PICHA: Mchezaji wa Manchester United, Paul Pogba akiwa Macca

Mkuu kama umekukwaza huu uzi fumba macho pita kama hujauona vile kwani kila uzi lazima uchangie, we unadhani yote yanayoletwa humu hatuyajui. Ukiona sio newz piga chini
Hii thread imemchoma sana aisee! angekua na uwezo angeifuta kabisa ila ndio hivyo tena! chuki humchoma aliyeihifadhi.
 
Wewe ndiye unayetakiwa urudi kwenye ufahamu wako na akili zako,sasa ndio nimeelewa kua kumbe hii habari imekua ni mwiba kwako na imekuuma sana,
Hakuna jipya chini ya jua,so una maanisha JF ifungwe coz kila thd itakayoletwa hivyo vitu vimeshafanyika or happen somewhere? una umri gani kwanza? isije ikawa nahangaika na kitoto cha shule! the way unavyobuild arguments zako inanipa wasiwasi,ndio maana nimejaribu kukukadiria energy za kukujibu,naweza tumia so much energy unneccessary.
Sasa niwe na chuki ya nini kwa mtu kufanya takwa lake la kidini halafu wewe jazba za nini mwishowe upate presha bure tulia tulia usipandwe jazba

Hebu imagine hao uwaitao mastar waende huko makka labda 100 na kwa mujibu wako kila wakifanyacho ni habari kutakuwa na nyuzi ngapi humu jambo ambalo si la ajabu halafu wewe ujionaye una argument za kikubwa unaona ni sawa tu halafu wewe ujionaye unazo unawadharau wale wasiyomastar wanaoenda si lolote wala siyo habari isipokuwa Pogba ha ha hauko sawa sehemu wewe ili hali uislamu huona watu wote ni sawa sasa wewe kusema habari ya Pogba ni bora kuliko wengine nina wasiwasi na uislamu wako sheikh
 
Basi na Mahakama zisiwe zinatoa hukumu tuwe tunasubiri tu hukumu za Mungu?
Inajulikana na inaaminika kiimani kwamba serikali zinazowekwa madarakani huwa na mkono wa Mungu na mahakama ni moja wapo wa chombo cha serikali so kidunia mahakama kuhukumu inaweza isiwe issue sana shida ni kikundi cha watu kukaa na kupanga kama fulani tumsamehe au tusimsamehe.

Ila siyo case ni imani yako tuliache!
 
Sasa niwe na chuki ya nini kwa mtu kufanya takwa lake la kidini halafu wewe jazba za nini mwishowe upate presha bure tulia tulia usipandwe jazba

Hebu imagine hao uwaitao mastar waende huko makka labda 100 na kwa mujibu wako kila wakifanyacho ni habari kutakuwa na nyuzi ngapi humu jambo ambalo si la ajabu halafu wewe ujionaye una argument za kikubwa unaona ni sawa tu halafu wewe ujionaye unazo unawadharau wale wasiyomastar wanaoenda si lolote wala siyo habari isipokuwa Pogba ha ha hauko sawa sehemu wewe ili hali uislamu huona watu wote ni sawa sasa wewe kusema habari ya Pogba ni bora kuliko wengine nina wasiwasi na uislamu wako sheikh
Ndio maana nikawa na wasiwasi kua wewe ni kitoto cha shule,pia uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana!

Wapi nimesema habari ya Pogba ni bora kuliko wengine?
Wapi nimesema wale wasio mastar wanaoenda kufanya hiyo ibada si lolote?

Nimeshakuambia zaidi ya mara 2,Pogba ni star,kila akifanyacho ni habari,
Wewe hata kukiwa na nyuzi milioni humu tatizo lako nini? Server za jf zipo kichwani mwako? umeshauriwa kua kama huu uzi unaona ni wa hovyo sio lazima kuusoma au kuchangia,JF ina majukwaa mengi tu kwanini uteseka na thd inayokuchomwa kwa chuki zako za udini?
 
Inajulikana na inaaminika kiimani kwamba serikali zinazowekwa madarakani huwa na mkono wa Mungu na mahakama ni moja wapo wa chombo cha serikali so kidunia mahakama kuhukumu inaweza isiwe issue sana shida ni kikundi cha watu kukaa na kupanga kama fulani tumsamehe au tusimsamehe.

Ila siyo case ni imani yako tuliache!
Jaribu kua muelewa,mahakama inakua imeshatoa hukumu tayari,ila warithi wanaweza wakamsamehe aliyehukumiwa,hata Mungu anasamehe pia,wapo watu walikua na maasi makubwa ila wakajirudi na kua waungwana na raia wema,binadamu tunajifunza kutokana na makosa.
 
Kwa hiyo waislamu wengine wanaoenda hawafai kuanzishiwa nyuzi kwa sababu wao siyo mastar?
Ndio maana nikawa na wasiwasi kua wewe ni kitoto cha shule,pia uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana!

Wapi nimesema habari ya Pogba ni bora kuliko wengine?
Wapi nimesema wale wasio mastar wanaoenda kufanya hiyo ibada si lolote?

