Picha mbili zinaelezea kwanini kwa sasa wao ni bora kuliko sisi

Kuna utoto zaidi ya hiki ulichofanya cha kufungua ID zaidi ya 100, kila ID una act tofauti. Mara unataka ajira ya ualimu, Mara dalali, mara mfanyabiashara mkubwa, mara therapist n.k

Kwenye siasa, angalia unachoandika hapa kwenye hii haya land alafu linganisha na unachoandikaga kwenye hii friedman , ndio utaelewa una matatizo kiasi gani
😅😅😅😅

Huyu bhana nilikuwa namzingatia sana na kiukweli ana vitu kichwani akitulia sema kuna vitu vidogo vidogo ukivifanya vinakukosesha scores

Kuna uzi fulani alianzisha hivi aisee nikabaki na maswali mengi. How mtu niliyekuwa namfikiria mie yuko hivi anakuja na uzi kama huu tangu siku ile automatically nikajishangaa simzingatii kama mwanzo

Ngoja niutafute kwanza ule uzi 😅
 
Katiba aliyoitumia Samia kuapa baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa 2025. Huwezi hata siku moja jeshi la JWTZ ukaliingiza kwenye siasa za majibizano.

Polisi wanaoshughulika na sheria ndio wanaoweza kukujibu kwenye mada yoyote.

Samia hahitaji kuiba kura kafanya mengi sana huko mikoani.

Nenda kule Karema Ziwa Tanganyika uzione meli nne zilizotengenezwa na wizara ya mawasiliano zinazokwenda kuanza kazi hivi karibuni.

Nenda katazame viwanja vya ndege vinavyozidi kumaliziwa kujengwa kila mkoa kwa kasi kubwa. Katazame wakulima wanaouza mazao nje ya nchi wanavyofaidika kwa hatua chanya zinazochukuliwa na wizara ya kilimo.

Punguza blah blah za humu JF nenda physically katembe ujionee namna anavyostahili kuwa Rais wa JMT.
Kwa hiyo hata wewe umeona kuwa yote yanayofanyika na anayofanya hayazingatii Katiba sio?

Polisi gani wa kutoa maelezo kwa matendo ya ukiukwaji wa haki za binadamu wanayoamuliwa kuyafanya dhidi ya Watanganyika na huyo Samia na genge lake?

Ujenzi wa miundombinu hata wakoloni walijenga ila tuliwaambia waondoke kwa kuwa walikuwa hawajali haki zetu.

Kujenga miondombinu sio kigezo cha kuua, kuteka, kupoteza na kuwafungulia watu kesi za uongo.
 
Siku zote usichokijua ni sawa na usiku wa giza. Siyo kila Mzungu ni mmisionari.
 
Gen Z wa Bongo ni vilaza sana. Eti Leo kutwa kuisifia Rwanda nchi ambayo h apo demokrasia ya kimagharibi ni sumu kubwa. Hapo wapinzani huuawa ovyo kisa tu wao ni wapinzani wa mifumo ya kidikteta ya Slimboy. Kilichopo kule na huko kwenu ni yaleyale tu!
Mauaji,
Hakuna uhuru wa kelele,
Hakuna uhuru wa habari,
Wote hutakiwa kufikiri kama Slim boy. Ukibisha yanakupata ya Mwanawasa na Rwigara Diana.
Mkitaka demokrasia na uchumi Bado Rwanda si nchi ya mfano.
Walau Rwanda hakuna demokrasia LAKINI KUNA MAENDELEO na hakuna rushwa, wiI wa fedha za umma.

Tanzania inaongozwa na huyu mvimba macho mke wa tatu wa mvuvi. Huyu mwanamke hajui chochote. Na si ajabu hata haelewi kwann yuko hapo.
 
Baada ya kugundua hilo mkaamua muende kuchukua nchi kwa maandamano.😀
 
Walau Rwanda hakuna demokrasia LAKINI KUNA MAENDELEO na hakuna rushwa, wiI wa fedha za umma.

Tanzania inaongozwa na huyu mvimba macho mke wa tatu wa mvuvi. Huyu mwanamke hajui chochote. Na si ajabu hata haelewi kwann yuko hapo.
Rwanda, Kenya na sasa Uganda ndo mataifa yanayoongozwa kwa akili.

