Picha: Mbunge maarufu Joyce Mukya

Picha: Mbunge maarufu Joyce Mukya

Status
Not open for further replies.
bora mmetujuza wengine tulikuwa hata hatujui kitu,
kiongozi mkuu wa chama unakuwa mchafu kiasi hiki...?!
uadilifu wa kiongozi unapimwa kwa matendo yake, sasa unakuwa muhuni halafu wananchi utawaambiaje?utatushawishi kwa hoja gani?uaminifu umepungua.

wananchi wenzangu mwaka huu kamwe tusichague viongozi ambao sio waadilifu, tusichague wahuni, tujitahidi kupeleleza na kuchunguza maisha ya kila kiongozi kabla hatujawachagua ili tupate viongozi wenye uadilifu
 
Mwanamke ukinoga huwa ni ngumu sana kupata shida hapa duniani! Wengine wazuri sawa ila hawanogi
 
bora mmetujuza wengine tulikuwa hata hatujui kitu,
kiongozi mkuu wa chama unakuwa mchafu kiasi hiki...?!
uadilifu wa kiongozi unapimwa kwa matendo yake, sasa unakuwa muhuni halafu wananchi utawaambiaje?utatushawishi kwa hoja gani?uaminifu umepungua.

wananchi wenzangu mwaka huu kamwe tusichague viongozi ambao sio waadilifu, tusichague wahuni, tujitahidi kupeleleza na kuchunguza maisha ya kila kiongozi kabla hatujawachagua ili tupate viongozi wenye uadilifu
Haha. Unajua tabia za chairman wako?
 
Mimi ni mwana CCM, ila siasa majitaka ni upuuzi. Hatusongi mbele kwa kuelekeza nguvu zetu kwenye matukio madogo sana yasiyo tija.
 
Kwa muonekano wa macho huyu mama ni wakaida sana!
Labda kwa ndani ndo mtamu kiasi cha kumfanya mzee faru john asahau majukumu.
Ila nimwanamke wa kawaida sana.
 
Hamfikii hata kidogo Lilian. Lilian kisu bwana. By the way hivi huyu Joyce alishawahi changia chochote humo bungeni ?Viti maalum vifutwe tu. Havina maana,maana mtu anateuliwa kwa kuliwa papuchii.
 
Hamfikii hata kidogo Lilian. Lilian kisu bwana. By the way hivi huyu Joyce alishawahi changia chochote humo bungeni ?Viti maalum vifutwe tu. Havina maana,maana mtu anateuliwa kwa kuliwa papuchii.
wivu
 
Sijui nikagongee nyagi eeeh, au nikagongee yokozuna (in Mwamba's voice)!🕺
 
Ninachokiona ni kuwa kuna Watu tunateseka sana kwa kigezo cha imani.

Kuna clip moja anasikika Sheikh mmoja akisisitiza kuwa hakuna Mwanaume RIJALI anayeweza kutosheka na Mwanamke mmoja.

Pia refer kauli ya DC wa Dodoma kuhusu uhusiano wa Wabunge na kina Dada poa...kumbe basi upande mmoja waweza kutengeneza picha ya kuwa wewe ni muadilifu ili hali unamaliza mambo yako chini kwa chini.

Mheshimiwa angekuwa ule upande mwingine wa Imani huyo bint angepewa jina la heshima "Mke Mdogo"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom