeptical with Maalim kwani wangeweza kutomfukuza HR kwa haraka hivyo there must be something behind the move..what do you think
Mkuu wangu wewe unasema hivi:- Kufukuzwa kwa HR ni katika reservation na mwenendo ambao umenifanya nianze kumuangalia Maalim kwa umakini..
Mimi nilimwona Maalim Seif mnafiki toka mwaka kabla ya uchaguzi wa mwaka 2000 maana nijuavyo Lipumba alikuwa asimame urais naye akitangaza kwa nguvu zote Zanzibar kujitenga ktk Muungano. Akiwaambia vijana wachukue maamuzi wao maana yeye kisha ifanya kazi yake.. Ni Seif aliyeasisi vurugu zile with Very ambitious program in difficult times ili mradi achukue kiti cha Ikulu..Kwa nini hakupatana na Salmin unafikiri ilikuwa bure...Mauaji makubwa ya ya mwaka 2000 wakati yeye kajichimbia Bara akisikilizia, maskini vijana wengi walipoteza maisha kwa sababu ya kuhamasisha wakati hakuwa na mpango wa kuichukua nchi kwa nguvu hizo hizo.
Maalim Seif hawezi kukaa na mtu ambaye anam challenge, ni mfano wa Nyerere tofauti tu ni kwamba huyu anautaka Urais kwa nguvu zote na hasa akitumia ticket ya dini..Ndio maana simpendi kwani baada ya yeye kuingia siasa Wazanzibar hawakuwa na imani tena na watu wa bara wakati sisi wengine tumekuwa maisha yetu na vijana wengi tu wa Kizanzibar, ni ndugu zetu wa damu na tulikuwa na mapenzi makubwa lakini toka Seif aanze kutangaza Uzanzibar na Ubara akatia sumu kubwa sana kiasi kwamba hakuna tena undugu kama wa zamani..
Seif hawezi kumsanmehe HR hata kidogo kwa sababu ugonvi haukuanzia hapo toka HR awe bungeni na umaarufu aliojengea chama na haswa pale CDM walipopendekeza jina la HR kama mgombea mwenza badala yake yeye, hapo ilikuwa ni swala la muda tu. HR alianza kupakwa na kutafutwa muda mrefu sana na kwa kuelewa hivyo HR naye alianza kujipanga maana picha halisi ya Maalim ilianza kujitokeza. Hey! hili la kugombea Ukatibu mkuu ni baada ya mambo mengi kupita sisisote tumeyachukulia juu sana. Kama wanaweza wambieni kina Seif wamkubalie kusikiliza ya HR hadharani maana sii kwamba hawajui, wanayajua vizuri lakini ni mazito kama yale ya Lowassa na CCM..
Halafu be a judge!..tunasikia tu one side story..
Hivi hizi habari za Chadema na Ukristu unafikiri zimetoka CCM?... mkuu wangu nawajua vizuri sana CCM wamedakia tu ngoma hii matatizo yalianza toka HR alipopendekezwa... mchezo wote naujua vizuri na Seif ndani, huoni kama hata Lipumba anajitenga sana na siasa za CUF.Kwa hiyo Maalim ni sawa sawa na Nyerere wote hawawezi kuvumilia kuwa challenged..nitaendelea kumtazama kwa makini..lakini bado ninamuamini yeye kuliko HR ..kwasababu niliyoieleza
Again, unarudia makosa ya kumtuhumu Maalim eti anautaka urais kwa kutumia udini?? mkuu mbona hauko consistent! udini uko wapi kwa maalim seif na CUF; huo udini wake unatofauti gani na uliopo chadema?? au ukristo siyo udini na uislam ndio udini talking about double standards aagh!
Hivi hizi habari za Chadema na Ukristu unafikiri zimetoka CCM?... mkuu wangu nawajua vizuri sana CCM wamedakia tu ngoma hii matatizo yalianza toka HR alipopendekezwa... mchezo wote naujua vizuri na Seif ndani, huoni kama hata Lipumba anajitenga sana na siasa za CUF.
Sasa mkuu kama kwenye maongezi yako na hao viongozi, je ulitaka wabadili chama kuwa cha kiislam?..na kwangu mimi ISLAM is above everything..
..
Mkuu MkandaraHivi mkuu wangu unazungumza na nani?.. mimi sijali kama kuna Tanganyika wala Zanzibar na hata mipaka ikiwekwa vipi bado nawatazama wananchi wanaoishi sehemu hizo na maslahi yao. Nyie mnakazania kuitafuta nchi ambayo haiwezi kuwasaidia chochote kwa kutumia kutokuwepo kwa Tanganyika na kwa ujasiri usio na haya mnakuja na Bendera yenu kututhibitishia kwamba CUF ni chama cha Zanzibar...
..
