Picha: Mavuno ya CHADEMA siku ya Pasaka

Picha: Mavuno ya CHADEMA siku ya Pasaka

Mawazo weka namba hapa ya uchangiaji tukutumie japo maji ya kunywa upunguze jasho...
 
Pamoja sana kamanda na hongera.

I hope unakumbuka kutembea na kugawa kadi za kutosha.

Bila shaka mnawaacha chini ya uongozi na mfumo imara na salama wa kuwalea na kuwatunza, mamba asije akawatafuna.

Ahsante sana. All the best.


Wakati wenzetu wakijichana na kustarehe,sisi tuliibadilisha pasaka kuwa siku ya kuwatetea wanyonge wa taifa hili kwa kuchapa neno jimbo la Mbogwe(OPERATION TIGI TIGI) with no apology
 
Inapendeza sana,Mungu awatangulie na kuwafanyia uwepesi katika yote mpitiayo.
 
wana kalenga huku iringa wapo na wewe kamanda mawazo,tunakukubali sana chakaza hayo magamba mda wao umeisha
 
Hongera sana Mawazo endelea na kazi .Wauuzi hawa hawatakubali hadi waone maumivu and that will be too late for them . Kaza buti bro
 
Mbona kombati ya huyo 'Kamanda' ina bendera ya Ujerumani, kulikoni?
 
there is az great difference between mobilizing and organizing? mr. Mawazo, you better vice by now proper strategies on organizing as well so as to get expected results.
 
Lizbon na laki si pesa mnajitahidi kupambana kweli but always mafuta yanajitenga na maji, out òf 100 members wanaochangia hapa ni 0.2% naopingana na ukweli, the number is negligible. This is the real reflection of the coming election.
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom