Picha: Mavuno ya CHADEMA siku ya Pasaka

Picha: Mavuno ya CHADEMA siku ya Pasaka

Nawe pia ni msakatonge tu! Kuna nini cha maana hapo kwenye Picha!

Ulitaka tukuone ukiwa umekaa kwenye helkopta?
 
80%wamekuja kushangaa chopa.. 10%below 18 years, 5%hawatopiga KURA kwa sababu mbali mbali..
 
Piga kazi Mawazo achana na vijana wanaopiga siasa facebook wakirubuni watu kwa takwimu zilizofanywa na serikali makujifanya zao
 
Kwako MWINJILISTI MAWAZO......
Nimetumia neno hilo kukuonya, si vyema sana katika zama hizi za KUTOFUNGAMANA NA DINI yeyote kujitokeza vionyeshi vya dini, SISI tutapata pa kusemea.
1. Chadema ni mpango wa mungu
2. Tulianza na mungu tutamaliza na mungu
3. Kuchapa neno (hii imejitokeza ktk uzi huu tu, si lugha endelevu)
4. % kubwa ya watu wa dini tofauti kukumbwa na madhila

CUF nao wapo wanapotelezaga,
1. Hotuba ya Prof. Msikitini ( hii ukiisikiliza hakika inachafua hali ya hewa)
2. wanaharakati wengi wa dini wanajitanabaisha wazi - hivyo wanajihusisha pasi na shaka
3. Mminong'ono kuwa atakayepiga kura tofauti ni KAFIR (lugha ambayo inaashiria upande fulani wa dini)
 
Back
Top Bottom