PICHA: Maandamano ya CHADEMA Mwanza

Nimeipenda hiyo ya Njoo Qhadafi Kikwete nenda, Maana sasa wa tz wako tayari kuongozwa na Mgeni (Expart) kuliko na Mkwere
 
Nimeamini kuwa siku za ccm zinaelekea ukingoni. Mafarao yameanza kuanguka tangu Tunisia, Misri, Libya taabani. Siku yetu wanyonge inakuja tutapata haki yetu!
 
Nimelipenda bango moja "Eti maisha bora halafu mlo mmoja mpaka lini?". Nani Mkuu wa Polisi Mwanza? Hana muda mrefu kuanzia sasa atahamishwa na kupleekwa kufanya kazi chini ya yule wa Arusha sasa hivi. Anatakiwa akapate mafunzo muhimu ya kudhibiti maandamano kwanza! Kwanini hakusikiliza au kusoma zile habari za KIINTELIGENSIA? Kama hakuzielewa angemwita IGP aje kumtafsiria.
 
Watch your definitions
They become thoughts
Watch your thoughts
They become words
Watch your words
They become actions
Watch your actions
They become your destiny


are you practising what you are preaching? if so hongera sana

HOTUBA MAALUM AU RISALA MAALUM KWA SHUGHULI ILIKUWA INASEMAJE? JIJI LENYEWE LIKO VIPI KWA SASA?
 
Habari zilizoingia kutoka Magogoni ni kwamba kuna jamaa wameanza kuweweseka wanatafuta kwa kukimbilia.
 
Freedom is coming tommorow.huu wimbo wa wapiganaji wa Soweto umepigwa Mwanza leo mpaka nimetamani when our Phd slaa shall be in the office.
 
Heko cdm. Lazima muendelee na kashkash na kuhakikisha ccm haipumui mpaka kieleweke! Mwenyezi Mungu daima yupo upande wa wanyonge.
 
Mi nimeipenda zaidi hii "Ikulu chai bure BEI ya sukari utaijuaje mjombaa" amazing!!!!!
 
hizi picha zinamuhukumu jamaa aliyesema '' maandamano ya Chadema yatakosa watu Mwanz" sasa sijui hao walikuwa ni nani???????? pipoz powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Nadhani kamanda Siro anajitegemea sana kimaamuzi. Anashirikiana na watu vzr pia ndio maana juhudi zake ktk kupambana na ujambazi zinafanikiwa. Big up Siro

Kuna mtu kachangia humu kuwa Sirro hawatamchelewesha 'kumpeleka makao makuu' huku ikisemwa 'atapangiwa kazi maalumu, naunga mkono....mmesahau yule msomi ndani ya jeshi la Polisi..Dr..nani vile..aliyetegemewa kuwa IGP..matokeo yake kawekwa kuwa 'mkuu wa baa (messi) ya polisi Dar..just a thought!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom