Picha: Mkutano ACT Singida

Alafu angalia vizuri wasikilizaji walivyo makini kusikiliza, utafikiri wapo darasani ata kuongea na jirani yake hakuna, concentration 100%, hii ndio raha ya siasa za hoja. Watanzania walizimiss sana siasa za aina hii, wanastahili kuzipata sasa.
 
Boya mwingine huyu hapa.....chama kinachopewa promo na vyombo vya habari vya serikali .....hv serikali itoe promo kwa mtu anaetaka kuiondoa eti na wewe unajidai great thinker kweli maboya wako wengi humu ndani...sijui kwanini shule za kata zilianzishwa na vyuo vya uchochoroni
 
Wanasiasa wasio na hoja ya kutegemea uzushi, uongo na propaganda lakini bahati mbaya kwao mwisho wa siasa hizo hatimaye umefika.

Watanzania sasa wanahitaji siasa za masuluhisho ya matatizo yao na zenye dira ya njia bora zaidi ya kuwaletea maendeleo yao.

ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI
 
wanaoneshwa sana TBC lakini wataiumiza CCM mfano Dodoma , Singida ,Songea wanaiparura CCM huku wakijifanya wanahujumu upinzani heko ACT mnisamehe sikuwaelewa sasa nasema go, go go
 
wanaoneshwa sana TBC lakini wataiumiza CCM mfano Dodoma , Singida ,Songea wanaiparura CCM huku wakijifanya wanahujumu upinzani heko ACT mnisamehe sikuwaelewa sasa nasema go, go go

Na ndio lengo la ACT wazalendo kumtoa mkolono mweusi
 
Wee kweli boya na msukule wa zito...eti siasa safii...tbc_ccm wanaonyesha mikutano yenu habari leo wanaitangaza jambo leo ndo usiseme...vyuo na shule za kata vimeharb uwezo wa kufikiri wa watu....niunganisheni na mimi tupige wote hizo hela za ccm...kamanda wa act nipo mwanza kiongozi niunganishe tule wote hzo hela na nna siri nyingi sana za cdm
 
Zitto kwenye ubora wake.
KAMA WALIVYO MBANIA POGBA MAN U,AKAENDA JUVENTUS SASA NI KIUNGO BORA DUNIANI,FERGERSON MBAYA SANA NA HUKU KWETU WAKINA MTEI WABAYA SANA.i
 
Last edited by a moderator:

Bado hujaanza kuongea hoja?bado upo kwenye siasa za kale??treni ya mabadiliko imeishaanza safari!

  • Wanasiasa wasio na hoja ya hutegemea uzushi, uongo na propaganda lakini bahati mbaya kwao mwisho wa siasa hizo hatimaye umefika.

    Watanzania sasa wanahitaji siasa za masuluhisho ya matatizo yao na zenye dira ya njia bora zaidi ya kuwaletea maendeleo yao.

    ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI​

KAMA WALIVYO MBANIA POGBA MAN U,AKAENDA JUVENTUS SASA NI KIUNGO BORA DUNIANI,FERGERSON MBAYA SANA NA HUKU KWETU WAKINA MTEI WABAYA SANA.i

Wenzako wanapiga hela za mwigulu na ccm yake we unajidai mzalendo halisi...mwaka wa hela huuu
 
Hoja ni kupiga hela hapoo...zzk anakimbizana na mda ili fungu lingine liletwe we unapiga domo huku..ndio maana kapanga mikutano yake mfululizo ili ahalilshe kuisha kwa fungu la kwanza wampe lile kubwa la 700m...chezea zzk wewe ruvuma yote kapiga mkutano songea tuu ili akimbizane na mda wampe fungu lingine
 
Kamwe sikutegemea kama hiki chama kingeweza kupata watu wengi mamna hii wa kwenda hata kuwasikiliza au kusikia kile wasemacho.
Mwaka huu mpambano ni mkali sana
 
hivi zito unaweza mlinganisha na nani kutoka chadema? me bado sijaona.

mkuu hakuna hata mmoja hata ukiziunganisha akili zao wote hawawezi kufikia zitto. ...zitto ni engine bwana.
 
mkuu hakuna hata mmoja hata ukiziunganisha akili zao wote hawawezi kufikia zitto. ...zitto ni engine bwana.

Na kweli hakuna....pale hakuna mwenye akili za kisaliti kama zito..na huwezi kulinganisha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…