redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 6,454
- 14,177
Nazani una upungufu mkubwa wa ulewa wa namna majirani wanavyo endesha Siasa zao.Kwa hiyo kazi yao ni kutuliza maandamano ya kudai haki na mifumo imara itakayolufanya Taifa letu kuwa bora na maendeleo ya uhakika?
Una ukilaza mwingi kuijua Rwanda na namna inavyo washughulikia wakosoaji wa serikali ya Rwanda.
Rwanda Iko mbali sana katika ku minya haki za watu hasa wanao ikosoa serikali, inabidi ukae na kujifunza ndio utaelewa.
Wapuuzi kama nyie mnao hamasisha machafuko, ingekua ni Serikali ya Rwanda wote mngepotea kimyakimya.
Rwanda inawamaliza wakosoaji wa serikali Yao ata walio nje ya Africa.
Nyie wapuuzi wenzenu wengi wapo apo Kenya na Serikali ya Tanzania inataarifa zao zote kwa kila wanalo Fanya lakini hawaja amua kuwachukulia hatua Mbaya.
Rwanda imewa fyekelea mbali wote wenye mdomo walio ndani ya Rwanda na Nje ya Rwanda.
Uganda wameenda ku mkamata Kiiza Besigye ndani ya ardhi ya Kenya na kwasasa Yupo kwenye Mahabusu za kijeshi uko Uganda.
Nyie mnachonga ngenga Tena kwa matusi na kutamba lakini serikali ya TZ inawachukulia poa tu.
.
Msi ilazimishe serikali iende kutumia maguvu yake yote, mtaumia vibaya sana.