Nimeamini kuwa siku za ccm zinaelekea ukingoni. Mafarao yameanza kuanguka tangu Tunisia, Misri, Libya taabani. Siku yetu wanyonge inakuja tutapata haki yetu!
Nimelipenda bango moja "Eti maisha bora halafu mlo mmoja mpaka lini?". Nani Mkuu wa Polisi Mwanza? Hana muda mrefu kuanzia sasa atahamishwa na kupleekwa kufanya kazi chini ya yule wa Arusha sasa hivi. Anatakiwa akapate mafunzo muhimu ya kudhibiti maandamano kwanza! Kwanini hakusikiliza au kusoma zile habari za KIINTELIGENSIA? Kama hakuzielewa angemwita IGP aje kumtafsiria.
Watch your definitions They become thoughts Watch your thoughts They become words Watch your words They become actions Watch your actions They become your destiny
are you practising what you are preaching? if so hongera sana
HOTUBA MAALUM AU RISALA MAALUM KWA SHUGHULI ILIKUWA INASEMAJE? JIJI LENYEWE LIKO VIPI KWA SASA?
hizi picha zinamuhukumu jamaa aliyesema '' maandamano ya Chadema yatakosa watu Mwanz" sasa sijui hao walikuwa ni nani???????? pipoz powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Nadhani kamanda Siro anajitegemea sana kimaamuzi. Anashirikiana na watu vzr pia ndio maana juhudi zake ktk kupambana na ujambazi zinafanikiwa. Big up Siro
Kuna mtu kachangia humu kuwa Sirro hawatamchelewesha 'kumpeleka makao makuu' huku ikisemwa 'atapangiwa kazi maalumu, naunga mkono....mmesahau yule msomi ndani ya jeshi la Polisi..Dr..nani vile..aliyetegemewa kuwa IGP..matokeo yake kawekwa kuwa 'mkuu wa baa (messi) ya polisi Dar..just a thought!