Nimeshakuambia zaidi ya mara 2,Pogba ni star,kila akifanyacho ni habari,
Wewe hata kukiwa na nyuzi milioni humu tatizo lako nini? Server za jf zipo kichwani mwako? umeshauriwa kua kama huu uzi unaona ni wa hovyo sio lazima kuusoma au kuchangia,JF ina majukwaa mengi tu kwanini uteseka na thd inayokuchomwa kwa chuki zako za udini?
 
Kwa hiyo waislamu wengine wanaoenda hawafai kuanzishiwa nyuzi kwa sababu wao siyo mastar?
Una kichwa kizito sana aisee! unaonekana unampa tabu sana mwalimu wako huko shuleni? unalalamika kua kila mtu akienda hiyo ibada akaanzishiwa thd si tutakua na thd nyingi humu? kisha unauliza tena wasiokua mastar hawafai kuanzishiwa thd!!

Ni wapi nimesema wasiokua mastar hawafai kuanzishiwa thd?????!!!! kama wapo na unawajua anzisha tu thd hujashikwa mikono.
 
Ukibishana na ma dent halafu wenye uwezo mdogo wa kung’amua mambo utaumiza kichwa chako bure. We achana nao uzi umesema Paul Pogba kaenda Umra akipenda asipotaka kaenda
 
Hili ndiyo tatizo lenu waislamu wa wakati wa sikukuu tu yaani mkiona mtu maarufu kashika hata QURAN tu basi hiyo itakuwa habari all over the world kuwa kasilimu, akienda Makka balaa mtaweka mpk mkesha kumpongeza wakati wala si jambo la ajabu

Wakati mwingine mpka mnafake news kuonyesha fulani kasilimu, fulani muislamu na kelele nyingi kweli sijui huwa mnachanganyikiwa na nini

Mtu kufanya takwa lake imani yake siyo issue ni jambo la kawaida kabisa ndiyo maana hujawahi kusikia humu habari za watu wa calibre yake ambao huenda ni wabudha, wakristo na dini nyingine wakienda kufanya ibada zao nyuzi zikaanzishwa unless lengo lenu na mtoa nyuzi ili kuuhabarisha umma kuwa Pogba kasilimu au ni muislamu ila hiki alichokileta wala siyo cha ajabu kuanzisha uzi maana si ajabu hata mzazi wake au ndugu zake pia au yeye binafsi alishafanya na hakuleta uzi humu

Uislamu kazi yake ni kulingania dini siyo kuleta hizi sanaa
 
Sio maneno ya Faiza ni maneno ya Paul Pogba hebu soma habari kwenye hilo link acha papara bwana
we nawe pumba kweli kwani pogba ni nani, kisa kasema yeye ndo inakuaje, pogba si mtu tu kama wewe, mnakuza maaambo wakati jambo la kawaida sana waislam bhana
 
Tetea weee!!! ila kuchinja mtu hadharani kwa Upanga ni ukatili wa hali ya juu.
Tena wanahukumiwa kwa sharia za kiislam wala sio Warithi kama unavyotaka kupotosha umma.

Dini gani isiyojua kusamehe, yaani warithi wanataka mwenye mali afe warith mali zake??.
Halafu mnasema dini ya heshima]
Wacha kubishia kitu usichokijua, Sheria ya kiislamu imewapa haki warithi wa marehemu, ama wamuuwe muuwaji au wachukue fidia au wasamehe. Baada ya muuwaji kukutwa na hatia ya mauwaji.
 
Hili ndiyo tatizo lenu waislamu wa wakati wa sikukuu tu yaani mkiona mtu maarufu kashika hata QURAN tu basi hiyo itakuwa habari all over the world kuwa kasilimu, akienda Makka balaa mtaweka mpk mkesha kumpongeza wakati wala si jambo la ajabu

Wakati mwingine mpka mnafake news kuonyesha fulani kasilimu, fulani muislamu na kelele nyingi kweli sijui huwa mnachanganyikiwa na nini

Mtu kufanya takwa lake imani yake siyo issue ni jambo la kawaida kabisa ndiyo maana hujawahi kusikia humu habari za watu wa calibre yake ambao huenda ni wabudha, wakristo na dini nyingine wakienda kufanya ibada zao nyuzi zikaanzishwa unless lengo lenu na mtoa nyuzi ili kuuhabarisha umma kuwa Pogba kasilimu au ni muislamu ila hiki alichokileta wala siyo cha ajabu kuanzisha uzi maana si ajabu hata mzazi wake au ndugu zake pia au yeye binafsi alishafanya na hakuleta uzi humu

Uislamu kazi yake ni kulingania dini siyo kuleta hizi sanaa
Chuki za kijinga zinakutafuna mpaka ubongo,ndio maana hata unachokiandika hakieleweki,ukiulizwa maswali huna jibu,umebaki kuruka ruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa,siku nyingine jaribu kupiga kimya ili kuficha ujinga wako.
 
Ukibishana na ma dent halafu wenye uwezo mdogo wa kung’amua mambo utaumiza kichwa chako bure. We achana nao uzi umesema Paul Pogba kaenda Umra akipenda asipotaka kaenda
Kweli aisee,huyo denti ana kichwa kizito sana cha uelewa,nadhani hata huko Shuleni yeye ndio kituko cha darasa.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom