PICHA: Majambazi wakamatwa Kariakoo

PICHA: Majambazi wakamatwa Kariakoo

c58584bf-b725-4e2e-8f4d-8de37bc56340.jpg

12eed5b4-d74c-43a8-8b06-b8ee6807631e.jpg
7afde29f-cdb1-491b-9b64-c40fbd4542a6.jpg
3496e5cd-7960-40b2-a28d-8f801881e9ac.jpg
 
Unashangaa jambazi la kihindi. Hata ujambazi nao ni uwekazaji!
 
Huyo mdosi wa kkoo naye kaka jambazi kweli hali ni mbaya ,ila mbona hawamchapa kisawasawa?
 
Choma moto, kwan hakuna petroli hapo na viberiti, hakuna haja ya mahakimu kupoteza fedha ya walipakodi kuhukumu upuuz, wamekamatwa live tia kiberiti habar iishie hapo, hatuna muda wa kuremba sasaiv. Unakuta hao wameshaua watu wengi sana, lakin kwa vile tukio hilo hawakuua wanaweza achiwa, tia kiberiti.
 
Pengine ni Muhindi wa K/koo mmatumbi kama sisi, wapo wahindi ambao ni raia wa Tanzania tusubirini habari kamili kabla ya kumaliza maneno yote, na wapo hata waarabu wanaonekana rangi hizo kwa kuchanganya changanya damu.
 
Nilikuwa mitaa hiyo muda tukio linatokea. Ilikuwa mida ya SAA tano mtaa wa Swahili.

Walivamia nyumba moja hapo Na kuingia katika Ghorofa ya juu kabisa, wakamfunga Dada wa kazi mdomo. Walichokuwa wanatafuta katika nyumba hiyo hakijukikani. Yule Dada alifanikiwa kutoka kwa kuruka dirishani (tukio hilo ndio lilivuta watu wakidhani Ana ugonjwa wa akili au malaria imepanda kichwani).

Alifanikiwa kupitia zile nyaya nyaya sijui ni za umeme au simu na kushuka hadi ghorofa ya kwanza ambapo alidakwa Na waliokuwa hapo. Ndio akatoa nguo aliyofungwa mdomoni Na kupiga kelele kuwa kuna majambazi katika nyumba hiyo.

Nadhani alipotoka nao jamaa walitoka Na alipopiga kelele aliwaona wakiwa chini hapo ndio akasema ni hao. Jamaa wakashushiwa kipigo Na Askari walikuwa wameshafika tayari.

Nadhani walikuwa ni wezi tu wa kawaida maana hawakuwa Na silaha yoyote.
 
Back
Top Bottom