Picha mbalimbali ndani ya club kampala,uganda mabebs wa ukweli,si za kukosa

Mkuu umenikumbusha mbali sana sax pub kansanga kabalagala enzi hizo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

de poshi,capital,kabalagala du aibu pub kila kona, umemis mkuu,samak wa gaba beach,munyonyo,entebe beach,uwa napenda sana kutembea kule nikiwa east africa,lazima nitembee uko
 
Mkuu nakuongeza nguvu.
 
Attachments

  • skwart.jpg
    skwart.jpg
    43.9 KB · Views: 342
  • shbsex.jpg
    shbsex.jpg
    35.2 KB · Views: 363
  • PATSSUG.jpg
    PATSSUG.jpg
    45 KB · Views: 374
  • liansilk.jpg
    liansilk.jpg
    33.6 KB · Views: 322
  • kaba1.jpg
    kaba1.jpg
    25.5 KB · Views: 296
de poshi,capital,kabalagala du aibu pub kila kona, umemis mkuu,samak wa gaba beach,munyonyo,entebe beach,uwa napenda sana kutembea kule nikiwa east africa,lazima nitembee uko

Zile beach za entebbe sasa. Kale ka upepo na ukipata Nile beer baridiiii pembeni na mtoto wa kinyankole. Wacha kabisa those wea the days! Kweli siku zinaenda kasi sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Zile beach za entebbe sasa. Kale ka upepo na ukipata Nile beer baridiiii pembeni na mtoto wa kinyankole. Wacha kabisa those wea the days! Kweli siku zinaenda kasi sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

bila kusahau kitimoto pande za bunga na zanzi uko ntinda,entebe beach za kumwaga,ukipanda bus ukitaka kushuka unasema ssebo mmaso hao,club na pub za kampala kila siku zinajaza kuanzia jumatatu adi jumatatu
 
Ntinda bugolobi wandegeya siko zilikuwa night spots zangu. Hawasemi Ssebo mmaso hao wanasema 'Ssebo MASAWO ku stage'.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ntinda bugolobi wandegeya siko zilikuwa night spots zangu. Hawasemi Ssebo mmaso hao wanasema 'Ssebo MASAWO ku stage'.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

wandegeya mitaa hio iko bize kwa saa 24 na kabalagala,mchana watu si wengi usiku watu kibao adi asubuh watu wanatembea ukosi chakula,biashara masaa 24,kuna wine yao inaitwa V and A ni poa sana
 
Wandegeya kuna sifa 1 tu. Wale kikoko (chikoko) au kuku nomaaaa ukipiga na rolex kikomandoo ile ya yai 3 basiiii siku imepita

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wandegeya kuna sifa 1 tu. Wale kikoko (chikoko) au kuku nomaaaa ukipiga na rolex kikomandoo ile ya yai 3 basiiii siku imepita

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

na ata kabalagala wapo,mi nikiwa ug uwa napenda kula chicken tonight,na sehemu nyingine,uzuri wa ug kuna watoto toka kila sehemu ya africa,kenya,tz,eritrea,ethiopia,congo,somali,rwanda,burundi na kule unaweza ishi ata kama mgeni usiulizwe habari za passport na ukapiga deal zako poa tu na ukanunua nyumba,ili mradi usiwe kwenye siasa mambo za upinzani,tofaut na tanzania uhamiaji wakishika raia siyo wanawaweka ndani na kuwarudisha,kampala mgeni yoyote unaish na kupiga bznes ata kama hauna makaratas
 
Kweli kabisa mkuu. Mida hii pale lugogo mishemishe kibao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kweli kabisa mkuu. Mida hii pale lugogo mishemishe kibao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

siku hiz mall zimeongezeka,uzuri wa kampala gari ni cheap sana kununua tofaut na tz,ndio maana ni kawaida kukuta mtu amepanga chumba kimoja na ana gari kali,pia wayaye ukiwa mitaa ya shopping town wakiona mgeni mtz etc wanakupandishia bei,lazima ulalame upunguziwe,kitu utakachonunua 35,000 wanaanza na 150,000
 
Back
Top Bottom