Picha mbali mbali za wakristo duniani kote wakisheherekea Krismasi

Nasadiki Kwa Bwana Mmoja Yesu Kristo, Mwana wa Pekee Wa Mungu, Aliyezaliwa Kwa Baba Tangu Milele Yote.
Mungu Aliyetoka Kwa Mungu, Mwanga Kwa Mwanga, Mungu Kweli Kwa Mungu Kweli. Aliyezaliwa bila kuumbwa, Mwenye Umungu Mmoja Na Baba, Ambaye Vitu vyote vimeumbwa naye.
 
Amen
 
Tumsifu Yesu Kristu ndugu Mkatekumeni. 🙏
 
Si uimalizie tu Mzee?
 
Hivi ni kwa nini huko wanajifunika vichwa kama Waislaam lakini wa huku vichwa wazi wanashidana kuonesha mitindo ya nywele ?

Tofauti ya huko na huku ni ipi?
Ni utamaduni wa jamii zao. Kama mmasai anavyovaa shuka lake church kwahiyo wa ireland hawezi fuata takwa la kimasai hata kama ukristo ungekuwa ni asili ya umasaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…