Tanzania inaongozwa kwa uchawa na ujinga ndo mana saivi inazidi kurudi nyuma kila siku.
 
Walau Rwanda hakuna demokrasia LAKINI KUNA MAENDELEO na hakuna rushwa, wiI wa fedha za umma.

Tanzania inaongozwa na huyu mvimba macho mke wa tatu wa mvuvi. Huyu mwanamke hajui chochote. Na si ajabu hata haelewi kwann yuko hapo.
Hivi ninyi ni Rwanda gani mnaiyoiongelea kila siku humu? Rwanda ambayo imezidiwa na Tanzania military budgeti mara TANO zaidi . Kwahesabu rahisi budgeti ya ulinzi wa Tz ni sawa na kuhudumia kijeshi nchi mfano wa Rwanda zipatazo tano.
Tumewazidi budgeti yetu mara 5 au 6 zaidi kwa maana hiyo trilioni 56 ( tz) unaweza kuigawanya mara 5 ili kupata bajeti ya Rwanda
Wanyarwanda tumewazidi kila kitu Hadi uganga na uchawi tumewazidi.
Nb. Kumekuwa na kiwango kikubwa sana Cha propaganda Cha kuipaisha Rwanda na kuififisha nchi yetu, kiuchumi, kijeshi, kisasa na kiteknolojia. Labda niwakumbushe tu kwamba wa kutetea nchi hii dhidi ya propaganda za Bahima tupo na hatutaacha
 
Picha ya kwanza ( Sisi)
Vitambi vya maana- Hii
ni ishara ya mtu asiyejali mwili wake na kuendekeza kula na kulala.

NI ishara ya mtu mvivu ambaye haumizi kichwa chake kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayomkabili ila anayeendekeza njaa na shibe ya tumbo tu.
View attachment 3515795

Picha ya pili (Wao)
Miili nadhifu isiyo na vitambi.
Hii ni ishara ya watu wanaojali mazoezi na afya zao. Wenye utimamu wa miili na akili ambao muda wote wanaumiza kichwa namna ya ku survive kwenye dunia ngumu
View attachment 3515796

Usijiulize tena kwa nini sisi tulishushiwa kipigo cha mbwa mwizi hadi tukakimbia Goma?
hao askari wa Rwanda?mbona hawana matumbo wanaumwa au?
 
Hivi ninyi ni Rwanda gani mnaiyoiongelea kila siku humu? Rwanda ambayo imezidiwa na Tanzania military budgeti mara TANO zaidi . Kwahesabu rahisi budgeti ya ulinzi wa Tz ni sawa na kuhudumia kijeshi nchi mfano wa Rwanda zipatazo tano.
Tumewazidi budgeti yetu mara 5 au 6 zaidi kwa maana hiyo trilioni 56 ( tz) unaweza kuigawanya mara 5 ili kupata bajeti ya Rwanda
Wanyarwanda tumewazidi kila kitu Hadi uganga na uchawi tumewazidi.
Nb. Kumekuwa na kiwango kikubwa sana Cha propaganda Cha kuipaisha Rwanda na kuififisha nchi yetu, kiuchumi, kijeshi, kisasa na kiteknolojia. Labda niwakumbushe tu kwamba wa kutetea nchi hii dhidi ya propaganda za Bahima tupo na hatutaacha
Tofauti ya Bajeti ya Rwanda na Tanzania ni kwamba Tanzania tunaweka bajeti kubwa inayoenda kuishia kwenye matumbo ya wachache hasa familia za viongozi na washirika wao kam Angela kizigha wakati Rwanda bajeti yao wanaipeleka moja kwa moja kwenye mafunzo, kujenga weredi kwa askari wao, kuwapa vifaa vya kisasa na kuimarisha utendaji wa Taasisi zao za ulinzi.
 
