moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,287
Dear upo?Ajali kazini.....
Dear upo?Ajali kazini.....
Tatizo lako hupendekiNipo sana babay wangu kipenzi, umenitupa kabisa aisee[emoji33]
Njoo lkn uje ukiwa umevaa msuriJamani jamani, monicca umeamua kuniumiza? hebu twende chemba kwanza naona akaunti yako huenda imekuwa hacked, wewe huwezi kunitamkia maneno machungu namna hii...
mie naona hivyo, huyo mdosi alienda kumendea demu kakuta house girl wa shinyanga ikabidi jamaa wazidiwe nguvu demu karuka kihunzi nje, jambazi uruke ukuta majirani wakuokoe bado yupo tu anashangaa kweli?Hivi hayo maelezo yanatosheleza kwamba ni hao walimfunga? wezi siwataki ila tuwe na ushahidi kabla ya mob justice.
Utakwenda kwa demu(samahani kwa lugha) atakusingizia mwizi kumbe ulifuata vyako.
Angalia pia isije ikazimika mwezi juniNaona picha kwangu zimegoma kufunguka, sijui kwa nini
Eti raia wa Kihindi..!!Raia wa India?????????????????? au Mhindi mwenye asili ya Asia?