Ukombozi wa kweli hauwezi kuja kwa watu kuasi viapo vyao na kukiuka maadili ya kazi na sheria za kazi,ni hatari sana kushabikia hii hali,coz anaeshughulika na mapungufu yoyote ya serikali ni bunge na sio Jeshi,msitupeleke huko.Lema to me wewe ni hatari sana na angalia sana,sio kila mtu umtumie kufanikisha malengo yako kisiasa,makundi mengine yakitumika ni hatari sana.Wako wengi hawa jeshini,lakini huyu kaamua kuthubutu.ukombozi wa kweli unakuja Tanzania,
Hongera kamanda wa ukweli
kisheria mtu wa chombo cha ulinzi na usalama hapaswi KUJIHUSISHA NA MASUALA YA VYMA,HAPASWI KUSHABIKIA CHAMA AU KUWA MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE
kosa lake litakuwa ni kujihusisha na mambo ya siasa wazi wazi! hili haliruhusiwi hata kidogo! ingawa ccm ni ruksa kabsa! lolKosa lake litakuwa lipi?
Hiyo ilikuwa zamani sana, siku hizi jeshini ni Gongo, Bangi, Ngono na Hongo.jeshi lina sheria, kanuni na taratibu zake! lets wait...........
Kosa lake litakuwa lipi?
kosa lake litakuwa ni kujihusisha na mambo ya siasa wazi wazi! hili haliruhusiwi hata kidogo! ingawa ccm ni ruksa kabsa! lol
binafsi katika hili siungi mkono ...hizi sio siasa na hukana na hakuna duniani kuwahi kutokea kituko cha wanasiasa kutafuta watu kuwavalisha kombati za jeshi kwa lengo la kufanikisha mambo yao ya kiasia..ndo naona hapa tz... Na ukweli uko wazi hasa hawa viongozi hawa vijana wa cdm ukweli ni hatari wanavuruga nchi wazi wazi... Tushabikie lakini tuangalie na ukweli wa swala hili ni hatari sana . Mbowe,slaa ,mzee mtei vyema mkaangalia upya njia ya kupata mafanikio katika siasa zenu kama ni sahihi au la...ukombozi wa kweli hauwezi kuja kwa watu kuasi viapo vyao na kukiuka maadili ya kazi na sheria za kazi,ni hatari sana kushabikia hii hali,coz anaeshughulika na mapungufu yoyote ya serikali ni bunge na sio jeshi,msitupeleke huko.lema to me wewe ni hatari sana na angalia sana,sio kila mtu umtumie kufanikisha malengo yako kisiasa,makundi mengine yakitumika ni hatari sana.
Kosa Lake Kuchanganya Siasa na Kazi...Si kuna kitu kinaitwa 'POLITICAL NEUTRALITY MKUU"?
Mkuu hapo kapiga picha na mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kushiriki siasa waziwazi na kama mtumishi wa umma.
Ukombozi wa kweli hauwezi kuja kwa watu kuasi viapo vyao na kukiuka maadili ya kazi na sheria za kazi,ni hatari sana kushabikia hii hali,coz anaeshughulika na mapungufu yoyote ya serikali ni bunge na sio Jeshi,msitupeleke huko.Lema to me wewe ni hatari sana na angalia sana,sio kila mtu umtumie kufanikisha malengo yako kisiasa,makundi mengine yakitumika ni hatari sana.
Mtajipambambanua kwa njia nyingi lakini sawa na mwanaume asiye na kizazi ... Bado mtanunua hadi nguo za mgambo wa jiji,za manesi na madr alafu mpige nao picha.... Hata kwa macho tu mtoto mdogo anajua huyo kibaka tu kaokotwa mtaani kavalishwa nguo .
Kosa lake litakuwa lipi?
Mtajipambambanua kwa njia nyingi lakini sawa na mwanaume asiye na kizazi ... Bado mtanunua hadi nguo za mgambo wa jiji,za manesi na madr alafu mpige nao picha.... Hata kwa macho tu mtoto mdogo anajua huyo kibaka tu kaokotwa mtaani kavalishwa nguo .
Hoya unauliza majibu ya nanii ino ya wakati umeshika mkia wake!! Mwanajeshi kesha tamka wazi kuwa yuko tyari kufukuzwa hana cha kupoteza!!!Mtu akishakuwa kwenye pointi hiyo unategemea.KATIKA GAZETI LA MWANANCHI LA LEO TAREHE 24 DEC, KUNA MTU ANAYEONEKENA KUPIGA PICHA NA KUHUDHURIA MKUTANO WA CHADEMA .. INADAIWA KUWA NI ASKARI WA JWTZ TOKA KAMBI YA MONDULI ... KUTOKANA NA MIONGOZO YA JESHI NI VYEMA JESHI LIKATOA KAULI KAMA HUYO MTU NI ASKARI KWELI AU LA.. AU KAVALIWASHWA MAGWANDA NA UKIANGALIA PIA MAGWANDA YAKE NI TOFAUTI NA YA JWTZ, NI YA JESHI LA MAREKEANI.
Mtu aliyejitambulisha kuwa askari wa Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ),kambi ya Monduli,Arusha akiwa na wabunge wa Chadema,Godbless Lema (Arusha Mjini) na Joshua Nassari (Arumeru Mashariki) baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na wabunge hao katika Mji mdogo Mererani,Simanjiro mkoani Manyara jana.
Wapo wengine wengi, hawajaja hadharani!:target:
Ukombozi wa kweli hauwezi kuja kwa watu kuasi viapo vyao na kukiuka maadili ya kazi na sheria za kazi,ni hatari sana kushabikia hii hali,coz anaeshughulika na mapungufu yoyote ya serikali ni bunge na sio Jeshi,msitupeleke huko.Lema to me wewe ni hatari sana na angalia sana,sio kila mtu umtumie kufanikisha malengo yako kisiasa,makundi mengine yakitumika ni hatari sana.