Usituletee porojo zenu za kwenye vigenge vya walevi.Ni rasmi sasa. Nchi imevaa bukta;
1. Chama hiki ni dhahiri kina muelekeo wa kidini lakini dola inakichekelea
2. Kiongozi wa chama hichi ni Rais wa nchi jirani inayopinga uwepo wa URT
3. Rais huyo anakuja URT na kuwakuta wananchi wa URT wanamsubiri kwa hamu
4. Rais huyo anawasomesha wananchi wa YRT kama vile ni watoto - sawasawa?
5. Wananchi wa URT wanamkenulia meno full time
6. Muda wote huo bendera ya URT hairuhusiwi kupeperuka, ni ya nchi jirani tu inayoruhusiwa kutamba
Samahani sikulizungumzia hilo isipokuwa najaribu kuunganisha hoja yako maana nijuavyo mimi Dr.Slaa alipokuwa mbunge hakuwa na mamlaka ndani ya chama ndio kwanza alitoka CCM sasa sielewi ni wakti gani haswa mlomfuata.Mbona umeshindwa kujibu feelings za Dr. Slaa kuhusu uislam wewe? #132; there is very thin line between chadema and ukristo hasa kwa viongozi kama Slaa na Mnyika
Mkuu wangu unapoulizwa swali na SISI na WALE lazima ulijibu kwa sisi na WALE kama unavyolitazama.Mkuu Mkandara
Umeniuliza ninazungumza na nani?
Ingekuwa vyema ungenielewesha wewe ni nani au hawa nani ni kina nani?
Hizo nyekundu zimenifanya nijiulize ni huyu Mkandara ninayemsoma humu JF mara nyingi tu?
Nini kimekugusa katika mchango wangu mpaka umetekenyeka na kuanza ninyi na sisi? Usitoke kipovu mkuu. Wengi wa watu hapa wanaimba nyimbo ya Mwalimu na Warioba( BARA, bara, Tanzania bara, uhuru wa Tanzania bara) upotoshaji wa makusudi wa historia ya Nchi ya Tanganyika ambayo wewe unajifanya kama vile una uchungu nayo lakini uko tayari kuipindisha historia hii. Tanzania visiwani aka Zanzibar ipo kwa nini iwepo Bara bila ya jina la asili(Tanganyika)?
Haya mengine ya mnakuja, sisi, ninyi sitoyagusa. Nimemuuliza member mmoja aliyekuuliza umejiunga lini na CHADEMA atuelimishe zaidi.
Unavyozungumza katika posts za thread hii unazungumza kama wazee wa magamba... Sitta and co ..kumradhi mkuu.
Unaelewa kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa ni wa baadhi ya mambo tu? Ambayo yalipewa jina la mambo ya Muungano? Na Tanganyika ilibakisha mambo yake na Zanzibar ilibakisha mambo yake ambayo hayakuwa mambo ya Muungano? Vipi tena mambo ya Tanganyika, tunayaita mambo ya BARA? Who coined this mazingaombwe?
Kama una ugomvi na hao Seif na Jussa. uelewe tu mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Na katika post zangu sijaingiza ushabiki wala hamasa. Call spade a spade!
Turudi kwenye issue na sio ninyi,sisi, wewe, usultani, umangimeza na vichekesho kama hivi. Some seriousness please.
Kama hujali uwepo wa Tanganyika au Zanzibar. Halafu unazungumzia maslahi ya watu wanaoishi sehemu hizo.
Unazungumzia maslahi yepi?
Wewe huoni watu wa sehemu hizi wote wanateketea kutokana ufisadi unaofanywa na wanasiasa na vigenge/vikundi vyao?
And guess....who has been in charge of gvts since (flag) independence?
You guessed right!! Now,tunaweza kuzungumza kuhusu maslahi ya watu wanaoishi TanZania
Kama umesoma maandishi yangu nimesema wazi kwamba binafsi yangu sitojali mipaka ya nchi bali wananchi wanaoishi wake. Nikaongezea kusema ni mshabiki mkubwa wa Pan Africanism hivyo swala la Tanganyika na Zanzibar halina mvuto kwangu bali maslahi ya WATANZANIA regardless.Swali la msingi liwe kwa nini sisi hatuna bendera yetu? Na sio kwa nini wao wana yao? Tukijijibu swali la pili, ni kuwa.....
Wametushinda kwa uzalendo.
Samahani sikulizungumzia hilo isipokuwa najaribu kuunganisha hoja yako maana nijuavyo mimi Dr.Slaa alipokuwa mbunge hakuwa na mamlaka ndani ya chama ndio kwanza alitoka CCM sasa sielewi ni wakti gani haswa mlomfuata.
Hoja ya Lipumba anasali sana wakati yeye alikuwa Padre inanishinda kuelewa lakini sina sababu ya kubishana wakati ulokutana na Dr.Slaa ni wewe. Nijuavyo mimi waliokuwa hawataki kuungana ni CUF kwa sababu hawakuona sababu ya kuungana na CDM wakiwa na wabunge wengi na wanakubalika zaidi hivyo sielewi unazungumzia muda gani yaani ktk kipindi gani cha uchaguzi kuelekea 2005 au 2010..
Siasa za misikiti na makanisa kusema kweli sasa hivi wote wanazitumia ingawa sii viongozi wa juu lakini nina hakika zinatumika sana baada ya CCM kujaribu kuwarubuni wananchi kupitia imani zao...There is no doubt CUF wanatumia misikiti na nawajua hata maustadh wanaoifanya kazi hiyo..Na kama Chadema nao wanafanya hivyo basi ndio tumekwisha!...