Picha mbili zinaelezea kwanini kwa sasa wao ni bora kuliko sisi

Picha mbili zinaelezea kwanini kwa sasa wao ni bora kuliko sisi

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Picha ya kwanza ( Sisi)
Vitambi vya maana- Hii
ni ishara ya mtu asiyejali mwili wake na kuendekeza kula na kulala.

NI ishara ya mtu mvivu ambaye haumizi kichwa chake kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayomkabili ila anayeendekeza njaa na shibe ya tumbo tu.
20251215_130427.jpg

Picha ya pili (Wao)
Miili nadhifu isiyo na vitambi.
Hii ni ishara ya watu wanaojali mazoezi na afya zao. Wenye utimamu wa miili na akili ambao muda wote wanaumiza kichwa namna ya ku survive kwenye dunia ngumu
20251215_103342.jpg

Usijiulize tena kwa nini sisi tulishushiwa kipigo cha mbwa mwizi hadi tukakimbia Goma?
 
Gen Z wa Bongo ni vilaza sana. Eti Leo kutwa kuisifia Rwanda nchi ambayo h apo demokrasia ya kimagharibi ni sumu kubwa. Hapo wapinzani huuawa ovyo kisa tu wao ni wapinzani wa mifumo ya kidikteta ya Slimboy. Kilichopo kule na huko kwenu ni yaleyale tu!
Mauaji,
Hakuna uhuru wa kelele,
Hakuna uhuru wa habari,
Wote hutakiwa kufikiri kama Slim boy. Ukibisha yanakupata ya Mwanawasa na Rwigara Diana.
Mkitaka demokrasia na uchumi Bado Rwanda si nchi ya mfano.
 
Mimi natoka katika project tofauti na unayotoka wewe

Siwezi kukubali ucheze na Maisha ya vijana tena
Nani kachezea maisha ya nani?

Nani yupo kwenye project?

Kumbe mnapeana project?

Si muanzishe project ya kufanya desalination kutupatia wananchi wa Dar maji safi kutoka Baharini tu?
 
Picha ya kwanza ( Sisi)
Vitambi vya maana- Hii
ni ishara ya mtu asiyejali mwili wake na kuendekeza kula na kulala.

NI ishara ya mtu mvivu ambaye haumizi kichwa chake kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayomkabili ila anayeendekeza njaa na shibe ya tumbo tu.
View attachment 3515795

Picha ya pili (Wao)
Miili nadhifu isiyo na vitambi.
Hii ni ishara ya watu wanaojali mazoezi na afya zao. Wenye utimamu wa miili na akili ambao muda wote wanaumiza kichwa namna ya ku survive kwenye dunia ngumu
View attachment 3515796

Usijiulize tena kwa nini sisi tulishushiwa kipigo cha mbwa mwizi hadi tukakimbia Goma?
Hitler Kwa mara ya Kwanza alimuona mwanajeshi Mwenye kitambi...USA walipofika Berlin....hakupata hata muda wa kushangaa .🤣🤣 Hao wenye vitambi ndo walikutulizia nchi Oct. 29.
 
Hitler Kwa mara ya Kwanza alimuona mwanajeshi Mwenye kitambi...USA walipofika Berlin....hakupata hata muda wa kushangaa .🤣🤣 Hao wenye vitambi ndo walikutulizia nchi Oct. 29.
Kwa hiyo kazi yao ni kutuliza maandamano ya kudai haki na mifumo imara itakayolufanya Taifa letu kuwa bora na maendeleo ya uhakika?
 
Mnaongea mambo ya kitoto Sana hapa JF .

Ndo maana Mimi huiwaita NYUMBU Mnaamini kila ujinga .
Kuna utoto zaidi ya hiki ulichofanya cha kufungua ID zaidi ya 100, kila ID una act tofauti. Mara unataka ajira ya ualimu, Mara dalali, mara mfanyabiashara mkubwa, mara therapist n.k

Kwenye siasa, angalia unachoandika hapa kwenye hii haya land alafu linganisha na unachoandikaga kwenye hii friedman , ndio utaelewa una matatizo kiasi gani
 
😁😁😁 sawa nina I'd 500
 
Back
Top Bottom