PICHA: Maandamano ya CHADEMA Mwanza

PICHA: Maandamano ya CHADEMA Mwanza

Im thrilled.... kwa nini waliogopa Arusha? Sasa twende shinyanga, musomag. Mbeya, iringa, moshi, sumbawanga, kibaha, ruvuma na mwisho Dar.
 
Bravo chadema mwanza, u 've shown that what we dare to look and talk about..... Keep it up
 
Mmmh! Inatisha. Hivi wakubwa wanaona au wanajifanya kufumba macho. No wonder wamemuweka Anayo Makinda ili awe spidi gavana
 
First round around the country, in all regions please! Then finally the whole country on the appointed day! Big up!!
 
Maandamano ni kielelezo cha uzalendo,ujasiri,utaia,umoja na mshikamano.Chadema wamefaulu kuvijenga vyot hivyo kwa muda mfupi,good move
 
Mhhh, wameshakwisha tawanyika tayari waandamanaji?
 
Aksante kwa picha Mchonga, FFU sijawaona?
 
Nimeipenda hiyo iulu chai bure bei ya sukari utaijuaje mjomba???? watu wamechoka kwa kweli
 
na hwa wote hawajasombwa kwa malori kama ilivyokuwa kwenye kampeni za chama tawala, wanatola Newala kwenda Mtwara na kutoka Kirumba kwenda mabamba, au kutoka Monduli kwanda holili!
 
Asante sana Mchonga. Kumbe fujo haziletwi na wananchi wanaoandamana kama hawa. Ni polisi wa CCM ndilo tatizo! Wajifunze. :wink2:
 
Nimeipenda sana hii Kikwete nenda Libya na Gadafi njoo Tz, poa sana!
 
Kulikuwa na umuhimu gani kufungua thread/topic mbili zenye kuonyesha upupu mmoja?
 
Back
Top Bottom