Picha: Mbunge maarufu Joyce Mukya

Picha: Mbunge maarufu Joyce Mukya

Status
Not open for further replies.
Mbona sasa Mbowe mwenyewe mpewa nchi mtarajiwa anakuwa na skendo chafu?
mara Wema sepenga.mara Joyce nkya tena juzi kati hapa anatuhumiwa kutomasa matiti wadada wa vitu maalum.
 
Anayeshangaa mwanaume kuwa na mwanamke huyo labda ana matatizo ya kibaiolojia. Kwa wanaume au hata kwa wanawake mbona suala la kawaida sana.wanaoshangaa ni washamba na malimbukeni
 
Wanaume wengi kwa wanawake Ni dhaifu sana, hivi unajua kwa nni Ummy na yule Waziri wa madini hawatumbuliwi? Sifaa kuu ya mwanaume ni kutumikia wanawake.
Walau wewe unajua,sio wengine wanaropoka tu, hafu utakuta hayohayo yanayoponda do yameshakabidhi hata atm kadi
 
bora mmetujuza wengine tulikuwa hata hatujui kitu,
kiongozi mkuu wa chama unakuwa mchafu kiasi hiki...?!
uadilifu wa kiongozi unapimwa kwa matendo yake, sasa unakuwa muhuni halafu wananchi utawaambiaje?utatushawishi kwa hoja gani?uaminifu umepungua.

wananchi wenzangu mwaka huu kamwe tusichague viongozi ambao sio waadilifu, tusichague wahuni, tujitahidi kupeleleza na kuchunguza maisha ya kila kiongozi kabla hatujawachagua ili tupate viongozi wenye uadilifu
Hayo ni maisha yake, tumchunguze iweje? kwani amebaka? msafi ninani hayo mambo niya mtu na mtu wake.acheni wivu jamani nyie simnao wakwenu? hayo hayana kiongoz
 
Hayo ni maisha yake, tumchunguze iweje? kwani amebaka? msafi ninani hayo mambo niya mtu na mtu wake.acheni wivu jamani nyie simnao wakwenu? hayo hayana kiongoz
kiongozi ni kioo,
sasa kweli wake zetu watapona wakiingia huko kwenye magwanda ?hatri sana!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom