Picha: Lowassa ahani msiba wa Peter Kisumo

Niwaulizie wapi na kwa nini niwaulize? Kwa fisadi Lowasa na Genge lake hakuna hayo mambo kila kitu ruksa hawa siyo binadamu wa kawaida!
Unafahamu ni kwanini watu huwa wanachoma wezi Moto? Kama ulikuwa haujawahi kuibiwa hautawaelewa na utawaona wanadhambi kubwa lkn siku wezi wakikuotea nyumbani kwako wakambaka Mke na Biti zako mbele yako na kusafisha kila kitu ulichokinunua kwa jasho naamini kabisa kesho ukikuta mwizi anachomwa moto utaongeza mafuta ya petroli!

Hivyo kwa hawa watu sheria na kanuni zote za kibinadamu hazitumiki tena hawa ni Mafisadi na wauwaji wakubwa!

SASA CHAMA CHAKO NA SERIKALI YAKO KWANINI WASIMPELEKE MAHAKAMANI ???? HAPA UNALALAMIKA KWA NANI??? KAMA USHAHIDI UNAO NENDA MAHAKAMANI SIO KULIALIA HUMU JF!!!
 
Unafikiri kushitaki Mafisadi ni rahisi kihivyo? Si unaona walivyomfanya Mch.Mtikila ambaye alikuwa anajiandaa kwenda Mahakami kuyashitaki? Lakini usijali siku zao hata hivyo zimeisha

Raisi wa V wa JMTZ Dr.Pombe Magufuli

atashughulikia!
 
Wanamuogopa au ana miiba hakamatiki au ana genge la mafia linalomlinda mpaka serikali na jeshi la polisi na jeshi lote limeshindwa kumkamata mpaka anafikia kwenda kugombea urais
Na je ina maana hao uliowataja wana nguvu zaidi ya serikali yako mpaka mshindwe kuwakamata mpaka mkawaundie mahakama maalumu
Kweli huyu jamaa hafai na serikali yako na chama chako kweli ni dhaifu mpaka watu wanne watano wameiweka mfukoni haifurukuti
Kweli wananchi nao ni malofa wanakubali huyu jamaa aendelee kutamba mtaani licha ya kusababisha shida zote hizi shule hazina madawati hospital hazina dawa, umeme wa mgao, barabara hakuna, wanakopw ampaka mazao yao nao wamenyamaza kimya na wanamuona jamaa anapita mtaani hana wasi wasi kwa nini wasimpopoe kwa mawe
Na jeshi hilo la police wanampa mpaka ulinzi wakati wanajua jamaa ni fisadi kwa nini fisadi analindwa aise na police na anapewa mpaka mlinzi binafsi na analipwa mpaka mafao yake ua uwaziri mkuu

Wewe usicheze na Mafisadi, kwanza Mafisadi siyo watu wajinga ni watu wajanja na wenye akili hivyo ni lazima pia utumie mbinu kudili nao angalia Italia kuna Mafisadi waitwao Mafia mpaka leo hii pmj na kuwepo kwa European Union lkn bado wanawashindwa kuwaondoa, huko Italia Mafisadi wanamiliki mpaka Maji ya kunywa na usipolipa wanakuwekea sumu, wana siasa wanapigwa risasi live barabarani na mafisadi na hii ni ndani ya Ulaya sasa sembuse TanZania?

Mafisadi walimshoot Raisi wa Marekani J.F Kennedy pamoja na ulinzi wake wote

Vita dhidi ya Mafisadi siyo rahisi kama unavyodhania!
 
Mkuu kweli umenyweshwa maji ya bebdera kiasi cha kusema red ni white na white ni red
Huyo Lowassa ndo anaiogopesha serikali nzima ishindwe kumkamata na kumfikisha kwenye vyombo vya sheria
Wala hatujafikia huko kwa akina Mafia na kwa JF Kennedy na wala hatujaweza hata kuvaa cviatu vya watu kama hao
Ingekuwa kweli hayo uyasemayo kuhusu mafisadi serikali yako tukufu ingekuwa ishamkamata huyu kiumbe siku nyingi sana na angekuwa sasa hivi ameshaungana na akina Mramba na Yona
Ila kwa hivi vitamthilia vyako na woga usio na mashiko Lowassa sio fisadi kabisa
 
Huyo fisadi Lowasa ni figa tu hata mwenyewe huwa anasema ana mtandao wa Mafisadi anaouwakilisha ambapo yeye huwaita Marafiki zake na hao jamaa ni Mafia wanamiliki njia zote Kiuchumi TanZania kuanzia bandari, Mawasiliano, Madini, Utalii, Usafirishaji mpaka Vitalu vya kuwindia wanyama, hivyo kuna sababu kwa nini CCM walimtosa!

Wewe jiulize tangu lini TanZania watu wakakosa heshima kwa Raisi wa JMTZ na Mwenyekiti wa Chama? Watu walikuwa wanaimba mbele ya Raisi kwamba wanamtaka fisadi Lowasa hiyo jeuri waliitoa wapi? Unajua kwamba Raisi wa JMTZ ana uwezo wa kusema tu na wote wanakamatwa?

Hivyo hawa jamaa ni Mafia na sasa kinachowatoa roho ni Gesi yetu, na hapa ndipo mchezo wote ulipo!
 
DUh mkuu umemeza desa lote na umekaririshwa maneno ya kusema
Hebu tuwekee ushahidi ambao ni timilifu na sio hizo porojo ambazo unaleta hapa
I thought tunaongea vitu vyenye vivid evidence na sio hizi bla blah za kwenye magazeti ya shigongo bana
Anamiliki bandari sijui vitalu vya gezi sijui vitalu vya uwindaji
Kwani kama anavyo hivyo vyote ina maana serikali nzima iko mfukoni mwake na anachofanya huyo mwenyekiti wako madarakani ni nini kama anaendeshwa kama remote
Unless uwe na vivid evidence hizi porojo za magazeti ya Sani sijui ijumaa sijui uwazi usiziongelee bana
Ongea kama fikra zako na ubongo wako unaufanya kufikiri na uwe tofauti na wale vijana wa kijiweni ambao wakiona tuu V* nzuri wanaanza kusema ni ya fisadi au freemason bila kujua mtu amesotaje kulipata
 
Last edited by a moderator:
Siasa za kinafiki mbaya sana kashindwa kwenda kumzika Mohamedi Mtoi wala kuhani unakwenda kuuza sura kwenye misiba ya watu maarufu.

Mbona Magufuli hakwenda kumzika waziri mwenzie (Celina Kombani) lakini anaonekana kwenda kwenye kaburi la sokoine.
 
Lowassa will never be the President of the United Republic of Tanzania. Why ? I don't know; may be because he is too hypocritical and selfish. Am I correct? I don't know! I have never been successful on political matters for over twenty years since my involvement in NCCR-Mageuzi and later in CHADEMA; that is why CCM is still in power!
 
Back
Top Bottom