Leo Mgombea Urais wa Jamhuri kupitia UKAWA katembelea Wilaya ya Mwanga. Viroja vyatawala.
1. Kashuka kwenye Chopper hapa Usangi. Kaenda kuweka shada la maua Kaburi la Mzee Kisumo. Kashindwa kufika kaburini. Karudi wanjani Kashindwa kupanda jukwaani. Kashindwa kupungia wananchi waliokuja kumsikiliza. Kaingizwa kwenye Chopper kaondoka.
2. Wananchi Kifula Ugweno wamngojea hakutokea
3.Wananchi wamngojea Mwanga mjini hakutokea.
Badala yake hasira zatawala wafuasi wa NCCR - MAGEUZI na CHADEMA watwangana makonde, wapotea njia wengi wakimbilia CCM .
Duniani kuna mambo.
Acha uongo wewe picha nnazo hapa hajavaa shati la kijani bana amevaa shati la blue...sema nashindwa tu kuzi-upload ningeziweka hapa
We mwache tu. Wenzake wawili waliomsema vibaya kwa ugonjwa wake wameshatangulia mbele ya haki. Mungu ni mwenye haki.
Leo Mgombea Urais wa Jamhuri kupitia UKAWA katembelea Wilaya ya Mwanga.
Viroja vyatawala.
1. Kashuka kwenye Chopper hapa Usangi. Kaenda kuweka shada la maua Kaburi la Mzee Kisumo. Kashindwa kufika kaburini. Karudi uwanjani Kashindwa kupanda jukwaani. Kashindwa kupungia wananchi waliokuja kumsikiliza. Kaingizwa kwenye Chopper kaondoka.
2. Wananchi Kifula Ugweno wamngojea hakutokea.
3. Wananchi wamngojea Mwanga mjini hakutokea. Badala yake hasira zatawala wafuasi wa NCCR - MAGEUZI na CHADEMA watwangana makonde, wapotea njia wengi wakimbilia CCM .
Duniani kuna mambo..
Kama Geita
#
Wala usikonde Mahakama ya Mafisadi inakuja na siyo mbali kama alivyoahidi
Raisi wa V wa JMTZ Dr.Pombe Magufuli!
Kwa majaji wa aina gani na watakaoteuliwa na nani
Kwani mahakama zilizopo zimekosa nini mpaka msiziamini mkaanzishe mahakama mpya
Na unajua utaratibu wa kuanzisha mahakama au unawaambia tuu wanachama wako kuwa utaanzisha mahakama
Je hiyo mahakama itakuwa kwenye utaratibu upi katika mfumo tulio nao kwenye katiba na ambao wewe unaouona tofauti na uliopo
Mimi siyo Mwanasheria hivyo siwezi kujibu hayo maswali, ila ninachojua tu ni kwamba Raisi wa V Dr.Pombe Magufuli atawashughulikia mafisadi akina Lowasa &Co.
Sasa kabla hujachukua kila anachosema huyo mgombea wako shirikisha ubongo wako wa fikra kuchuja na kuchambua ujue system ya mahakama inaanzishwaje na inaendeshwaje na sio kusema tuu ataanziaha mahakama ya mafisadi.
Hilo swali aliulizwa hata mtu wenu wa karibu akajichanganya tuu na majibu yasiyoeleweka japo ni mwanasheria
Huwezi kuamka asubuhi ukasema naanzisha mahakama ya mafisadi bila kujua itafall kwenye system gani ya mahakama na itakuwa ya wapi na nguvu zake zikoje na case zake may be appeal zitaenda wapi na sitting yake inakuwaje na majudge wangapi wanaweza kusikiliza case na wawe na mamlaka gani
Na je kuanzisha mahakama nyingine ina maana hizi zilizopo hazitoshi au zina madhaifu gani
Kama unamuona fisadi ni Lowassa pekee basi nafikiri kuna jambo haliko sawa kwenye fikra zako
Kama nilivyosema vyovyote vile itakavyokuwa lkn cha muhimu Mafisadi washitakiwe na waende lupango kama atatumia Mahakama ya Kadhi, ya biashara au sijui ya Kimataifa Arusha haijalishi cha muhimu fisadi Lowasa na Genge lake waondolewa kabisa kwenye mfumo wa wizi walioujenga kwa miaka mingi hapa nchini kwetu!
Kweli umekaririshwa na kwa majibu yako sina cha kusema maana fisadi ni mmoja tuu hujawaona wa EPA na Escrow na Kiwira na Meremeta na mabehewa mabovu na wa ATCL and mchwa waliojaa kwenye kila halmashauri nchini wewe ubmebaki na Lowassa
Hebu funguka akili kidogo na ufaham wako fikiria nje ya box na uwaze kidogo kwa nini hao wengine wote hawashughulikiwi ila wewe na huyo mmoja tuu
Kwani ndio anayefanya sasa hivi tukose barabara nzuri au dawa hospital au watoto 200 wafundishwe na mwalimu mmoja au wasomee chini ya mti au wakalie jiwe shuleni badala ya kiti
Ufisadi na madhambi yote TanZania yanasababishwa na fisadi Lowasa na Genge lake, hakuna ufisadi mkubwa ambao hao Lowasa anaowaita marafiki zake hawamo kama Karamagi, Rostamu Aziz, Rugemalira, Manji, &Co.
CCM siyo wajinga kumpiga chini wanamuelewa vizuri klk wewe na mimi!
Ufisadi na madhambi yote TanZania yanasababishwa na fisadi Lowasa na Genge lake, hakuna ufisadi mkubwa ambao hao Lowasa anaowaita marafiki zake hawamo kama Karamagi, Rostamu Aziz, Rugemalira, Manji, &Co.
CCM siyo wajinga kumpiga chini wanamuelewa vizuri klk wewe na mimi!
Mohammad Mtoi itakuwa nae alimsema.Halafu mbona FISADI lawassa hajaenda msiba Tanga kaenda kwa mzee kisumo wakati kasema hana rafiki CCM.