hvi ulitarajia mkutano ktk kijiji uwe na mahudhurio ya watu elfu kumi au? hyo ni tabora ambapo chama bado knajijenga...hutarajii umati kama wa mwanza au kgoma...try 2b more objective. kama umati huo ungekuwa irnga au mbeya hapo ungekuwa na furaha kwamba CDM ndo inaishia porin....