kama kila afanyalo anarekodiwa mbona hatujaoneshwa akiwa msalani!!??Jakaya ni Rais, kila alifanyalo linarekodiwa. Hana pakukwepa.
Unataka kufananisha kinyangarakata kile na Rais wa watu millioni zaidi ya 45? na mifugo yao, na ardhi yao, na mimea yao? Unanchekesha!
wengi akina nani? can you mention at least ten?
Ivi mengi ni mbunge? waziri?shekhe? Mchungaji au anafanya kazi mashirika ya misaada?
Nasikia kila mwaka hutumia zaidi ya milioni 50 kuandaa shughuri hizo, ingekuwa jambo la maana zaidi kama hiyo pesa kila mwaka angekuwa anaitumia kuwalipia gharama za shule hao walemavu, Kwani wengi wao wanasoma shule za msingi na waliobahatika kuendelea ni ktk shule za kata, ambapo kwa kiwango hicho angewasaidia walemavu wengi sana kuliko kuwaita na kuwafariji kwa chakula na mziki wa masaa machache tu, huku wakikabiliwa na changamoto nyingi za kimaisha??? Mi nadhani washauri wake walione hili japo anajitahidi ila aangalie njia bora ya kuwasaidia zaidi ambayo itakuwa ya kudumu kwa wahusika nayo ni kupitia elimu.
wengi akina nani? can you mention at least ten?
Kwa hiyo roho mbaya yako I doubt..huwezi kumsaidia mtu wewe FaizaFoxy hata muislamu mwenzako! Huna roho hiyo
Waislam kula hatuhesabu kama ni msaada, kula ni rizki ambayo ikifungwa hata ushindiliwe haiingii.
Kuwaanika hao vilema kuwapa chakula na kuwatangaza kama umewafanyia cha maana sana ni kujitafutia umaarufu kwa wajinga walio wengi.
Mhemishiwa Mengi endelea kuwapigania wanyonge,watanzania wengi tunatambua mchango wako,Hakuna lolote, huko kote unakopataja mbona hatuoni? Tunaona hapa akiwaanika vilema na wasiojiweza kwa kutafuta sifa.
Hapo anawatumia vilema kujitafutia umaarufu.
"ukitaka kumlisha mtu ukimpa samaki utamtoa njaa kwa siku moja tu, mpe nyavu akavue, utamtoa njaa maisha yake yote"
Rough translation of a Chinese proverb.