Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

Hivi wewe ni mwanaumme au mwanamke hizi tabia mbona kama za le mutuz
 

Doctor Barubaru

Aa Al akh Kama ulikuwa kichwani mwangu but hawa bavicha wako hot headed washalishwa sumu na viongozi wao hata haki huwa hawaioni. Wao ni usaliti na unafiki ambao hakuna evidence zaidi ya hadithi za kale ati huyu kafanya hiki yule vile upuuzi mtupu.

Umeiona speech ya Zitto kuna data muhimu katoa sioni bavicha kutia mguu wao
 

Hivi wewe unadhani kuna mtu lawatuma watu eamchukie Zitto?ni tamaa zake zilizompelekra kukubali kuwa mtumwa wa maccm,kuwa kibaaka wa maccm,kuwa msaliti wa chama kinachopigania wanyonge.kuna haja gani ya kumchukia zitto? Watu hawapendi tabia yake ya undumila kuwili,usaliti nk.hivi kama wewe ni mkweli kutoka moyoni,na unazijua siasa za Tanzania,unawajua CCM,ni kitu gani maccm wanachompendea Zitto?ukiniambia ni mwanasiasa bora,anajenga hoja nk kwanini ccm watake aongoze chama mtu ambae ni bora ili baadae aifanye chadema kuwa na nguvu kiasi cha luitoa ccm madarakani?
Wanachama wengi wanamchukia zitto kqa usaliti wake.
 
watoto wa kuokoteza ndio matatizo yake hivi baba yako ni Nyerere??

Wewe unamjua Baba yako, je Mama yako leo akikwambia mimi ndiyo baba yako utabisha....usiropoke tu wamama ndiyo wanajua nani ni mtoto wa nani....
 
Sasa kama unaona anakufaa sana si umchukue akawemwenyekiti nyumbani kwenu...
 
Wewe unamjua Baba yako, je Mama yako leo akikwambia mimi ndiyo baba yako utabisha....usiropoke tu wamama ndiyo wanajua nani ni mtoto wa nani....

akili za kigongo gongo hizi...uko glass ya ngapi saa hizi??? maana Babu aliona viroba anaingia gharama kubwa sana kuwanunulia sasa ni mwendo wa Gongoo kwa kwenda mbele
 
akili za kigongo gongo hizi...uko glass ya ngapi saa hizi??? maana Babu aliona viroba anaingia gharama kubwa sana kuwanunulia sasa ni mwendo wa Gongoo kwa kwenda mbele

Niko glass ya tatu, vipi umeshajidunga sindano ngapi mpaka muda huu...
 
hahahahhahaha jf bwana! tusi murua kwa hilo gamba
Pro-Chadema sasa hivi mmeamua kujikita kwenye matusi na kupongezana kwa kutukana, alafu nyie ndiyo mpewe nchi? teh teh teh
 
Usaliti mmeuwona wa zitto tuu lakini usaliti wa Mbowe kula good time na kimada sio usaliti, au wafanya wao tuu akifanya Zitto inakua mwao?

Ulitaka uliwe wewe, acha kuingilia mambo binafsi mwachie Lilian Mbowe labda kama wewe ni lilian Mbowe...
 
Akili za kwa Mama Muuza utazijua tu...na Babu Padri kawaeza sana...Mamaa Muuzaa muongozee huyu Glass nyingine

Rudi kwenye mada vipi kina wenu jana kavuna aibu kubwa sana pesa aliyosambaza halafu watu ndiyo hao....
 
Rudi kwenye mada vipi kina wenu jana kavuna aibu kubwa sana pesa aliyosambaza halafu watu ndiyo hao....

Vp upatwe na nyingine tena...kamata maji arifff...bado jero halijaisha tu?? wapi mama muuzaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…