PICHA: Mapokezi ya Prof Lipumba; Afande sele atumbuiza

PICHA: Mapokezi ya Prof Lipumba; Afande sele atumbuiza

hivi kumbe hizi betri za national zinazoonekana kwenye mic bado zipo?
 
Idadi kubwa namnahii inaonyesha wananchi wanashida sana ya mabadiliko, ila tatizo hakuna chama chenye nia ya dhati katika kulifikia lengo hili, vyama vyote vimejaa ubinafsi, ukanda, majungu, unafiki wa kutenda wasiyoyaamini, n.k.

sijawah ona mtu alieongea point kama wewe, hakuna chama cha upinzani chenye nia ya dhati, wanaangusha wananch tu.
 
CUF wameteka ujio wa prof. Na kuufanya wa kichama na kujaribu kupandikiza propaganda at the end wana JF wamesusia no any update.
My take wafuasi wa cuf hawajui kutumia mtandao kama mabwana yao ccm mpaka sasa ni watu 28 tu waliochangia
Viva makamanda wa cdm mliokua arusha jana Edson, Mgeni wenu, crashwire na crew wengine woote big up. Tunasubiria magamba kesho tuone update zao
 
....Duh kumbe japo CUF imelazwa ICU lakini bado wafuasi wake hawajapata chama mbadala cha kubeba matarajio yao?!!

....Hii ni ishara kuwa CDM bado ina kazi kubwa ya kuunganisha umma wa Watanzania wanotaka mabadiliko ili iweze kuchukua serikali,otherwise tutegemee CCM kuendelea kutawala 2015..
 
lipumba analiteka jiji la Dsm ivi sasa live star tv watu ni wengi kweli,magari,pikpk baiskeli,bajaj na kila aina ya kituko
 
msafara ndio unaondoka Airpot kuelekea barabarani kwa ajili ya maandamano
 
afande bana mwaka jana alikuwa kwenye msafara wa kumsindikiza amos makala wa ccm kwenda kuchukua form ya ubunnge na kwenye yale matangazo ccm ya "mimi nimechangia wewe je?" alikuwepo leo namuona amevaa jezi ya kafu
 
msafara umeingia nyerere road sasa,kesho lipumba anaongea na waandishi wa habari
 
Nacheki hapa Star Tv Live, kwa kweli haijapata kutokea! Lakini tuliambiwa hapa JF CUF rip? Nini kimetokea?
 
lipumba alikuwa mwenyekiti wa jopo la wataalam 16 wa umoja wa mataifa waliokaa kuandaa mpango wa kunusuru uchumi wa dunia
 
seif shariff hamad yupo,makam mwenyekiti machano hamis na julius mtatiro na viongozi wengine wa kitaifa na ngazi zingine za chini
 
Aisee hamna hata pa kutema mate! Mtu nyomi muno! Wako wapi wale waliokuwa wanahubiri rip CUF?
 
watu wamejitokeza kutoka pande mbalimbali za nchi ikiwemo tanga,morogoro,pwani,dodoma,kilwa,arusha na moshi.dsm ni mwenyeji wao
 
kuna mafuso,canter,mabasi,pick up daladala,tax,watembea kwa miguu na kila aina ya kivutio
 
Back
Top Bottom