Gen Z wa Bongo ni vilaza sana. Eti Leo kutwa kuisifia Rwanda nchi ambayo h apo demokrasia ya kimagharibi ni sumu kubwa. Hapo wapinzani huuawa ovyo kisa tu wao ni wapinzani wa mifumo ya kidikteta ya Slimboy. Kilichopo kule na huko kwenu ni yaleyale tu!
Mauaji,
Hakuna uhuru wa kelele,
Hakuna uhuru wa habari,
Wote hutakiwa kufikiri kama Slim boy. Ukibisha yanakupata ya Mwanawasa na Rwigara Diana.
Mkitaka demokrasia na uchumi Bado Rwanda si nchi ya mfano.
At least hawauzi nchi yao kwa Waarabu
 
Hivi ninyi ni Rwanda gani mnaiyoiongelea kila siku humu? Rwanda ambayo imezidiwa na Tanzania military budgeti mara TANO zaidi . Kwahesabu rahisi budgeti ya ulinzi wa Tz ni sawa na kuhudumia kijeshi nchi mfano wa Rwanda zipatazo tano.
Tumewazidi budgeti yetu mara 5 au 6 zaidi kwa maana hiyo trilioni 56 ( tz) unaweza kuigawanya mara 5 ili kupata bajeti ya Rwanda
Wanyarwanda tumewazidi kila kitu Hadi uganga na uchawi tumewazidi.
Nb. Kumekuwa na kiwango kikubwa sana Cha propaganda Cha kuipaisha Rwanda na kuififisha nchi yetu, kiuchumi, kijeshi, kisasa na kiteknolojia. Labda niwakumbushe tu kwamba wa kutetea nchi hii dhidi ya propaganda za Bahima tupo na hatutaacha
Kama tumeizidi Rwanda mara 5 kibajeti halafu tunajisifia, basi kuna shida mahali. Rwanda imezidiwa na Tanzania:-
(a) kieneo Rwanda imezidiwa mara 36 na Tanzania. Tanzania Ina sq. metre (947,303) wakati Rwanda Ina sq metre (26,338). Kwahiyo bajeti yetu kwa mujibu wa eneo ilipaswa kuwa kubwa mara 36.
(b) kwa wingi wa watu, Tanzania mpk sasa inakadiriwa kuwa na watu 68.5M, wakati ambapo Rwanda Inakadiriwa kuwa na watu 14M. Rwanda imezidiwa na Tanzania mara 5 kwa idadi ya watu. Hivyo kwa mujibu wa idadi ya watu, Tanzania kuizidi Rwanda mara 5 kwa bajeti, siyo ajabu.

Ukiweka vigezo vyote 2 pamoja bajeti ya Tanzania ilipaswa kuwa walau mara 20 ya ile ya Rwanda.
 
Hao tumewazidi kila kitu Hadi dhambi Anyway Rwanda Bado haijafika na haitafika kuwa nchi kipimo Cha maendeleo ya Tanzania . Bado wapo nyuma sana kwa kila kitu.
Si uchumi,
Si demokrasia,
Si Jeshi,
Si Teknolojia
Si rasilimali,
Si miundombinu
Si kwa kipato Cha mmojammoja licha ya uchache wao!
Hao wanakuja kwa mbali sana , nyuma nyuma sana na sisi kama taifa na raia wa kawaida hofu yetu ni kitisho kipya Cha usalama wanachokipose kwetu. Baasi
 
Tofauti ya Bajeti ya Rwanda na Tanzania ni kwamba Tanzania tunaweka bajeti kubwa inayoenda kuishia kwenye matumbo ya wachache hasa familia za viongozi na washirika wao kam Angela kizigha wakati Rwanda bajeti yao wanaipeleka moja kwa moja kwenye mafunzo, kujenga weredi kwa askari wao, kuwapa vifaa vya kisasa na kuimarisha utendaji wa Taasisi zao za ulinzi.
Sawa boss
 
Wewe dogo ulichochea vijana waandamane wakatoka wakauliwa Kama wewe usiyejitambua unakaa ktk keyboard unaandika ujinga
KAKA NILIKUA NAKUONA MTU WA MAANA SANA KWA MICHANGO YAKO YA KUDUMISHA AMANI NA KUMUUNGA MKONO MTUKUFU WETU RAISI SAMIA, LAKINI SASA MBONA UNAMTUKANA TENA MTUKUFU WETU SAMIA RAISI WA JAMUHURI? KWAMBA HUYO DOGO ANA NGUVU YA KUSIKILIZWA NA RAIA KULIKO RAISI, MAANA RAISI NA VYOMBO VYAKE WALISEMA WATU WASIANDAME LAKINI WAKAANDAMANA, KWAHIYO WATU WANAMSIKILIZA HUYO DOGO KULIKO MTUKUFU?

ACHA KUMDHALILISHA TAJIRI KAKA
 
Back
Top Bottom