PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

Mtakaokuwa eneo la tukio tafadhali mtujuze pia na makamanda wengine watakaokuwepo kutokea DSM...Pia mtuhabarishe kama Mtella Mwampamba...Panya Destroyer...Julliana Shonza & co kama watakuwepo.
 
Mwone huyu mchawi Ritz; mtumwa anavyowanga! Hapa kwetu viroba + ganja ni kawaida kutokana serikali yako unayokutumikisha inavyoruhusu kutumika!


Leo ni viroba tu na ganja.
 
Last edited by a moderator:
Magamba hayakula,kunywa wala kulala.Hongera kamanda Lema,hongera wana ARUSHA
 
Pamoja sana ila usije ukaondoka ili nitakapokuwa naweka picha uwe unazi update kwenye thread maana ngoma ya leo ni mpaka jioni...

naona wadau wa Arusha Christmas hii mtasherekea vizuri sana
 
mapokezi ya lema.jpg






























hii ni ya mdau mmoja yuko njia ya panda ya KIA
 
Tayari nshaanza kupata picha ya itakavyokuwa November 2015 tukielekea magogoni...
 
Leo ni viroba tu na ganja.

Inawachoma eeeh!! tuacheni na viroba vyetu na ganja kwani ndo mlivyotubakizia na kinana wenu, Tembo na twiga wote mmeuza, INAWACHOMAAAAA,kaka yako kakimbilia bilila
 
kina mama tupo sambamba na nyie.....hakika Lema ni mbunge wa Arusha mjini....hata hali ya hewa imekiri....
 
Back
Top Bottom