Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
wapo mawaziri toka serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar,wabunge wote wa bunge la jamhuri na baraza la wawakilishi
Mbona Arumeru mmechomoa? RIP CUFAisee hamna hata pa kutema mate! Mtu nyomi muno! Wako wapi wale waliokuwa wanahubiri rip CUF?
Aisee hamna hata pa kutema mate! Mtu nyomi muno! Wako wapi wale waliokuwa wanahubiri rip CUF?
Jussa:Tumeshindwa Uzini kwa sababu ya Ukristo.
Karibu nyumbani Profesa.
Idadi kubwa namnahii inaonyesha wananchi wanashida sana ya mabadiliko, ila tatizo hakuna chama chenye nia ya dhati katika kulifikia lengo hili, vyama vyote vimejaa ubinafsi, ukanda, majungu, unafiki wa kutenda wasiyoyaamini, n.k.
This a lesson to chadema, CDP and CCM fans
CUF will be there to stay..na itachukua nchi tumeanza zanzibar tunakuja bara kwa kasi
Cuf waache propaganda za kitoto, nimepita hapo airport mida ya saa 5 wala sijaona nyomi yoyote zaidi ya watu wachache tu waliojitokeza. Labda kama sasahivi ndio wamejaa uwanjani, na kama ndivyo basi waweke picha waache longolongo.
Ilishasemwa humu JF kuwa laana ya nchi hii ilikuja baada ya kufunga ubalozi wa Israel na kulaani kile kilichobarikiwa na kubariki kile kilicholaaniwa hivyo tukajiweka kundi moja pamoja na gaza, somalia, pakistan, afighanistan, kashmir, iran, ksa, bokoharam, alqaida, alshaabab, taliban, hamas, hizbollar nk nk nk. Hii laana itatula hadi tutakapo pata akili za kutubu, vinginevyo tutawasalimia akina iddi amini dadah na osama bin laden
Jussa:Tumeshindwa Uzini kwa sababu ya Ukristo
Karibu Profesa