Picha: Lowassa Kanisani Leo

Tabora alienda kuomba kura Kanisani na si kusali !

Dah najaribu kupata picha ila haiji.. unataka kusema RAIS wa awamu ya tano alianza kumwaga sera pale mbele na kuwaimbisha waumini peopleeeez... nao wakajibu powwwweeeeeerr..? duh hiyo picha siipati
VIVA UKAWA!!!!
 
Ama kweli desparate times calls for desparate measures! Jamaa amechanganyikiwa hadi anaomba kura kwa watoto wadogo..huyu akiendelea hivi huwezi kushangaa anaomba hadi wanyama wampigie kura ya ndiyo

Hivi unajua nguvu ya mtoto kwa Mzazi?
Kwa taarifa yako hao watoto wameongeza kura za EL kwani hicho kitu watawasimulia wazazi na jamaa zao ambao ni wapiga kura hivyo na kwa mzazi ambae mtoto wake yu katika hiyo Picha ataitunza hiyo Picha na itakua ni kumbukumbu tosha kwa kupiga Picha na Rais.

J'pili iliyopita nilikua kwenye mizunguko na mtoto wangu ambae alikua amevaa Kombati ya CDM kila tulipopita watu wengi walionyesha kumfurahia na alihamasisha watu wengi tu ambao walimuona hivyo kwa imani yangu ninajua mtoto wangu atachangia kuongeza kura za General Wenje na President Lowassa.
 
Yule aliyetelekeza familia yake hivi bado anaukumbuka mlango wa kanisa kweli? Sio anamjua Mungu wa "kura" na ndio maana aliita jina lake ovyoovyo tu?
 
Inzi atatengeneza asali !

''MAMBA NI MAMBA TU, GOGO HATA LIKAE MAJINI MIAKA MILIONI LITABAKI KUWA LEVO YA GAMBA''

huyo magufuri Hata uenyekiti Wa Mtaa Hatumpi!...Uraisi Wa Tanzania Ni Kwa LOWASSA!
 
Alienda tena kuomba kura kwa warutheli nini? huyo mzee asituletee udini hapa tanzania ni moja, na watanzania ni wamoja pia. udini, ukabila, ukanda kamwe tusiupe nafasi
Ndio dhehebu gani hilo mkuu???au kichwa chako hakipo sawasawa???
 
Mungu wetu anakaa nasi mioyoni.hii ya kuwasanifu watoto wa Sunday School ni show off na kuzalilisha Kanisa.Magufuli anaenda Ikulu bila ulaghai huu
 
Kumchinja Kobe kwataka timing.ameshaelekea kibla huyu ngoja tunoe kisu.
 
Alienda tena kuomba kura kwa warutheli nini? huyo mzee asituletee udini hapa tanzania ni moja, na watanzania ni wamoja pia. udini, ukabila, ukanda kamwe tusiupe nafasi

Think out of the box.
Kuna ubaya gani kuomba kura kanisani kwa washirika wenzio? Ulitaka aende akaombe kwa waganga wa kienyeji?
 

Kufa atakufa tu, kama wengine wanavyo kufa ! ajali yake, yako na yangu anazijua 'Mwendeshaji wa mambo'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…