Picha: Lowassa ahani msiba wa Peter Kisumo

Picha: Lowassa ahani msiba wa Peter Kisumo

Leo Mgombea Urais wa Jamhuri kupitia UKAWA katembelea Wilaya ya Mwanga.

Viroja vyatawala.

1. Kashuka kwenye Chopper hapa Usangi. Kaenda kuweka shada la maua Kaburi la Mzee Kisumo. Kashindwa kufika kaburini. Karudi uwanjani Kashindwa kupanda jukwaani. Kashindwa kupungia wananchi waliokuja kumsikiliza. Kaingizwa kwenye Chopper kaondoka.

2. Wananchi Kifula Ugweno wamngojea hakutokea.

3. Wananchi wamngojea Mwanga mjini hakutokea. Badala yake hasira zatawala wafuasi wa NCCR - MAGEUZI na CHADEMA watwangana makonde, wapotea njia wengi wakimbilia CCM .

Duniani kuna mambo..
 
Acha uzushi ndiyo maana nchi maskini watu wamejazwa ujing.. na ccm.mwaka huu mwisho wenu ni 25.10
 
Attachments

  • 1444165915417.jpg
    1444165915417.jpg
    26.1 KB · Views: 449
Leo Mgombea Urais wa Jamhuri kupitia UKAWA katembelea Wilaya ya Mwanga.

Viroja vyatawala.

1. Kashuka kwenye Chopper hapa Usangi. Kaenda kuweka shada la maua Kaburi la Mzee Kisumo. Kashindwa kufika kaburini. Karudi uwanjani Kashindwa kupanda jukwaani. Kashindwa kupungia wananchi waliokuja kumsikiliza. Kaingizwa kwenye Chopper kaondoka.

2. Wananchi Kifula Ugweno wamngojea hakutokea.

3. Wananchi wamngojea Mwanga mjini hakutokea. Badala yake hasira zatawala wafuasi wa NCCR - MAGEUZI na CHADEMA watwangana makonde, wapotea njia wengi wakimbilia CCM .

Duniani kuna mambo..

how does it feel kudanganya!?
 
Utu ni kitu kizuri sana hata kama wewe ni mzima hapo ulipo mshukuru Mungu kwa uzima wako na jua mdomo huumba kuna siku wewe mwenyewe au mzazi wako au ndugu yako wa karibu atapatwa na janga kama hilo sijui utamkimbia au utakuja kwenye mitandao kumuanika kama unavyofanya hapa
Hakuna aombaye ugonjwa wala hakuna mwenye guarantee na maisha yake kuwa atakuwa mzima mpaka siku ya kufa kwake
Ila unapomnyooshea mwenzako kidole kimoja jua viko vinne vinarudi kwako kukuhukumu

We mwache tu. Wenzake wawili waliomsema vibaya kwa ugonjwa wake wameshatangulia mbele ya haki. Mungu ni mwenye haki.
 
Leo Mgombea Urais wa Jamhuri kupitia UKAWA katembelea Wilaya ya Mwanga.

Viroja vyatawala.

1. Kashuka kwenye Chopper hapa Usangi. Kaenda kuweka shada la maua Kaburi la Mzee Kisumo. Kashindwa kufika kaburini. Karudi uwanjani Kashindwa kupanda jukwaani. Kashindwa kupungia wananchi waliokuja kumsikiliza. Kaingizwa kwenye Chopper kaondoka.

2. Wananchi Kifula Ugweno wamngojea hakutokea.

3. Wananchi wamngojea Mwanga mjini hakutokea. Badala yake hasira zatawala wafuasi wa NCCR - MAGEUZI na CHADEMA watwangana makonde, wapotea njia wengi wakimbilia CCM .

Duniani kuna mambo..
Halafu kuna mtu atasoma uongo kama huu na kuuamini kabisa. Hivi kwanini ukawa hatuna propaganda chafu kama maccm?
 
Lowassa ahani Msiba wa Mwanasiasa Mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, Kijijini kwake Usangi, Mwanga Mkoani Kilimanjaro....

Kumbuka siku ya mazishi alizuiwa na jeshi la polisi...

Unafiki hata kwa Marehemu? Kweli iko kazi. Bodaboda vipo?
 
Katika hali isiyotegemewa Leo mh Lowasa ameenda Mwanga kuhani msiba wa kada wa ccm mh peter kisumo akiwa rasmi kwenye sare ya Ccm yaani shati la kijani. Usisahau kwenu Lowasa ni dhahiri baada matokeo ya uchaguzi kuonesha umeshindwa utarudi nyumbani ccm.

Colour blind
 
Magufuli hata kifo cha waziri mwenzake hakuenda wala kutuma salamu za rambi rambi . Alisema Hapa kazi tu.
 
Leo Mgombea Urais wa Jamhuri kupitia UKAWA katembelea Wilaya ya Mwanga. Viroja vyatawala.

1. Kashuka kwenye Chopper hapa Usangi. Kaenda kuweka shada la maua Kaburi la Mzee Kisumo. Kashindwa kufika kaburini. Karudi wanjani Kashindwa kupanda jukwaani. Kashindwa kupungia wananchi waliokuja kumsikiliza. Kaingizwa kwenye Chopper kaondoka.
2. Wananchi Kifula Ugweno wamngojea hakutokea

3.Wananchi wamngojea Mwanga mjini hakutokea.
Badala yake hasira zatawala wafuasi wa NCCR - MAGEUZI na CHADEMA watwangana makonde, wapotea njia wengi wakimbilia CCM .

Duniani kuna mambo.
 
watu kama awa wanaachwa,sasa huyu anatofauti gani na yule aliyeandika Mwamunyange kawekewa sumu?
 
Sina hamu na CCM kwa mambo mengii ... ESCROW, EPA, UJANGILI, SEMBE, RICHMOND, MIKATABA YA KIFISADI, KUKWAPULIWA KWA MADINI YETU, GAS ... MAISHA MAGUMU, KODI KUBWA KWENYE MSHAHARA, MISHAHARA DUNI ISIYOKIDHI GHARAMA ZA MAISHA n so much more ...
 
Back
Top Bottom