Unaacha kuwaombea wananchi huduma muhimu za afya na vipimo ili wasife wewe unaomba mochwari.
Mheshimiwa Mbowe akipanga mikakati na Rais Jakaya Kikwete ;
angekua zitto ungewasikia pro chadema wangemrukia zitto, hapo hapo vipi?
acha uwongo mkuu,nyinyi ni miongoni mwa watanzania mnaoamini kuwa upinzani ni kupigana,upinzani ni kutofautiana kifikra na si vinginevyo, upinzani hautuondolei utanzania wetu. Lengo letu ni moja nalo ni kujenga tanzania yenye neema. Dk slaa na kikwete wanakutana mara nyingi kuzungumzia masuala ya kitaifa. Jifunzeni maana ya demokrasia,maana inawezekana wewe ni miongoni mwa wanaotumia nguvu kwenye uchaguzi,badala ya nguvu ya hoja!Mbowe kamuua kabisa Padri Slaa leo hapa ilipo PADRI Slaa anasubiri kuzikwa kabisa kisiasa hahahaha HONGERA MBOWE ila hongera zaidi ZZK kwani ule msemo wako uupendao zaidi wa BAKIZENI AKIBA YA MANENO sasa unamtokea puani PADRI SLAA kwani kamaliza maneno yote sasa kageukia MIPASHO na UMBEA
Imekuwa ni kawaida kwa WanaCDM wakiongozwa na Katibu wao Mkuu kutoa matamko yasiyo na tija hasa katika swala la maendeleo ya Taifa letu, matamko ambayo mengi yamejaa kejeli na uhuni unaopaswa kupuuziwa kuliko upuuzi wenyewe.
Katika kudhihirisha kuwa hawajui wayanenayo leo Mwenyekiti wa CDM Taifa amesikika akitoa tamko ambalo kimsingi litakuwa kama funzo kwa Katibu wake Mkuu na baadhi ya WanaCDM.
Mbowe kasema yeye amezunguka sana hapa Nchini kwa anga na barabara na amejionea maendeleo ambayo Serikali ya CCM imefikia na kwa hilo anampongeza Rais pamoja na Serikali yake. Hapa Mbowe hakutaka kumumunya maneno hata kidogo.
Hili ni fundisho kwa Slaa na wenzie ambao wamezoea kutamka kuwa miaka 50 CCM haijafanya kitu. Lakini nimekuja kugundua kuwa Samaki akianza kuzeeka huanzia kwenye Ubongo.
Mh. Freeman hongera sana kwa hayo uliyoyaona na kuyasema na tunaamini kuwa utaendelea kuwaeleza na hao wengine na wataelewa tu taratibu
Ben maendeleo ya miaka 50 yanafananaje? nadhani kwa mawazo yako tungekuwa tunatengeneza ndege sasa!
Naamini wewe ni mfuasi wa Mwalimu Nyerere na hujawahi kumkosoa hata siku moja.Katika hiyo miaka 50 unayolilia, Mwalimu ametumia karibu nusu akiwa Madarakani.Swali langu ni je!Nyerere anapaswa kutupiwa lawama????
Ama tutaendelea kuishi kwa ''imagination'' through out!
Tuwe tunasoma historia vizuri kabla ya kukosoa ama kuhukumu.Unaambiwa nchi imeanza kujijenga miaka ya 80 baada ya ukombozi wa Afrika angalau kueleke tamati, mbona hili ulisemi?
Hii ni principle tu hata katika maisha kwawaida, mara nyingi maendeleo ya mtu anaesaidia ndugu zake saana huchelewa tofauti na yule mwenye mkono wa birika.
Asante Mkuu maana kuna wakati mwingine vidole vyangu hupata kigugumizi hapa JF. Watu hawaelewi maana ya Uraisi.Kwenye red: Yanafanana na South Korea, Malaysia & Singapore.
About Mwl Nyerere. He made some blunders, big blunders, but he also lef a few things behing: Elimu bure, huduma za afya bure,General Tyres, Mwatex, Machine Tools, Tanganyika Packers, Tanneries, Air Tanzania na ndugu na jamaa marafiki. And here is the catch, yote haya yalifanyika kwa hela ya pareto, coffee, tumbaku na korosho.
Sasa hivi tuna shule za kata -not bad!
Zitto alishasifia-ga barabara zake za kule Manyovu, Kazurzmimba kuwa Jk kapabadilisha hajawahi tokea wapambe wa CDM walimwangukia utafikiri mpira wa kona lkn leo wote kimya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!angekua zitto ungewasikia pro chadema wangemrukia zitto, hapo hapo vipi?
So what? Njaa kali.Mbowe ni kijana wa JK humu JF Pro-Chadema povu linawatoka ovyo mwenye chama Mbowe yupo katulia kwa JK anawachora tu.
Mawazo yako ni kama ya nguruwe mzee, yamejaa chuki na hasira badala ya busara na hekima na ulivyo mjinga hujaona kuwa chuki yako binafsi haina manufaa kwako wala kwa wapumbavu wenzako!Mbowe kamuua kabisa Padri Slaa leo hapa ilipo PADRI Slaa anasubiri kuzikwa kabisa kisiasa hahahaha HONGERA MBOWE ila hongera zaidi ZZK kwani ule msemo wako uupendao zaidi wa BAKIZENI AKIBA YA MANENO sasa unamtokea puani PADRI SLAA kwani kamaliza maneno yote sasa kageukia MIPASHO na UMBEA
freeman mbowe mwenyekiti wa cdm amempongeza raisi jk kwa ujenzi wa miundo mbinu hasa ya barabara hii inaonyesha ukomavu wa kisiasa kwani angeweza kumtolea vijembe na kejeli lakini nadhani hii pongezi haiondoi ukweli kuwa kuna pengo kubwa sana kati ya kilichofanyika na kilichotakiwa kufanyika hasa ukizingatia rasilimali tulizonazo
nawasilisha
Kuna muda wa kufanya siasa na muda wa kutenda kazi!!!!!mikelele mengiii, wakikutana nae ovyoooooooooo
Heko kwako ZZK, naona viongozi wenzako waCDM wameanza kuelewa falsafa zako hakika wewe ni mwalimu big up.