stanlthecreator
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,947
- 648
Zito ni Mzito,ACT wazalendo heshimaaa
kosa la mjomba wako dada ake na Josephine Mushumbusi
nipanic kwa hizi ID fake...............ah hahaaa hahaaaaa hahaaaa, afu usiniquote tena maana sitakujibu, Mbuzi mzee wwe,kwi kwii kwiii kwiiiiiDaaah! Mkuu naona umepanic sana! Jikaze tu
NduguUlitaka ACT awe nani? Acha majungu yako wewe, 40% ya wakazi wa kahama ni waha wa kigoma, kibondo na kasulu, hapo kura anazipata bila ubishi kwa kahama na lake zone yote
Kumbee!sawa Mushi...Mm mwenyewe nilikiwepo hapo cdt na mm ni chadema damu zitto hana sera wala mawazo mapya yoyte na ukichunguza sana utagundua a c t ni zitto bila zitto hakuna chama pale na nimewambia vijana kama a c t wana jihamini wafanye mkutano bila zitto wata pata aibu ya mwaka!!
Watanzania ukiwaona wamejazana hivyo usidhani wanakukubali.Hata Mrema anaweza akapata umati kama huo popote pale atakapofanya mkutano.Pole mkuu naona zitto anazidi kuwashikisha adabu tu lazima mkae mwaka huu.
Endelea kujifariji,vinginevyo unaweza ukadondoka kwa bp.
Ulitaka ACT awe nani? Acha majungu yako wewe, 40% ya wakazi wa kahama ni waha wa kigoma, kibondo na kasulu, hapo kura anazipata bila ubishi kwa kahama na lake zone yote
​atulize mchecheto shangazi yako mfuasi wa Mbowe.........KIMA we
Andrea Cordes amsifia Zitto
kupata waudhuriaji wengi si shughuli ndogo, zitto anapendwa sanaKuwa na wahudhuriaji weng co kwamba wanamuelewa but wanaenda kahakikisha km kweli ni zito yuleyule ameamua kuusaliti ukombozi na kumsindikiza kwa macho anavyokufa kisiasa kijana mdogo
Kuna chama kimefuja hela ya ruzukuku hadi aibu
1. Mil 500 magari 10
2. Mil 30 genereta mbovu
3. Sheria ya hela ya ruzuku ni ac 1, wao wana ac zaidi ya 200.
Pole mkuu naona zitto anazidi kuwashikisha adabu tu lazima mkae mwaka huu.