Picha: Mikutano na Dr.slaa ni Taabani huko Tabora

Niseme tu kwamba ccm msitake kutuletea ngojera nyingi mkubali msikubali asilimia 99% ya watanzania hawaipendi ccm kwa namna ccm ilivyo liangamiza taifa letu. CCM ni janga la kitaifa. pengine ili watanzania waweze walau kukubaliana na chochote mnachosema chukueni hatua kali kukomesha Ufisadi/Ujangili/Ujambazi wa ardhi/wizi wa fedha/utoroshaji wa wanyama/mauaji ya raia nk matendo haya yanafanywa na ccm. Hakuna mtu anayeweza kukubali wala kusikiliza maneno ya kada yeyete wa ccm maana kila likada la ccm lipo kwa ajili ya ujangili/wizi/ujambazi/kuua/kupora ardhi kama kule Mwanza liccm moja limegongwa kisawasawa kwa ujambazi wa ardhi/ Mabadiliko yatakayoleta heshima ktk utawala hayaepukiki kwa lolote lile hata kama mtaleta propaganda nyingi ni bure tu. Hao watu wanatosha wanasubili tu kuiangamiza jambazi/fisadi ccm 2015
 
Imekuwa hadithi nasio picha tena...

Kwi kwi kwi hii ni dalili ya watu waliochanganyikiwa..

wanasubili point of interraction wanasubiri
 
we endelea kuzubaa na kusubiri sadaka zenu mnazotoa mikutanoni wenzenu wanatanulia na mahawara dubai
 
Back
Top Bottom