Picha: Mkutano ACT-Wazalendo wilaya ya Kahama

kambitza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
2,045
Reaction score
1,326
attachment.php

attachment.php

attachment.php

Kaza ya kusambaza Uzalendo inaendelea. Kahama hiyooo

Act Wazalendo
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1429284798.862862.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1429284798.862862.jpg
    73.2 KB · Views: 5,353
  • ImageUploadedByJamiiForums1429284853.816556.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1429284853.816556.jpg
    78 KB · Views: 5,525
Kuwa na wahudhuriaji weng co kwamba wanamuelewa but wanaenda kahakikisha km kweli ni zito yuleyule ameamua kuusaliti ukombozi na kumsindikiza kwa macho anavyokufa kisiasa kijana mdogo
 
hiyo CD ya usaliti imechuja, Tafuteni nyingine mpya
 
Kuwa na wahudhuriaji weng co kwamba wanamuelewa but wanaenda kahakikisha km kweli ni zito yuleyule ameamua kuusaliti ukombozi na kumsindikiza kwa macho anavyokufa kisiasa kijana mdogo

anzisha chako na wewe..
 
Kuwa na wahudhuriaji weng co kwamba wanamuelewa but wanaenda kahakikisha km kweli ni zito yuleyule ameamua kuusaliti ukombozi na kumsindikiza kwa macho anavyokufa kisiasa kijana mdogo

Ha ha ha kausha dawa ikuingie vizuri
 
Mpira ni dakika 90.

Leo nime ushuhudia usaliti wa zito live huku vijaNa wa ccm kahama waki msha ngilia sana eti ana asema yeye ni mkia hauwezi kumtikiaa ngombe ana zihaki chama kilicho mlea kisa pesa za ccm.wana kahama wana ongelea ukawa yy ana leta habari za mgodi wa buzwagi eti una fungwa mwakani zito ni mnafiki wa kutupwa na ata wakamata wajinga tu.pipooozzzzzz...!ukawa tuko tayari
 
Kuwa na wahudhuriaji weng co kwamba wanamuelewa but wanaenda kahakikisha km kweli ni zito yuleyule ameamua kuusaliti ukombozi na kumsindikiza kwa macho anavyokufa kisiasa kijana mdogo
Ni Kweli Mkuu Sasa Bila kuzungumza KAULI Kama hizi ili kujipa matumaini "Psychologically".Natoa TAMKO Sasa-Kama vile CUF(Upinzani) ilivyoiua NCCR(Upinzani),Kama vile CHADEMA ilivyoiua CUF(Upinzani).Lazima na sisi(ACTWazalendo-Upinzani) tuiue CHADEMA.Kwahiyo CHADEMA zama zenu zimekwishaaaaa..Kaeni kimya msiweweseke.If you cant beat them,JOIN THEM.
 
Leo nime ushuhudia usaliti wa zito live huku vijaNa wa ccm kahama waki msha ngilia sana eti ana asema yeye ni mkia hauwezi kumtikiaa ngombe ana zihaki chama kilicho mlea kisa pesa za ccm.wana kahama wana ongelea ukawa yy ana leta habari za mgodi wa buzwagi eti una fungwa mwakani zito ni mnafiki wa kutupwa na ata wakamata wajinga tu.pipooozzzzzz...!ukawa tuko tayari
Ndugu yangu unajua wewe kwenu unaonekana AKILI SANA.Hebu NiPM
 
Kuwa na wahudhuriaji weng co kwamba wanamuelewa but wanaenda kahakikisha km kweli ni zito yuleyule ameamua kuusaliti ukombozi na kumsindikiza kwa macho anavyokufa kisiasa kijana mdogo

Usaliti ndio mdudu gani! Mwaka huu lazima uge mayai viza.
 
Leo nime ushuhudia usaliti wa zito live huku vijaNa wa ccm kahama waki msha ngilia sana eti ana asema yeye ni mkia hauwezi kumtikiaa ngombe ana zihaki chama kilicho mlea kisa pesa za ccm.wana kahama wana ongelea ukawa yy ana leta habari za mgodi wa buzwagi eti una fungwa mwakani zito ni mnafiki wa kutupwa na ata wakamata wajinga tu.pipooozzzzzz...!ukawa tuko tayari
Uzezeta nao mtaji kumbe wewe ndiyo ushapotea kabisa sijui nani atakunasua.
 
Back
Top Bottom