The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 18,171
- 51,145
Hii thread imemchoma sana aisee! angekua na uwezo angeifuta kabisa ila ndio hivyo tena! chuki humchoma aliyeihifadhi.Mkuu kama umekukwaza huu uzi fumba macho pita kama hujauona vile kwani kila uzi lazima uchangie, we unadhani yote yanayoletwa humu hatuyajui. Ukiona sio newz piga chini