Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
Huioni hiyo boxer pembeni hapo?mbona sizioni manati za hao majambazi?
Huioni hiyo boxer pembeni hapo?mbona sizioni manati za hao majambazi?
Lawama nyingi za kuchangia hiyo damu ziwaendee nyinyiPengine ni Muhindi wa K/koo mmatumbi kama sisi, wapo wahindi ambao ni raia wa Tanzania tusubirini habari kamili kabla ya kumaliza maneno yote, na wapo hata waarabu wanaonekana rangi hizo kwa kuchanganya changanya damu.
Wanatia hasiraMimi miss wewe[emoji7]
Soma post ya 46 utapata kwa ufupiilikuwaje kuwaje?
TumsifuMajambazi wakamatwa Kariakoo akiwemo raia wa India.
Tarifa zaidi zinakuja...![]()
![]()
![]()
Kumbe hawakuwa na silaha, basi ni vibaka tu haoNilikuwa mitaa hiyo muda tukio linatokea. Ilikuwa mida ya SAA tano mtaa wa Swahili.
Walivamia nyumba moja hapo Na kuingia katika Ghorofa ya juu kabisa, wakamfunga Dada wa kazi mdomo. Walichokuwa wanatafuta katika nyumba hiyo hakijukikani. Yule Dada alifanikiwa kutoka kwa kuruka dirishani (tukio hilo ndio lilivuta watu wakidhani Ana ugonjwa wa akili au malaria imepanda kichwani). Alifanikiwa kupitia zile nyaya nyaya sijui ni za umeme au simu na kushuka hadi ghorofa ya kwanza ambapo alidakwa Na waliokuwa hapo. Ndio akatoa nguo aliyofungwa mdomoni Na kupiga kelele kuwa kuna majambazi katika nyumba hiyo.
Nadhani alipotoka nao jamaa walitoka Na alipopiga kelele aliwaona wakiwa chini hapo ndio akasema ni hao. Jamaa wakashushiwa kipigo Na Askari walikuwa wameshafika tayari.
Nadhani walikuwa ni wezi tu wa kawaida maana hawakuwa Na silaha yoyote.
Nawe nae kwa kuzurula...mi nikajua upo ntwara... asante kwa taarifa dogo ila ungewauliza walikua wanatafuta nin kwenye hiyo nyumba hahahaaaNilikuwa mitaa hiyo muda tukio linatokea. Ilikuwa mida ya SAA tano mtaa wa Swahili.
Walivamia nyumba moja hapo Na kuingia katika Ghorofa ya juu kabisa, wakamfunga Dada wa kazi mdomo. Walichokuwa wanatafuta katika nyumba hiyo hakijukikani. Yule Dada alifanikiwa kutoka kwa kuruka dirishani (tukio hilo ndio lilivuta watu wakidhani Ana ugonjwa wa akili au malaria imepanda kichwani). Alifanikiwa kupitia zile nyaya nyaya sijui ni za umeme au simu na kushuka hadi ghorofa ya kwanza ambapo alidakwa Na waliokuwa hapo. Ndio akatoa nguo aliyofungwa mdomoni Na kupiga kelele kuwa kuna majambazi katika nyumba hiyo.
Nadhani alipotoka nao jamaa walitoka Na alipopiga kelele aliwaona wakiwa chini hapo ndio akasema ni hao. Jamaa wakashushiwa kipigo Na Askari walikuwa wameshafika tayari.
Nadhani walikuwa ni wezi tu wa kawaida maana hawakuwa Na silaha yoyote.
Mwekezaji nae kakamatwa.
Maana ukifuatilia TIC uyo utaambiwa ni mwekezaji au kule uhamiaji kibari chake utachoka.
Kazi ya kuisafisha Tz bado sana.
Hahahaah dogo nipo hapa kwa wiki hii. Inasemekana kutakuwa kulikuwa Na mzigo humo ndani walikuwa wanauvizia wakaukosa ila hii ni kwa mujibu wa majirani.Nawe nae kwa kuzurula...mi nikajua upo ntwara... asante kwa taarifa dogo ila ungewauliza walikua wanatafuta nin kwenye hiyo nyumba hahahaaa
Ndio hawakuwa Na silaha yoyote.Kumbe hawakuwa na silaha, basi ni vibaka tu hao