Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

Tafuta maana yake utuletee hapa..vinginevyo usipende kutumia neno usilolijua maana yake...

Ungekuwa mweledi, ungelinganisha mapokezi ya Dr.Slaa Kigoma na Mapokezi ya Zitto Kigoma.
Dr.Slaa alipokelewa kwa Mawe,fujo za kila aina na Mabango yenye ujumbe wa chuki dhidi ya maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Zitto amepokelewa na maelfu ya watu, wake kwa waume, vijana kwa wazee wenye furaha ya kumkaribisha Mbunge wao nyumbani!
 
Huwezi kuwafananisha hao wavuta bangi waliokuja kumlaki muhuni mwenzao Lema, na hawa wananchi wazee, wakinamama, wakinababa, vijana na watoto walikuja kumpokea mbunge wao zitto.

Msalani kwa lugha ya kwetu maana yake ni CHOONI!

Nasikia kuna mahusiano kati ya majina ya mtu na matendo yake!Kutokana na mchango wako hapo juu sina shaka kabisa kuwa matendo na sura yako vinafanana na kinachotengenezwa CHOONI!
 
Wewe ni kiongozi wa Chadema. Je, lengo lako la kufananisha mapokeza ya wabunge hawa ambapo mmoja amepokewa kwenye JIJI la Arusha na mwingine amepokewa kwenye MJI wa Kigoma ni nini?

Kwanza angalia utofauti wa mazingira. Lema amepokewa kwenye barabara ya lami, Zitto yuko vumbini. Sasa tuambie lengo lako ni nini?
 
Huwezi kuwafananisha hao wavuta bangi waliokuja kumlaki muhuni mwenzao Lema, na hawa wananchi wazee, wakinamama, wakinababa, vijana na watoto walikuja kumpokea mbunge wao zitto.

walugaluga na ma-chalii wapi na wapi!
 
Hahahah, Kiongozi wa chadema!? pole sana mgombea uliyepigwa chini labda kisia tena....
 
CDM inabidi mjirekebishe kwakweli hivi kwanini kila linapotolewa swala lolote ndani ya chama lazima mtumie mbinu za compare and contrast the difference kama sio kwa CCM, basi viongozi wenu kwa viongozi wenu tabia za kidada dada.

No wonder asilimia kubwa ya washabiki wa CDM wakitoka humu kwenye siasa ndio walewale wanaotawala majukwaa yaliyoko the south of JF home page, tells what sort of men they are in books useless.
 
Msalani kwa lugha ya kwetu maana yake ni CHOONI!

Nasikia kuna mahusiano kati ya majina ya mtu na matendo yake!Kutokana na mchango wako hapo juu sina shaka kabisa kuwa matendo na sura yako vinafanana na kinachotengenezwa CHOONI!
Wazazi tunaaswa kutafakali kabla mwanao huja mpa jina mwanao...
 
hapo ukn sahihi mkuu?
 
Msalani kwa lugha ya kwetu maana yake ni CHOONI!

Nasikia kuna mahusiano kati ya majina ya mtu na matendo yake!Kutokana na mchango wako hapo juu sina shaka kabisa kuwa matendo na sura yako vinafanana na kinachotengenezwa CHOONI!
Hii nayo ni sera ya CHADEMA?
 
Haya rudi kwenye mada..unayaonaje mapokezi ya Zitto na aliyowahi kupata Godbless Lema...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…