Picha: Mbowe akagua Red brigade Mwanza

Tunausongo nao hao Subiri tukutane siku Moja ndio watajua red brigade au red mijeledi maana hakuna rangi watakosa kuijua, tutawasambaratisha wote ndio utakuwa mwanzo na mwisho wao.

ufupi wa akili yako hauna tofauti na nukta...only retarded mind thinks conflict is a resolution
 
Kikundi cha kigaidi ni green guard inayomilikiwa na magaidi wa ccm


5118893.jpg
 
Tafadhali sana watu wa Usalama wa Taifa kuweni makini sana na hivi vikosi vya vyama vya siasa kama REDBRIGED NA GREENGURD NA BLUEGURD.

Vikosi hivi ni hatari na vina mafunzo ya juu kuliko polisi na baadhi ya wanavikundi hivi walikuwa wanajeshi zamani majina yapo.

Lakini katiba ya nchi inakataza pia kuunda jeshi lingine nje na majeshi ya serikali.

Pia katika kufuta mnapaswa kuanza na kikosi cha CCM kwani ndio cha kwanza kuanzishwa.

Pia imarisheni Jeshi la Polisi na Majeshi mengin yasiwe watetezi wa CCM bali wawe kati wasipendelee.

Tusiigeuze Tanzania kama Somalia, Amani muhimu sana.
 

Attachments

  • green gurd.jpg
    green gurd.jpg
    28.1 KB · Views: 508
  • redbriiged.jpeg
    redbriiged.jpeg
    14.9 KB · Views: 492
mkuu hawa wa ccm ni wa kupiga makofi tu
ndio maana mbowe kakuambia haibiwi kura alimaanisha

ccm wao ndio watalalamika
 
Mkuu, nchi yetu inaongozwa kwa matukio, likitokea la kutokea ndio utasikia wanahaha kuanzisha "Mkukuta" wa kutatua tatizo! Kwa ujumla Srrikali imekuwa "reactive" badala ya "proactive!"
 
naona hao jamaa wameshika vitoweo.
kuleee kwa kina mgimwa ukiwapeleka hawa kulinda kura na hivyo vitoweo kula zitaibiwa kirahisi sana.maana wanancho watakuwa busy wakivizia hao walinzi.ili wakawatafune
 
Mkuu, nchi yetu inaongozwa kwa matukio, likitokea la kutokea ndio utasikia wanahaha kuanzisha "Mkukuta" wa kutatua tatizo! Kwa ujumla Srrikali imekuwa "reactive" badala ya "proactive!"
Eti na wewe ulikuwa Moderator! Tehetehetehetehe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom