Cha ajabu wote wanao coment ni against chadema hapo ndipo napoanini act wapo against upinzani na kama sijakosea wote wanao coment ni ccm na kama ni swala la watu kujaa Hata mimi ningekuwa miongoni mwa hao wanaoenda simply because kwa kuwa hata kupoteza muda au kwa kuwa namsikia tu so kumtia machoni si shambi hata kama sina mpango naye....
kupata waudhuriaji wengi si shughuli ndogo, zitto anapendwa sana
Machadema c ndio hayataki kuona ACT?? na mwaka huu wanaweza pata wabunge 3
Ulitaka ACT awe nani? Acha majungu yako wewe, 40% ya wakazi wa kahama ni waha wa kigoma, kibondo na kasulu, hapo kura anazipata bila ubishi kwa kahama na lake zone yote