MichazPipoz
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 533
- 150
Hiii ndio Ocean road yao ila hawapigi roba
Mkuu matumizi ya hela ni tabia ambayo unaijenga tangu una milki kiasi kidogo cha fedha, hivi tulivyonavyo vichache tu tumeshindwa kutumia kwa ufanisi, ikija mafuta si ndio na mishahara watunga sera watajiwekea mikubwa hasa ukizingaia mapato mengi ya Tanzania yanakwenda kwenye shughuli ambazo hazizalishi kama utawala na mambo mengine kibao na hiyo miradi ya maendeleo ni mikopoNgoja na sisi tuanze kupata hela za gesi....!
Mbona tumekata tamaa, hiyo taswira ya Luanda ime-reflect uchumi wa nchi ya Angola nzima au tunaangalia nini mpaka tunafikia hatua ya kusema wao wameendelea, nitakubaliana kama tufanya ulinganisho na jiji letu kuu la kibiashara la Salidalama hapo naungana na wewe kwamba kunahitajika nguvu na jitahada za ziada haswaMpaka sie kuwafikia kimaendeleo tunahitaji nguvu na jitihada za ziada haswa.
Unachosema kwa miji inayokuwa lkn kwa serekali hii tutasubiri sana kama Arusha tayari tushachelewa labda miujiza ila sio viongozi hawa hawa.ngudu yangu kw mji kama Dar huenda ikatugharim sana lakini kuna miji inayokua kwa kasi kama Mwanza,Arusha,Mbeya na Dodoma serikali ikiamua kuipangilia hii miji mapema tunaweza kuwa mara mbili ya jiji la luanda
Nimepapendaje hapo, mpangilio safi kabisa
Ni kweli pazuri lakini ni sawa sawa na vibanda vya makuti
Mkuu kuna kiongozi gani Tz ambaye unaweza kumshauri, au wewe umefanya nin kuibadili hali hii tulionayo kwa mf. ile barabara ya morogoro kwa nin imeachwa 2 lane ? kwa kiongozi mwenye kuangalia mbele angeweka angalau 3 lane lakini huyu mnaye msifia ndo ameipa kipaumbele BRT na kusahau mambo ya muhimuPicha nzuri sana. Wareno walipanga huo mji vizuri. Kama wajerumani walivyozipanga Tanga na Moshi.
Natamani wengi waliochangia wangeonyesha walau wamefanya/wanafanya nini kupiga hatua kuelekea maendeleo makubwa zaidi ya tulipo. Wengi wameishia kulaumu.
Ni sawa na kuona jirani kanunua gari, badala ya kushauriana ndani ya familia namna ya nyie kusonga, mnaishia kutukanana, kuzodoana na kuitana majina!! Hapo, mchawi ni nyie wenyewe.
Picha kama hizi zitupe hasira ya kubadili yanayoturudisha nyuma. Na cha kwanza ni mtu mwenyewe. Tusiangalie mbali. Mtazamo chanya na kujibidisha ni mwanzo wa kuelekea pa kuja kupigiwa mfano.
ANGALIZO: hivi kwanini katika hizo picha 'hakuna' watu? Hao wachache walioonekana wana hali za kawaida sana ukilinganisha na 'utamu' wa kimcharo wa hizo picha!!! Kuna kitu hakiko sawa......
MAENDELEO YA KWELI HULENGA WATU......
Ulilkuwa una mana sawa na hapa chini (Bongo)Ni kweli pazuri lakini ni sawa sawa na vibanda vya makuti
sicheki kwa mazuri.. u nailed it all, Dar ni kichaka tu hakuna lolote
Anyway nilikufananisha na rafiki yangu wa zamani.. A Rwandese GIRL alikua anaishi Masaki, yeye kila siku route zake z vacations ni Singapore, Malaysia and the likes
Mkuu kuna kiongozi gani Tz ambaye unaweza kumshauri, au wewe umefanya nin kuibadili hali hii tulionayo ...
Thats Me,if wewe n Henry....mambo poa lakin
... we are just useless. ...
Naiono mtwara ya baadae