stanlthecreator
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,947
- 648
weng waliokuja kumsikiliza ni wapigakura wa ccm tena weng niwale wasiomjua wanamsikiatu hawakuwai kumuona kwan kwenye arakat zakujenga Chama kama m4c nk.hajawai kuuza sura naweng kumtambua hivyo wanajitokeza wamshuhudie yule mtu mwenye roho ngum yausalit ambae wao wanampongeza kwakua amekuja kuwaraisishia njia yakunyakua majimbo kata naurais
Vaa uzalendo vua gwanda,twende Ikulu October with ACT wazalendo