ellybululla
Senior Member
- Jan 30, 2013
- 107
- 83
Watu walijua mhindi ni mdogo ake amitah bachan
Mi nikajua ni amrish puriWatu walijua mhindi ni mdogo ake amitah bachan
Nimemshuhudia karuka hapo akiwa Na kitambaa mdomoni. Alipofika chini Na waliomdaka kugundua kafungwa ndio kumfungua naye kwa hofu aliyokuwa nayo akasema ndani kuna majambazi. Lakini inaonekana ni vibaka tu, Na wakati akihangaika kujinasua kutoka hapo juu, walionekana wakitoka hapo kwa kupitia mlango wa nyuma. Huyo mmoja yeye alijichanganya Na watu lakini huyo Dada alimtambua Na ndio kuanza kushushiwa kipigo. Huyo mdosi alikuwa ni mwenyeji hapo yeye alituhumiwa kuwa huenda ndio aliwapa ramani hao vibaka (hawakuwa majambazi) kwa sababu Yule Dada alipokuwa anahangaika yeye Na wengine waliingia ndani ili watoe msaada kwa huyo Dada. Kwa hiyo alipotoka wakati wamemdaka huyo mbongo naye akawekwa MTU Kati. Bahati yake wadosi wenzake waliwahi kutoa taarifa polisi Na wakafika kabla hajapata madhara zaidi.Hivi hayo maelezo yanatosheleza kwamba ni hao walimfunga? wezi siwataki ila tuwe na ushahidi kabla ya mob justice.
Utakwenda kwa demu(samahani kwa lugha) atakusingizia mwizi kumbe ulifuata vyako.