Picha: Mkutano ACT-Wazalendo wilaya ya Kahama

Picha: Mkutano ACT-Wazalendo wilaya ya Kahama

kiukweli Zitto anadhaminiwa na CCM....lakn siasa huwa haina rfk wa kudumu wala adui wa kudumu ila ni common interest .....CCM wnamtumia ili wapate uraisi this year...ila yeye anautumia msaada huo kujenga chama...alafu atakuwa adui yao kuelekea 2020...Zitto mjanja sana af akli nyingi....:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
weng waliokuja kumsikiliza ni wapigakura wa ccm tena weng niwale wasiomjua wanamsikiatu hawakuwai kumuona kwan kwenye arakat zakujenga Chama kama m4c nk.hajawai kuuza sura naweng kumtambua hivyo wanajitokeza wamshuhudie yule mtu mwenye roho ngum yausalit ambae wao wanampongeza kwakua amekuja kuwaraisishia njia yakunyakua majimbo kata naurais

Endelea kujifariji,vinginevyo unaweza ukadondoka kwa bp.
 
Huu mwezi was ACT . mwezi wa mabalaa ajali kila siku .jiangalieni mtaenda na ACT.
 
Hivi ktk mikutona ya kiongozi mkuu -------- wa act hakuna watu wanaorudisha kadi za vyama vingine kama chadema,ccm,cuf na tlp

Act wameleta mapinduzi ktk siasa za bongo.
Mamia wanarudisha kadi,wanapewa kadi mpya za act wanarekodiwa kweye daftari la chama na kumbukumbu zao, harafu wanapewa semina fupi na kuelekezwa namna ya kuendelea kuwa wazalendo na kuwafanya wengine wawe wazalendo zaidi. kimya kimya, biashara ya kutafuta kadi za chama kingine na kuwagawia watu kisha wanaziludisha halafu unatamba eti watu wa chama flani wamerudisha kadi, huo unaitwa utapeli wa kisiasa.

ACT hawajakurupuka wamejipanga.
 
Ha ha ha ha eti kimya kimya sema hamjapata wanaorudisha kadi kwani mnavyopenda sifa ni kibwetele wenu zito mungeshakuwa mmeshapost na kutangazia umma kuwa wanarudisha kadi kwa wingi
 
ImageUploadedByJamiiForums1429296442.238113.jpgImageUploadedByJamiiForums1429296482.690086.jpgImageUploadedByJamiiForums1429296506.259664.jpgImageUploadedByJamiiForums1429296567.180406.jpgImageUploadedByJamiiForums1429296482.690086.jpg

Kahama
 
Chadema siasa imewashinda kilichobakia ni kugawana mafao ya saccos kila mtu afe na chake.
 
Tuwekee na za Msalala.
Hawa wasaliti wamevuna aibu kwenye mkutano wao wa leo jimboni Msalala maeneo ya Segese.Msaliti mkuu akaanza kujikosha eti ratiba ya leo haikulenga jimbo hili.Huku ni ngome ya chadema kwa waelewa.
 
Back
Top Bottom