Picha mbalimbali ndani ya club kampala,uganda mabebs wa ukweli,si za kukosa

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
1450_281014608688527_136814008_n.jpg 15766_281014485355206_85323902_n.jpg 15905_281012155355439_1379880982_n.jpg 24446_281013802021941_1022289231_n.jpg 29568_281013925355262_967070897_n.jpg 64582_281016672021654_243244588_n.jpg 64943_281014292021892_617596699_n.jpg 64985_281014088688579_1546007395_n.jpg 68905_281012708688717_1756752762_n.jpg . 73661_281016032021718_821262945_n.jpg 150947_281013938688594_1267327498_n.jpg 156437_281013002022021_258138630_n.jpg

163311_281016645354990_795510894_n.jpg 229839_281012118688776_1802035602_n.jpg 248182_281014598688528_325953570_n.jpg 249869_281016258688362_884313793_n.jpg 295204_281013038688684_1945257649_n.jpg 305535_281013942021927_1816867329_n.jpg 375367_281017465354908_434029758_n.jpg 305640_281015182021803_411745030_n.jpg 307674_281018145354840_790108916_n.jpg 397721_281011965355458_1130870319_n.jpg 423288_281011978688790_1507383913_n.jpg 423359_281015688688419_1613924621_n.jpg 73643_281015405355114_1182342462_n.jpg

niko kwenye mchakato wa kuandaa tour ya wanajf kwenda kampala kutembea
 
umewapima mkuu,au unapima kwa macho
Mkuu sina hamu na wadada wa kiganda, nina washkaji zangu walikuwa wanajisifia wamepata mademu wa kiganda na wanajua mchezo kinoma, matokeo yake wameambulia HIV.
Kwa hiyo nikitazama jinsi walivyojiweka-weka kwenye hizo picha naona HIV.
 
kama siku hizi wanapima kwa macho,uko sahihi,wadada wa tz hawana? kupima kwa macho ndugu yangu akufai,solution ni mnaenda kupima angaza etc sababu ata tz wapo wenye ngoma,hivo uwe unapima si kwa macho,ngoma ipo kila sehemu
 
Hamna hata mmoja wa kuvutia! Viuno hawana kabisaaa, mapaja yamechokaaa!!! Aaah na ww!!!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kama siku hizi wanapima kwa macho,uko sahihi,wadada wa tz hawana? kupima kwa macho ndugu yangu akufai,solution ni mnaenda kupima angaza etc sababu ata tz wapo wenye ngoma,hivo uwe unapima si kwa macho,ngoma ipo kila sehemu
Ndugu yangu kwa hao uliowaweka kwenye hizo picha, sina hata haja ya kuwapima, kama hawana HIV leo basi kesho watapata for sure.
 
Ndugu yangu kwa hao uliowaweka kwenye hizo picha, sina hata haja ya kuwapima, kama hawana HIV leo basi kesho watapata for sure.

usipime kwa kuona kwa macho mkuu,hio ni mbaya,umzaniae kumbe siyo,na usiomzania ndiye,chukua hatua tafakari,mimi simuamin mtu awe mlokole,awe kanisan,awe msikitin,awe club
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana sax pub kansanga kabalagala enzi hizo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom