MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Kadanganye wanywa viroba wenzio.Huyo alieaa kwenye helcopter ni Samson RUBANI wa ATC

Wakati wenzetu wakijichana na kustarehe,sisi tuliibadilisha pasaka kuwa siku ya kuwatetea wanyonge wa taifa hili kwa kuchapa neno jimbo la Mbogwe(OPERATION TIGI TIGI) with no apology
![]()

wewe ni wa kuhurumiwa sana !Naomba kujuzwa hiyo operation tigo tigo. Ni kwa ajili ya watoto au ? Maana hapo ukitoa watu wazima wachache mkusanyiko umejaa watoto tupu. Au umri wa kupiga kura umepunguzwa?
Mawazo ni kamanda wa ukweli sana , yuko mstari wa mbele sana , amesambaratisha kabisa magamba geita !Ukimaliza maeneo ya kanda ya ziwa ratiba au mipango ikiruhusu tunakuhitaji huku mikoa ya Pwani, Dar, Tanga na Morogoro ..... hongera sana Kamanda tupo Pamoja
wewe ni wa kuhurumiwa sana !
Picha zote watoto wamejaa wanashangaa Chopa
Mbona kombati ya huyo 'Kamanda' ina bendera ya Ujerumani, kulikoni?
Wakati wenzetu wakijichana na kustarehe,sisi tuliibadilisha pasaka kuwa siku ya kuwatetea wanyonge wa taifa hili kwa kuchapa neno jimbo la Mbogwe(OPERATION TIGI TIGI) with no apology
![]()
![]()
Kadanganye wanywa viroba wenzio.
Mbona watoto kibao au CHADEMA ni NGO ya kutetea haki za watoto siku hizi
Mawazo ameivuruga Chadema Geita, Sasa hivi wanachadema wote wamepanga kuhamia ACT Wazalendo