Picha: Mbunge maarufu Joyce Mukya

Picha: Mbunge maarufu Joyce Mukya

Status
Not open for further replies.
Ni ulimbukeni wa Mbowe tuu...kujifanya Amenogewa mpaka agawe vyeo.
 
Huu uzi mbona mko peke yenu, timu namba mbili wamesepa wanchungulia madilishani tu hawna la kusema hapa?
 
Huu uzi mbona mko peke yenu, timu namba mbili wamesepa wanchungulia madilishani tu hawna la.kusema hapa?
Wana wakati mgumu sana haijawahi kutokea. We huoni hata magwanda na skafu za Chadema hawavai tena.
 
Kwa mzinzi yeyote kuruka huo mtego ni kazi nzito sana.

Kwahiyo huyu ndio huwa anamaliza pesa ya ruzuku ya chama na michango ya mfuko wa uchaguzi hadi kina Lijualikali wanamwaga machozi hadharani.
Ndiyo huyo, hata yale makato ya laki tano kwa wabunge wa kuteuliwa bidada anajimwaga nayo kama mwisho...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom