tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,532
- 1,484
hahahaaaaaaaaaaaaaaaa safi saanaWatu wanavyopenda umbeya
Kila mmoja amekomaa mbona picha hazifungukiiii
hahahaaaaaaaaaaaaaaaa safi saanaWatu wanavyopenda umbeya
Kila mmoja amekomaa mbona picha hazifungukiiii
Halafu watu wenye hasira walikuwa wanaogopa kumpa kipigo kisa sijui ngozi huyo muhindi. Alianza kupigwa baada ya kuwa wamemzimisha mbongo.nmeumia mbongo kupigwa sana
Shuhuda aliekuwa na huyo mhindi anasema huyo mhindi alipanda juu na watu wangine kutoa msaada kwa huyo dada, ila yeye alichelewa kushuka, akawa ameshuka muda alioshuka huyo kibaka hivyo na yeye akaunganishwa, vibaka wengine inadaiwa walifanikiwa kutoroka kwa njia za panyaHalafu watu wenye hasira walikuwa wanaogopa kumpa kipigo kisa sijui ngozi huyo muhindi. Alianza kupigwa baada ya kuwa wamemzimisha mbongo.
Okay kumbe kaingia katika mkasa kwa kutaka kutoa msaada. Pole yake. Inaonekana alikuwa anafahamika mitaa hiyo, maana watu walianza kusema yeye huenda ndio alishirikiana Na hao jamaa kwa kuwapa ramani.Nimeongea na mtu aliuekuwepo hapo, ameniambia huyo mhindi alipanda ghorofani kutoa msaada kwa huyo dada, wakati anashuka watu wakajua na yeye ni kibaka hivyo wakamshushia kibano
Mitaa hiyo nimepita ila nilikuwa na haraka sana naingia jf nakutana nayo! Demu aliruka juu akabembea kwenye ukuta kilicho msaidia ni nyaya za sim alizo kuwa amezikanyanga! Humo ndani kuna wahindi naskia wamefunga duka wapo mapumzikoni!Duuu kama siku yako ya kufa haijafika haufi aisee ,dada kajirusha ghorofani akadakwa na wasamaria,hakuna Nyaya za umeme zilizopita hapo ??
Huenda basi ataachiwa maana inaonekana alikuwa anafahamika maeneo hayo au naye alikuwa Na biashara hapoShuhuda aliekuwa na huyo mhindi anasema huyo mhindi alipanda juu na watu wangine kutoa msaada kwa huyo dada, ila yeye alichelewa kushuka, akawa ameshuka muda alioshuka huyo kibaka hivyo na yeye akaunganishwa, vibaka wengine inadaiwa walifanikiwa kutoroka kwa njia za panya
Unatutukana wazaramo sie sio wezi zetu ngomaWacha utani bwana huyu ni mzaramo wa kariakoo huyu hata india hakujui
Zilikuwa ni nyaya za simu.! Yule Dada ni jasiri kwelikweli.Duuu kama siku yako ya kufa haijafika haufi aisee ,dada kajirusha ghorofani akadakwa na wasamaria,hakuna Nyaya za umeme zilizopita hapo ??
Umenikumbusha mdundiko mkuuuUnatutukana wazaramo sie sio wezi zetu ngoma
ni kweli anafahamika, mbaya zaidi inadaiwa huwa Ana ufokozi udokoziOkay kumbe kaingia katika mkasa kwa kutaka kutoa msaada. Pole yake. Inaonekana alikuwa anafahamika mitaa hiyo, maana watu walianza kusema yeye huenda ndio alishirikiana Na hao jamaa kwa kuwapa ramani.
nduguze inasemekana wameshamtoaHuenda basi ataachiwa maana inaonekana alikuwa anafahamika maeneo hayo au naye alikuwa Na biashara hapo
Niko na imagine ingekuwa ni mwafrika kadakwa India nadhani tungekuwa hatunaye tena kimwili na kiroho.Huyo muhindi amekuja kuwekeza kwenye kazi hiyo nchini kwetu???
a k a vangaUmenikumbusha mdundiko mkuuu
Ndio maana kashushiwa kipigo kumbe.ni kweli anafahamika, mbaya zaidi inadaiwa huwa Ana ufokozi udokozi
Watu walikuwa Na hasira naye hasa alipoonekana kutaka kukimbia/kujificha.nduguze inasemekana wameshamtoa